Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Wakuuu nimeshasoma na nimecheck video youtube na nimedownload mt4 platform ila naona maruerue tu msaada jinsi ya kuanza kutrade
Screenshot_2017-09-12-10-35-29.png
 
Za muda huu waungwana wenzangu .....!!!?

Jaman samahan katika pitia pitia zangu nimekutana na maneno haya ambayo nadhani siyaelewi hivo mwenye kuelewa anisaidie



Maneno yenyewe ni
*sell limit
*buy limit
*sell stop
*buy stop




Tafadhalin jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkipunwa kaeni kimya, mpaka sasa 65,000 mmeahanunulia sambusa.
Mkipuna njooni tujadili.

Mpaka sasa watu hawajui wabetije!!
 
b40bb3ad7268f8be37d0854e6287b823.jpg


All men are self made [emoji123]
Mkuu hivi trading yako unatumia time frame ya dk 5,15, au day? Maana Mimi napata shida kwenye best time frame to use,unakuta ya dk5 ni tofauti NA ya 1 day.NA ukitumia ya one day itabidi ukae Siku nzima ukisubilia faida au inakuwaje hapo mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hivi trading yako unatumia time frame ya dk 5,15, au day? Maana Mimi napata shida kwenye best time frame to use,unakuta ya dk5 ni tofauti NA ya 1 day.NA ukitumia ya one day itabidi ukae Siku nzima ukisubilia faida au inakuwaje hapo mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi natumia 1M 5M 15M
Ila kama unafany analysis tumia 1H sio mbaya

All men are self made [emoji123]
 
Mtaji sh ngapi?

wazo la tatu
Nikiwa Pretoria nilipata bahati ya kusali kanisa la 1 kati ya manabii maarufu zaidi hapa duniani Shepherd Bushiri Major 1. Ukiachilia mbali kua ni nabii lkn yuko mbali sana sana kibiashara, hata kama wewe ni Islam utakinzana nae kiimani lkn atakumotivate nje ya imani ktk mambo ya biashara na Ujasiriamali.
a6e5f30c2cecabb9be5fae79884e0439.jpg


Na kwa watu wanaohisi forex ni kamali au niseme gambling, hii ni tofauti kabisa. Ni kitu ambacho hata biblia imezungumzia, nilipata kua na uelewa mpana ktk hili baada ya kusoma kitabu cha Bushiri alivyoeleza kuhusu forex na kwa kiasi gani forex imempa utajiri mkubwa sana.
0318485055c9f0d4554bbc3fe4b75955.jpg
Bushiri ni huyu wa kati.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom