Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Mkuu Ontario kwa bandiko lako,ila mbona biashara hii ni kama kamari tu mkuu.At most I can call it White Collar Bingo.Why do I call it White Collar Bingo,because the back bone of this business is speculation of the value of the currency you want to buy,that is you assume under the prevailing circumstances that it will be of a higher value compared to the one you have.So this is Bingo mkuu.Kwa sababu hiyo sio kila mtu anaweza kufanya this kind of business.If for example you are a strong believer in Christ Jesus,you can't do this business.Forget about akina Bushiri who pretend to be believers but do not actually believe in Jesus Christ, but believe in other entities.

1. Mkuu nadhani kuna kitu unashindwa kukielewa hapa. Simply unawedza ukagoole halafu ukaangalia majibu yatakayokuja, kama forex ni gambling or not, halafu hayo majibu uyalete hapa.
2. Kuna vitabu vingi sana duniani ambavyo vinafundisha kuhusiana na forex. kama kweli forex ni gambling naomba uniletee vitabu ambavyo vinafundisha kuhusiana na gambling, na ukifanikiwa kuniletea hivyo vitabu, utakuwa umefanikiwa kuniteka niachane na forex.
3. Katika haya macasino kuna usemi mmoja huwa wanautumia, na unasema hivi "Always house benefits" nadhani unaeleweka tu bila shida. Yaani unaweza ukawin mara moja then ukaloose hata mara 1000. Katika forex tuna watu ambao wana winning consistency. yaani mtu katika kila trades 100 anaweza akawin hata trades 95 na akaloose trades 5 tu. Halafu kitu cha kushangaza ni kwamba loss aliyoipata katika hizo trades 5 alizopoteza inakuwa compasated na trade moja tu aliyowin na chenji inabaki.

Naomba nikujibu kitu ambacho mimi nakifahamu. Any kind of trade in this world must obey the theory of economy, that is demand and supply. Demand and supply ndio kitu ambacho kinaendesha biashara yoyote duniani. Price itaincrease kunapokuwa na increase in demand na pia itadecrease kutakapokuwa na increase in supply and viceversa. Hata forex nayo inawork under this principle 100%. Kwa maana hiyo kusema kwamba forex ni gambling ni sawa na kusema kwamba any kind of trade in this world is a gambling, kwa mfano, what if umenunua kilo 10 za mchele kwa bei ya tsh. 2000 kwa kila kilo 1 na matarajio yako yakiwa ni kuuza kwa 2200 kwa kila kilo moja, then baada ya kuja sokoni kuuza mchele wako ukakua bei ambayo watu wanauza ni 1900 tsh. kwa kila kilo. kwa maana hiyo ni lazima tu utauza kwa hasara. na je na hii nayo niite gambling?
Mwisho naomba tu nikujibu kwamba hakuna biashara ambaYO PROFIT NI 100%. kila biashara ambayo mtu amefanya na akafanikiwa basi ukae ukijua kwamba kuna some losses hata kama ni kidogo. kilichotokea mpaka akafanikiwa basi profits zilikuwa kubwa sana ukilinganisha na losses mpaka akafanikiwa. watu wananunua bidhaa and unakuta some of hizo bidhaa zinakuwa defected na hiyo yote inakuwa ni loss.

I STAND TO BE CORRECTED
 
now ur talking james
 
Mkuu nakubaliana na yote uliyosema na ni kweli kwamba chances of success kwenye forex trading ni kubwa kuliko kwenye Bingo and yes it is very profitable.However this does not make it very different from Bingo.The basics are the same,only that it is based on speculation using factors such as GDP,politics,strength of economy,history of quote currency etc.etc. Mkuu I know it is an extremely profitable business as I have said,but again there is much at stake faithwise.I stronghly recommend believers to be alert and careful because this is yet another attempt of the enemy to lure them away from putting their faith in God.Forex Trading is gambling.Google "Is Forex Trading Gambling?The Answer Might Shock You-Daily Price Action."
 
Mimi niliturade kwa kutumia bonus ya instaforex ambayo wanatoa kiasi cha $1000 within ndani yasku moja nikawa nimepiga profit ya $174 baada hv
Ila kilichonishangaza baada yakupiga hiyo profit jamaa wakanistop kupress trade !!
Nikatumiwa email inayoniambia nidepost $100 ili niendelee naktrade !!! Swali langu kwenu wadau kunayeyote ambae amesha itumia hiyo bonus kutrade? Kama umetumia nakuambiwa dipost $100 je baada kudpost ulivyoendelea kutrade profit uliyopata tena uliluhusiwa kuwithdraw?
Weekend njema wakuu!!!
wanakupa ela una trade then ukifikisha profit ya dola 100 unazuiwa kutrade mpaka utapoweka dola 100! jumla unakua na dola 200 za kutrade!!
 
Mkuu nakubaliana na yote uliyosema na ni kweli kwamba chances of success kwenye forex trading ni kubwa kuliko kwenye Bingo and yes it is very profitable.However this does not make it very different from Bingo.The basics are the same,it is based on speculation using many factors,GDP,politics,strength of economy,history of quote currency etc.etc. Mkuu I know it is an extremely profitable business,but again there is much at stake faithwise.Believers must be alert.

OK! fine, so, is it gambling or not?
 
Forex trading is gambling yes.Please Goole "Is Forex Trading Gambling?The Answer Might Shock You-Daily Price Action" to see for yourself.

Kama forex ni gambling basi a lot of things ambazo tunafanya katika maisha yetu ya kila siku navyo pia ni gambling. Na kwa maana hiyo basi, any kind of investment ni gambling kwa sababu tunaivest with the hope kwamba tutapata profit baadae. Ingawa before 2008 USA angeweza kukuambia kwamba real estate investment siyo gambling(safe investment), lakini kutokana na ile crisis ya real estates ambayo ilimkuta mwaka 2008, history iliprove. in any investment we do, we are risking our money. swali ni je tusifanye investment?
Me nadhani kitu cha msingi hapa ni let us do it smart. Na hapa ndipo linapokuja swala la risk management.

UKIWA NA IMANI KALI SANA UTAJIKUTA TU MWISHO WA SIKU UNAONA BORA URUDI PORINI UKAISHI KAMA MNYAMA.
HAKUNA INVESTMENT DUNIANI ISIYOINVOLVE RISK NA HAKUNA INVESTMENT ISIYOINVOLVE CHANCES.
 
naona wasomi mkipingana kwa hoja.
Tungekuwa wengine ingekuwa tayari kelele na matusi.
nimewakubali aisee
 
Jamani naomba mnisaidie hivi MTU ana burn account kivipi? Yaani hicho kitendo cha kuburn account kinatokeaje? Naomba NA mifano dhaili,mfano Mimi nimetrade nili execute upande wa buy nikitegemea price itapanda, ilifikia hatua nilipata loss ya dolla 500 ,lakini sikufunga account Nikki cha baada ya Massa mawili nikakuta graph imepanda NA nimepata faida ya dollars 300,so yaani MTU anapofikia hatua ya Ku burn account inakuaje?
 
Hilo swali ni LA msingi sana, Nita upload zangu uone, mpaka sasa Nina loss ya dollar elfu 2 lakn bado, Ila kuna kitu nimejifunza ukitumia stop loss tens tight stop loss lazima uloose sababu ikiwa against na wewe kwa pips ulizoweka katika stop loss biashara inajifunga kwa hasara kama hujaweka stop loss utasubir had I we upande wako ufunge au unaweza kufunga kwa hasara ngogo unayoiweza, pia kama utaweza kufungua real account ukiwa na pesa nyingi labda kuanzia dollar 2000, una wigo mpana Wa kusubir mpaka faida iwe upade wako ndo ufunge hats kama in whole day, ispokua tatizo la kutokutumia stop loss lazima uchungulie Mara kwa Mara kuona mwenendo Wa biashara yako
 
very simple..fanya analysis ukishapata entry point fanya kinyume..yani kama ulifaa kuingia in a long position wewe enda short..ambapo ungeweka take profit weka stop loss hapo.
 
Jamani naomba mnisaidie hivi MTU ana burn account kivipi? Yaani hicho kitendo cha kuburn account kinatokeaje? Naomba NA mifano dhaili,mfano Mimi nimetrade nili execute upande wa buy nikitegemea price itapanda, ilifikia hatua nilipata loss ya dolla 500 ,lakini sikufunga account Nikki cha baada ya Massa mawili nikakuta graph imepanda NA nimepata faida ya dollars 300,so yaani MTU anapofikia hatua ya Ku burn account inakuaje?
Ni rahisi, ku burn acc ni kupata hasara inayolingana na akiba yako.
Kwa mfano una balance ya $200,
Uka open position 2 za pair moja au tofauti, eidha sell au buy ukitegemea kutengeneza faida lkn zikaenda kinyume na matarajio yako yaani yakaanza kuwa negative hadi hasara inalingana na mtaji wako yaani $-200, hapo acc yako inajifunga, tayari imeungua
 
Hilo swali ni LA msingi sana, Nita upload zangu uone, mpaka sasa Nina loss ya dollar elfu 2 lakn bado, Ila kuna kitu nimejifunza ukitumia stop loss tens tight stop loss lazima uloose sababu ikiwa against na wewe kwa pips ulizoweka katika stop loss biashara inajifunga kwa hasara kama hujaweka stop loss utasubir had I we upande wako ufunge au unaweza kufunga kwa hasara ngogo unayoiweza, pia kama utaweza kufungua real account ukiwa na pesa nyingi labda kuanzia dollar 2000, una wigo mpana Wa kusubir mpaka faida iwe upade wako ndo ufunge hats kama in whole day, ispokua tatizo la kutokutumia stop loss lazima uchungulie Mara kwa Mara kuona mwenendo Wa biashara yako
Nimejikuta Nimeumia sana japo si ela yangu. Ila japo ulipoteza ela umepata ujuzi mkubwa sana. Mi nakushauri usikate tamaa...soma then nenda kwenye training. I am sure you can do even more as far as you keep on hustling!!
 
Jamani naomba mnisaidie hivi MTU ana burn account kivipi? Yaani hicho kitendo cha kuburn account kinatokeaje? Naomba NA mifano dhaili,mfano Mimi nimetrade nili execute upande wa buy nikitegemea price itapanda, ilifikia hatua nilipata loss ya dolla 500 ,lakini sikufunga account Nikki cha baada ya Massa mawili nikakuta graph imepanda NA nimepata faida ya dollars 300,so yaani MTU anapofikia hatua ya Ku burn account inakuaje?
Tazama screenshots zangu... Hapa ndo akaunt inaelekea kuungua... Kufika salio la $0.0
Demo trading...
A series of failing trades...
Hii kitu co rahisi. Kila mara jaribu kujiuliza ni wapi umekosea.

Rudi vitabuni, and Re read...
Read<> Trade <> Fail <> Read Again <> Trade again <>.... and again.... View attachment 589750View attachment 589751
f1fc13741c9635f9a98c29c786ee036f.jpg
View attachment 589752View attachment 589754View attachment 589755View attachment 589757View attachment 589758View attachment 589760View attachment 589761View attachment 589763View attachment 589764View attachment 589765View attachment 589766View attachment 589767
 
Nimeikamata Gold inastruggle katika consolidation... Analytics mniambie, breakout itakuwa juu au chini?

Hata mnaobet mnisaidie tu kubet![emoji3]
Screenshot_20170919-093351.png
 
Dah mbona huku kila mtu anajua teyari ,sijaona mtu aliepost anaanza jifunza forex kisha akatoa mrejesho..mi sijui pa kuanzia guys nabaki msindikizaji.. any help pls..i have a desire in this trade. I really do and im ready for whatever challenge i might face...
 
Ucogope... Wote twajifunza, hakuna mjuaji humu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom