Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Wakuu,
Hapa nina swali fikirishi kidogo kuna vitabu vingi vina recommend kuwa ili upate faida katika long run ya hii biashara wanasema usi risk zaid 3% ya mtaji.

Sasa kuna trade setup zingine ili uzicheze zinakulazimisha hadi wapi uta place stop loss yako mfano hii mkia wa Kangaroo (kangaroo tail), mtoto aliyetelekezwa(Abandoned baby) , Inverted hammer na Nyota ya jioni (even star)

Hiyo trade set up ya Kangaroo tail inakwambia kwamba stop loss (S.L) itawekwa below ya tail ..sasa shida inakuja pale hiyo signal ikajitokeza kwenye support zone kwa kuwa nature ya hiyo tail huwa ni ndefu (the longer the better) na inacover more pips unakuta ukiipachika stop loss mwisho mwa hiyo setup utajikuta ume risk 10usd up to 12 usd wakati hii kwa wengine ni risk ya 10%.

Swali.
Je ni vema mda mwingine kutumia akiri za kuzaliwa au kuendelea kuwa conservative kufuata matakwa ya setup yenyewe?
 
nimejifunza kitu hapo!
I ate only bread with water twice a day for four months as a means to save 90 percent of my meal allowance. The four months were difficult but enabled me to save $200 which I used to purchase 100 chickens, rehabilitate old chicken housing, hire one person, and, in September 2013, launch Jefren Agrifriend Solutions (JAS), which provides inexpensive food and fertilizer to the food insecure.

MIE nilijifunza hapo mkuu
 
@TradersLibrary TraderLibrary to enter, click on the following link: [emoji116]

Traders Library

Hapa watu hawapost chochote... Kuna vitabu karibu vyote. We join, download na usome. Ucpost kitu.
Mkuu hiyo traders library kuna group LA telegram lipo active nilikuwa Mara ya mwisho Kabla ya kupoteza simu.

Mwenye Link ya lile group atuwekee hapa Humu nimejaribu kulitafuta naona patupu

Masada plizi
 
Mkuu hiyo traders library kuna group LA telegram lipo active nilikuwa Mara ya mwisho Kabla ya kupoteza simu.

Mwenye Link ya lile group atuwekee hapa Humu nimejaribu kulitafuta naona patupu

Masada plizi
Kabla ya ku quote post, hiyo link ingekupeleka hapo
 
Masahihisho ..ni PAYONEER na sio pioneer..x
1. Uko sahihi sana unatakiwa kulink na skrill kwani Payoneer hawakubali transaction za individual kuepusha kufadhili ugaidi..wanataka pesa yako itoke kwenye makampuni ya online services eg skrill, worldremit na mengineyo.
Ukinisoma kwa posts za nyuma nimewaeleza unapojaza kazi na kusudio la ac ujaze hivi;
1. Online working
2. Forex trading
Ndipo uweze kuruhusiwa kutrade.
Wako makini sana ukijaza vinginevyo watataka link ya store yako au biashara yako...ujue hii ni ya kimarekani...utatakiwa u attach banking statement na swift code ya bank yako na watafuatilia kwa bank yako wajiridhishe kama taarifa zsko ni za kweli. Ukivuka viunzi hivi sasa usumbufu wa kutrade kwishaaaa

2. Kutoka local akaunt;
Pata mastercard isiyo na ac..mfano I&M bank...hii unajaza madolari yako itume kwa skrill ili umtumie broker wako..ukishspata faida rudisha kwa skrill ili uzitume PAYONEER BANK ili u withdrawal bila vikwazo vya bank.
Ukiwa na swali zaidi karibu
Sasa mkuu hapo kwenye kufungua master card isiyo NA account unafungua kwa hizo local banks eg FNB,ABC,etc au unafungua kwa piyoneer? NA unapofungua unawaambia kwamba isiwe NA account au ndio inakuaga haina account? NA kwa upande wa pioneer kwenye physical address kwa mfano Mimi nipo Musoma uswailini nitajazaje NA wakati hawataki niandike p.o.box?
 
Kuna master card ya multicurrency hii unajaza pesa kwa ajili ya manunuzi au ikiwa unasafiri popote duniani utatoa pesa atm yenye master card kwa local currency ya nchi husika, hii inafaa zaidi kwa kutuma pesa to skrill to broker.
Kuhusu anuani andika mtaa, p.o.box haikubaliki
 
Kwani mkuu inabidi huu mchakato uwe NA MasterCard ngapi? Kuna local banks eg ABC,kuna payoneer nayo si unakua NA MasterCard yake,then inafuata hiyo MasterCard isiyo NA ac? Naomba msaada hapo mkuu
 
Kwani mkuu inabidi huu mchakato uwe NA MasterCard ngapi? Kuna local banks eg ABC,kuna payoneer nayo si unakua NA MasterCard yake,then inafuata hiyo MasterCard isiyo NA ac? Naomba msaada hapo mkuu
Daah, hili jambo nimetolea ufafanuzi sana na wengi wameweza, sijui umepata ugumu upi!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom