Mberoya
JF-Expert Member
- Mar 5, 2017
- 1,314
- 826
Babu, ufanuzi gani porojo tu! Hamna lolote [emoji23] [emoji23]Daah, hili jambo nimetolea ufafanuzi sana na wengi wameweza, sijui umepata ugumu upi!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Babu, ufanuzi gani porojo tu! Hamna lolote [emoji23] [emoji23]Daah, hili jambo nimetolea ufafanuzi sana na wengi wameweza, sijui umepata ugumu upi!!!
Ubarikiwe mtakatifu wa bwanaBabu, ufanuzi gani porojo tu! Hamna lolote [emoji23] [emoji23]
Mzee wa forex bwana AMLIGHT. Ukitrade kidogo unakawia kujivuruga?Ukitrade sana hukawii kujivuruga!
Mtakatifu Mungu tu mjomba!Ubarikiwe mtakatifu wa bwana
Hili hapaJamani kuna kundi la telegramu forex naomba linki yake.
Linki ilitolewa siku za mwanzo kabisa wakati huu uzi unaanza natumia simu nimeshindwa kuipata coz pages nyingi sanaa.
Moderators pliz do the needful lile kundi la telegramu liko active sana
Pliz msaada jamani
Kuna nini huko kwenye link[emoji115]
Kama kuna pesa tuambiane!
Mbona wewe ni mvurugaji hivi?Mtakatifu Mungu tu mjomba!
Bwana Quigley, mimi sivurugi wala sijalewa, bali nahoji na kutoa mawazo yangu. Watanzania tukubali opinions za wengineili tuendelee na kusonga mbele.Mbona wewe ni mvurugaji hivi?
Au umelewa?
Kama kuna pesa tuambiane!
Mjomba mimi dume la mbuzi. Usiku siyo mwema bwana Lowassa. Ulituibia ccm sasa umekimbilia chama cha forex! Upati kitu!Sawa Dada Usiku Mwema
Umakuja mjini kukimbia kulima ukifikiri kuna kazi. Hamna babu! Rudi nende kalime mjomba.Sawa Dada Usiku Mwema
Mjomba mimi dume la mbuzi. Usiku siyo mwema bwana Lowassa. Ulituibia ccm sasa umekimbilia chama cha forex! Upati kitu!
Wacha wewee. Mimi siyo saizi yako ni nyimbo za taarabu hizo!Ninakusoma tu unavyoendelea kuvuruga na kejeli, ilhali ninakufahamu kwa undani kushinda unavyofikiria, kikombe kikijaa utakiona cha moto..endelea tu lkn mimi sio saizi yako.
Kupambana na mlevi wa gongo nayo ni taabu kweli kweli, dawa yake moja tu huyu mwenye roho ya umaskiniHahaha ww Ngoja QUIGLEY akushughulikie
KWIGLI anajishughulikia mwenyewe na taarabu zake!Hahaha ww Ngoja QUIGLEY akushughulikie
Hivi umekula leo wewe!KWIGLI anajishughulikia mwenyewe na taarabu zake!
Kupambana na mlevi wa gongo nayo ni taabu kweli kweli, dawa yake moja tu huyu mwenye roho ya umaskini
Munawacha kulala mumeng'ang'ania forex forex usiku kucha. Mtakufa na insomnia!Hahaha ww Ngoja QUIGLEY akushughulikie