Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
wakuu kwa mtu aliepo mwanza au musoma nahitaji msaada wa hii kitu nimesoma vitabu vizuri na ninajua abc za forex lakini nashindwa kuitumia demo account kufanya trading yaani jinsi ya ku buy and sell, na jinsi ya kuweka stop loss, leverage nk japo hivi vitu nimevisoma theotetically so naombeni msaada wakuu hasa kama kuna mtu anakaa musoma!

Sent using Jamii Forums mobile app
Umesahau prinsipo za ubepari eh labda utampata hila kwa watanzania tulivyo utasubir la msingi jalibu mwenyewe apply ulichokisoma mkuu
 
Umesahau prinsipo za ubepari eh labda utampata hila kwa watanzania tulivyo utasubir la msingi jalibu mwenyewe apply ulichokisoma mkuu
Wengine hao! Eti prinsipo za ubepari? Ama kweli mnachosha![emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
JF Moderators kuna Kirusi cha ransom humu kwenye huu uzi pliz naomba mki-scan haraka sana kabla hakichafua hali ya hewa.

Hope mmenielewa.
 
Nyinyi ndiyo tunawatafuta munaofanya ifidhuli mitandaoni. Wewe endelea na uchafu wako wa kujifanya mimi.
Hehehhehehee Haters mnaanza kugeukana wenyewe kwa wenyewe
Wewe umeamua kujifanya Mberoya siyo? Unajua kwamba hacking is a criminal offence? Mimi ni dume la shako.. wewe badilisha maneno yangu tu...shauri yako!

Ngoja nikalale niwaache mdanganyane. Ukijibishana na mbojo na mimi nitakiwa mbojo. Endelea kuwanga na forex!
 
Hivi humu wakina forex mpaka sasa mmefika wapi? Mbona stories hazishi! Wadau nani ameshakuwa milionea au japo kutengeneza visenti vya maana atupatie ushuhuda kidogo! Asanteni wana forex!
Ndugu kwanini uko hivi? Heshimu mambo ya watu wengine tafadhali, mind your own bussiness.
 
Hivi humu wakina forex mpaka sasa mmefika wapi? Mbona stories hazishi! Wadau nani ameshakuwa milionea au japo kutengeneza visenti vya maana atupatie ushuhuda kidogo! Asanteni wana forex!
Huwezi kua millionaire kwa Siku moja,lakini pia ukiingia forex ili ujipatie ummilionare utaumia ,ifanye kama shughuri ya kawaida2 ambayo inabidi uwe unajifunza kila Siku.
 
Huwezi kua millionaire kwa Siku moja,lakini pia ukiingia forex ili ujipatie ummilionare utaumia ,ifanye kama shughuri ya kawaida2 ambayo inabidi uwe unajifunza kila Siku.
Tunafijifunza...tunajifunza...tunajifunza....warning forex haina utajiri wa haraka haraka kama unavyodhani kabisa
 
Hii ni thread ya mwanzo kabisa ya Forex wadau tuchangie angalau commenta kiasi isiwe page za mbali maana vitabu vyote vya maana viko humu
 
wote bdo tunajifunza kama upo tayar kusoma vitabu sema tukutumie
huo ndo mwanzo wa kuanza kuijua hii kitu
ce wenyew tulikua hatujui chochote ila baada ya kuanza kusoma vtabu atleast now tunaanza kuelewa huu mchezo
Kama kuna uwezekano naomba unitumie vitabu tafadhali nami nipate pakuanzia
 
216dcbdbf3b9bf2fbaeb205ec4109b8c.jpg

Elliot wave theory ndo inamaliziwa maliziwa wikiend hii.... Very interesting discoveries.....

Hamjambo humu?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom