Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Sasa mbona j4 na j5 ndio siku za mapene..balaa lilikuepo jana..full mapicha picha
Ni siku za mapene na ni siku za high risk maana kuoata faida ni kubwa na kupata hasara ndio hivohivo .ni siku za liquid money
 
Instaforex ni broker ambaye anakufanya utrade mpaka jumamosi na jumapili... wakati kikawaida market inakuwa iko off.
kwa jumamosi na jumapili, unapata nafasi ya kutrade cryptocurrencies, ambazo kuna bitcoin, litecoin, ethereum na nyingine...
kama unakuwa bize katikati ya week na unapata chance ya kutrade weekend, then atakufaa.
Na pia anatoa new account bonus ya $1000, ambayo ukitrade na kutengeneza 10% unaweka kiasi hicho na kupewa faida yako.
ikitokea umepata hasara hakudai, manake ni faida tu, unajifunza ukiwa na real account ambayo haina pesa zako, na unaweza kutrade mpaka siku 7 kwa wiki.
kama unataka kujiunga na kutrade, tumia link hii>

Start trading with amazing $3500 STARTUP no deposit bonus

All the best in pips hunting!
 
Hiv ili nianze hii biashara mtaji wang wa chini kabsa ni sh ngapi???
 
Wakuu nimetrade na tick mill kwa ile bonus ya 30$ sasa nimefikisha 150$ naomba munielekeze namna ya kuwidraw
 
Leo c ndo wikiend?
Unaweza kupata $1000, na kutrade mpaka wikiend.

(No Deposit Bonus : T&C Apply... )

Hakiki kama inawezekana.
Ukifungua akaunt na kama watumia MT4 (broker not supporting MT5 in Android), binya + juu kulia, nenda file la cryptocurrencies, add unazotaka, then endelea kutrade hata leo.
Hii ni kwa watu walio busy katikati ya wiki (kama mimi).

Start trading with amazing $3500 STARTUP no deposit bonus

Broker name: Instaforex.
Trading: Currency, indices, metals, CFD, Stocks, Cryptocurrencies.

Weekend Trading: Only Cryptocurrencies.
 
Kazi ni kwako. No more hesitations

db152a43a4b96993098cf988d5c1b280.jpg
 
wakuu naomba kupata utaratibu wa kufuata pamoja na vibali husika kulingana na sheria za nchi. Nina lengo la kuanzisha hii biashara ya Forex ili iweze kuwanufaisha wengi.
 
Ninapata Wakati mgumu kutafsiri taarifa zinazoweza kuathiri trend ya pairs.
Mathalani, unaposema unemployment rate imeongezeka au kupungua, Je ni kwa namna gani itaiathiri au kunisaidia kuamua Long or Short.
Tafadhali naomba Maelezo kwenye hili huku ukiangalia pia biashara za dhahabu, Mafuta na kauli za akina Trump na wababe wengine wa dunia, please!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom