Nenda YouTube andika how to use MT4 itakusaidia sana,Wakuuu nimeshasoma na nimecheck video youtube na nimedownload mt4 platform ila naona maruerue tu msaada jinsi ya kuanza kutrade View attachment 586644
Wakuuu nimeshasoma na nimecheck video youtube na nimedownload mt4 platform ila naona maruerue tu msaada jinsi ya kuanza kutrade View attachment 586644
Katika kuweka time frame chart na kuopen positionHayo maruwe ruwe unayaona katika nini.?
Asante sana mkuu
Mkuu hivi trading yako unatumia time frame ya dk 5,15, au day? Maana Mimi napata shida kwenye best time frame to use,unakuta ya dk5 ni tofauti NA ya 1 day.NA ukitumia ya one day itabidi ukae Siku nzima ukisubilia faida au inakuwaje hapo mkuu?
All men are self made [emoji123]
Mi natumia 1M 5M 15MMkuu hivi trading yako unatumia time frame ya dk 5,15, au day? Maana Mimi napata shida kwenye best time frame to use,unakuta ya dk5 ni tofauti NA ya 1 day.NA ukitumia ya one day itabidi ukae Siku nzima ukisubilia faida au inakuwaje hapo mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Harafu hiyo currenny pair mbona kwenye MT4 yangu haipo? Au Luna jinsi ya kuziweka?Mi natumia 1M 5M 15M
Ila kama unafany analysis tumia 1H sio mbaya
All men are self made [emoji123]
Una add tu mkuu pair zipo nying..press kile kialama cha jumlisha utaona forex crosses pitia humo uta add unayotaka wwHarafu hiyo currenny pair mbona kwenye MT4 yangu haipo? Au Luna jinsi ya kuziweka?
Sent using Jamii Forums mobile app
wazo la tatu
Nikiwa Pretoria nilipata bahati ya kusali kanisa la 1 kati ya manabii maarufu zaidi hapa duniani Shepherd Bushiri Major 1. Ukiachilia mbali kua ni nabii lkn yuko mbali sana sana kibiashara, hata kama wewe ni Islam utakinzana nae kiimani lkn atakumotivate nje ya imani ktk mambo ya biashara na Ujasiriamali.
Na kwa watu wanaohisi forex ni kamali au niseme gambling, hii ni tofauti kabisa. Ni kitu ambacho hata biblia imezungumzia, nilipata kua na uelewa mpana ktk hili baada ya kusoma kitabu cha Bushiri alivyoeleza kuhusu forex na kwa kiasi gani forex imempa utajiri mkubwa sana.Bushiri ni huyu wa kati.
Demo tu hyo mkuu