Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Hujasoma hadi mwisho,Kama ungekuwa umefanya hivo usinge quote uzi wote,,mwishoni mwa Uzi Kuna angalizo la kutofanya hivo kuepusha usumbufu kwa wanaotumia simu
 

shkamoo JAJCOM...

Hiki ndicho alichopaswa kueleza.......

Badala ya kuleta kitu kama tangazo la pombe, linaloonyesha mtu anapokunywa bia moja anavyokuwa na furaha na mtanashati....hawaonyeshagi anapokuwa amepiga bia 8 huku amejikojolea, amejinyea, amebakwa, ameanguka na kupata ajali
 
Wahenga wakidhungu wanasema "when a wise man points at the moon, a fool looks at the finger". Nimetumia C&F kama mfano, ila wewe kwa ujinga ukauchukulia kama ujumbe husika ktk haya majadiliano.

Ontario wewe piga kazi...uzuri wa huu uzi upo labda Jamiiforum ife, watakuja kushuhudia humu ukweli wako.

Hatusemi mtu atapata hela au utajiri kirahisi, lakini ni fursa nyepesi kuifanya pindipo unapokuwa umeiva kwenye elimu yake.Uzuri tunaotoa ushuhuda humu wote tunasema tumeshapata hasara...sasa kama yupo ambaye hataki hiyo hasara basi haimfai hii biashara na ofcoz yeyote ile.
 
Natumai na Mimi sijachelewa hata kama nimechekewa ila naomba nafasi mkuu niwepo kwa ajili ya kujifunza zaidi natanguliza shukrani pia hope kila kitu kitaenda sawa
 
Asante sana kwa kuweka wazi fursa hii adhimu kwetu watanzania. Ubarikiwe sana Ontario, tupe sasa utaratibu wako wa kutusajili kwenye Hilo kundi la 300 au zaidi ili tuanze sasa kuwa pamoja badala ya kusubiri uendelee kuumia mwenyewe wakati kuna uwezekano hata wa kukusaidia japo Kama sio kifedha basi hata kufuatilia kazi zingine ili kupunguza muda wa kuweka mambo yote sawa.
 

At least wewe unaongea kama professional ama mtu mwenye uelewa, sio km baadhi ya watu wanatema mashudu hata hawaelewi nini wanasema.

Umetukumbusha tena kitu ambacho nimekizungumza hapa mara kadhaa, kua forex inahitaji dedication sana sana sana.

Nirudi kwenye hoja zako ulizozinumber.

1. Kwanza naomba usipindishe maneno, sielewi kama umekosea ama umekusudia. Hii ni continuous thing ambayo itarun kwa decades za kutosha, unaposema nafungua office ya kutrain wa2 300 bure unakua umenimisquote. Nimesema natoa special offer kwajili ya member 300 kutoka JF, wapate training then nitakua nao benet kuhakikisha wanamake profitable trades. Baada ya hapo programme itaanza rasmi - tutaingiza wanafunzi wa kutosha tu, na sitawapa free trainings. Nitawacharge kitu kidogo ambacho tutaona inafaa kwao na kwetu pia.

Mimi kumleta broker ni kurahisisha mambo. Huwezi ukamtrain mtu hasa mbongo ambae uelewa wake ni mdogo afu kisha unamwambia broker yupo UK au USA. Hapo ni ngumu , mimi kumleta broker ni katika kufanya vitu kiuhalisia, kwa openness na transparency. Naona unazungumzia mambo ya mimi kuwa IB, cjui nani kasema, na hata kama ni hivyo iko wapi shida?!

Pia kama umesoma vzr post yangu nimegusia kdg type ya broker ambae ninadeal nae. Sijui kama uliona hiyo ama hukuelewa.

2. Boss hii point yako ya 2 imekaa kama kuna kitu you want to prove... yani kuna negativities ambazo hazina logic unaraise.
Mtu mwenye akili timamu hawezi akahoji faida ya Office, mtu anakuchallenge kisa unafungua office afu hapo hapo anasema forex inahitaji knowledge kubwa afu kisha anashauri hiyo knowledge itolewe WhatsApp. Tusiwe na roho ya kwanini - wewe umepata knowledge usichukie uonapo mwenzio nae anatolewa usingizini??

Mimi hii si biashara yng ya kwanza. Hata biashara ya kuku, inabidi uingie gharama ya kujenga mabanda na kuandaa kila kitu ndio uanze kufuga kuku. Wewe umepata hiyo elimu kwa njia zako unazozijua wewe, haimaanishi njia zingine ni za kipvmbavu. Yani unanishauri nichukue watu 300 then niwafundishe forex kwa group la WhatsApp na si kufungua office afu niwadirect kwa broker ambae hata hawajui alipo au anaoperate vipi.

Biashara yoyote lazima ugharamie, mimi kupanga office space, kuleta mentors nk ni 1 ya vitu ambavyo nilividraft ili kuhakikisha natengeneza consistent profitable traders na gharama zote nilizipiga. Naweza nisitengeneze pesa leo ama kesho but baada ya mwaka nikiwa nimeestablish mizizi, nina watu TZ wananizungumzia naweza kutengeneza pesa.

If you have any doubts about me, naomba nianze hii kitu ili nikuprove wrong. Nafungua ofisi, natafuta vibali vyote, naleta broker, natrain mamia kwa mamia, nitajitahidi mimi na team yangu tutengeneze traders ambao wataina matunda ya forex, na through the whole process nitatengeneza faida yangu na watu watakua na freedom ya uchumi kuliko leo graduate anagombania remote na mdg wake wa primary.

Mimi kama mimi Ontario nilianza biashara nikiwa bado mdg sana, nilianza na kuku 50 wa broilers, watu walinicheka, wengine wakawa wananidiscourage even my own parents. Leo hii hiyo biashara inakuwa featured Forbes, CNN, BBC World Service, SABC, DW nk. Hata hii nayo siwezi kuishia kati, afe kipa afe beki. Ipo siku watu wote wanaoleta senseless negativities nitawaprove wrong. Nipe miaka miwili tu, yani miezi 24 tu since nikianza.
I will leave a living legacy ya hii biashara kwa hapa TZ - nitakumbukwa si kwa utajiri bali kwa namna nitakavyowafungua watu macho na fikra ktk Global businesses. That alone kwangu ni ushindi mkubwa
 

mkuu hii ni kama binary option sometime wanakua matapeli tu
 
Nashukuru sana kwa elimu nzuri sana. Naomba niwemo kwenye list yako ya watu 300. Dola 100 mpaka 300 za kuanzia zipo. Naomba tupate mawasiliano yako ili tukupate kiurahisi.
 
Hongera mkuu..!
Seminar ni lini...naomba nijulishwe tafadhari..!
 
"if the deal is too good think twice",huu msemo ulinifanya nisiingie kwenye hii k2 ila kwa Maelezo yako naona Kuna mwanga Fulani hakuna magumashi lets wait and see!
 
Endelea kutoa" up date" mkuu
 
Asante kwa kunipanua mawazo, kwa hiyo hata mie ambaye sijasomea masomo ya biashara kabiisaa yaani naweza kufanya hii kitu ndugu?
 
Dah mimi hapa nabaki msomaji tu. Kwanza nahisi hii biashara inataka mtu smart zaidi kichwani. Japo watanzania wengi huwa tunakuwa wakurupukaji sana huku tukifikiria kupiga hela tu bila kupenda tujifunze kwanza kitu na kukielewa vyema. kesho tunaanza kulia. Sijui niko sahihi?
 
Hujui unachobishania. Mimi nimesoma uchumi nakuelewa vizuri, nimesoma pia finance n.k. Hii kitu huwezi kuifahamu kwa kutegemea elimu hiyo tu. Ndo maana umeambiwa kuna watumishi wa benki baadhi hawajui nini kinaendelea duniani. Hebu amua kujifunza kwanza.
 
Mkuu ONTARIO, ninaomba kuwa mmoja wa wanafunzi wa hii knowledge pindi utakapokamilisha masuala yako ya uratibu wa mafunzo.
 
Hata mimi niwemo katika hao 300. Ila Mr. Ontario utatujuaje wakati ID za humu "upepo sio?"
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…