Mkuu hivi una ugomvi na huyu Ontario maana kunaHalafu kitu ambacho hukijui ni kwamba wale wanao sapoti unaweza kuta hawafanyi na wale wana pinga wakaja kufanya.
So kusapoti haimanishi kufanya real na kupinga haiminishi kuto fanya
unataka kuanzisha brokage company au training centre?
umeshindwa kuizuia forex umebaki kulia lia tu huku......sasa hivi watu wanatengeneza mamilioni kila siku boya weweMkuu, Siyo brokage ni brokerage. No offence ila kurekebishana tu kwa upendo. [emoji120]
Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
umeshindwa kuizuia forex umebaki kulia lia tu huku......sasa hivi watu wanatengeneza mamilioni kila siku boya weweMkuu, Siyo brokage ni brokerage. No offence ila kurekebishana tu kwa upendo. [emoji120]
Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
Wewe umetengeneza milioni ngapi bwana ka brokage?umeshindwa kuizuia forex umebaki kulia lia tu huku......sasa hivi watu wanatengeneza mamilioni kila siku boya wewe
Mtaweweseka sana ndugu zangu hasa wewe Chasha Poutry Farm, tumeona PM zako zote ulizokuwa unawatumia watu lakini kama nilivyowaza mwanzo ni kuwa Mr Ontario kawa tight mpaka kwenye Soko la Kuku na Mayai sasa kwa kupumulia hamna ndiyo maana nanyi mnaamua kumharibia ila muangalie sana hakuna mtu anafurahiya visa vyenu.
Mnabadirisha ID kila wakati sababu ni wivu tu tena wivu wenyewe ungekuwa wa Kiume bali mna wivu wa Kike poleni sana.
TMT Forever ever!!
Naona bado unahaha humu kutafuta mteremko wa forex wala hutoki humu kama luba!umeshindwa kuizuia forex umebaki kulia lia tu huku......sasa hivi watu wanatengeneza mamilioni kila siku boya wewe
kamuulize bwana wako kenge wewe!Naona bado unahaha humu kutafuta mteremko wa forex wala hutoki humu kama luba!
Sasa wewe umetengeneza milioni ngapi bwana ka brokage?
kamuulize bwana wako kenge wewe!Naona bado unahaha humu kutafuta mteremko wa forex wala hutoki humu kama luba!
Sasa wewe umetengeneza milioni ngapi bwana ka brokage?
Sasa bwana brokage, mbona matusi na povu yamekujaa? Wewe unaonyesha hujatengeza chochote bado unahaha na day dreaming yako mpaka brokerage unaita brokage. Wewe kichwa kidumu and a waste of time to those training you. Umebakia matusi tu!kamuulize bwana wako kenge wewe!
Brokage hupo? Mbona kimya?kamuulize bwana wako kenge wewe!
Bwana ka Brokage! Toa ushuhuda wako, milioni ngapi umetengeneza?kamuulize bwana wako kenge wewe!
Wakuu naomba mwenye listi ya vitabu vinavyoelezea kuhusu forex trading
Wakuu naomba mwenye listi ya vitabu vinavyoelezea kuhusu forex trading
Habari Wanajamvi:
Baada Ya Kumsoma Sana My Bro ONTARIO. Kupitia Uzi Wake Wa Fursa Za Forex Na Kauli Zake Za Kutia Moyo Kiukweli Nilihamasil Sana Na Kufikiria Vitu Vingi Sana!
Mwisho Nikaiona Hii Fursa Ya Kujaribu.
Kwa Muda Mrefu Nimemsoma ONTARIO Na Wafuasi Wake Wa Forex! Nikagundua Wote Wana Kauli Moja
FOREX FAIDA= KUSOMA SANAVITABU VYAO + KUWA UPDATED JUU YA TAARIFA MBAMBALI ZA ULIMWENGU.
Nikafikiria Na Kuamua Kurudisha Hizi Kauli Na Biashara Ya Kubeti!
Nikagundua Kote Kunaweza Kuea Sawa.
WHY?
1.Kwenye Forex Watu Wanasoma Sana. The Same Kwenye KuBeti Watu Wanasoma Na Kufuatilia Sana Mienendo Ya Mechi Zilizopita. Misimamo Ya Ligi Etc
2. Kwenye Forex Watu Wanategemea Profit Kubwa Kwa Kuwa Mjanja Na Kuwa Updated! Na Kwenye Kubeti Pia Ukiwa Mjanja Na Updated Unakula Everyday.
FURSA YANGU
Naanza Leo Usiku Kwa Mtaji Wa 50,000/= Nitaleta Mrejesho Kwa Picha After 7 Days.
Ipo Hivi:
Utaanza Na Mtaji Wowote Ila Ukiwa Mkubwa Utapata Faida Zaidi.
Tufanye Kila Siku Ukawa Una Beti Tshs 10,000/= Kwa Kutengeneza Mikeka Miwili Kwa Kufuata Timu Za Aina Hii:
1. Utaweka Timu 2 Tu.
2.ODD Zsizidi 1.7
3. Timu Lazima Iwe Ya Nyumbani
MAHESABU
ODD Ni 1.7
Timu Mbili
Stake Ni 5,000/=
Total ODDS = 2.89
So Hela Utayopata Kwa Mkeka Mmoja Ni Sawa Na
2.89*5000 = 14450/=
Kwa Mikeka Miwili
1445*2 = 28,900/=
Kwa Mwezi = 28,900 * 31 Days Ambayo Ni Sawa Na
895,900/=
Assume Hapa Kati Ukaliwa Kama 300k Faida Itapungua Na Kuwa 500k.
MY TAKE:
Mimi Nimeamua Badala Ya Forex Nitawekeza Huku! Then Nitaleta Mrejesho Kama Anavyofanya Bwana ONTARIO! Wa Forex Baada Ya 1 Month.
Nipeni 1 Month Ya Mrejesho
Naanza Na 50,000/=
MODERATOR
Tafadharini Msifute Wala Kuunga Au Kuhamisha Huu Uzi! Nataka Kujaribu Fursa Niliyoiona Mimi.
MAWAZO, USHAURI, KEJERI, MATUSI VINAKARIBISHWA
MREJESHO
11/11/2017