Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio Vitabu Tu Mkuu Hata Ile 130k Ya MafunzoAisee kwa hiyo maskini wa mungu kusoma vitabu kumekushinda, ameamua ukimbilie huko??
Sawa Mkuu Lazima Tuwe Na TofautiUnazungumzia laki 5 kwa mwenzi? mimi nimepata profit ya 1.5 kwa siku 3
Sawa mkuu Subirsawa, kila la heri, tunasubiri
Hahahaaaa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2]Sio Vitabu Tu Mkuu Hata Ile 130k Ya Mafunzo
HahaaaaSio Vitabu Tu Mkuu Hata Ile 130k Ya Mafunzo
Hapana Mkuu Mimi Nimejitoa Huku! Nitaleta Mrejeshomhh, haya mambo mbona mnazidi kutuchanganya tu
Sawa Mkuu Ngoja Nijaribu! lakin pia Hata Uko Forex Napo Kuna Kuliwa.Odd 1.2 some time zinachana mkeka wacha tuone hizo 1.7
Mimi niliweka 2000 nikapata 250,000 kwa dakika 90.Unazungumzia laki 5 kwa mwenzi? mimi nimepata profit ya 1.5 kwa siku 3
Kweli Mkuu! Huku nako kunalipaMimi niliweka 2000 nikapata 250,000 kwa dakika 90.![]()
Sawa Mkuu! Subir MrejeshoAnzisha beting yako mkuu, unaendelea kumtajirisha mhindi tuu.
Hizo hesabu zako labda ukacheze wewe mwenyewe ili utengeneze matokeo kama unavyowaza wewe. Huko kote watu walishapita longi, na nikuambie kitu kuhusu hizi biashara kichaa , unaweka hata timu moja tuu kwa hela kubwa inapitiwa fafsa kipindi cha kwanza tuu. Cha msingi kama unataka mali fanya kazi na uwe na nidhamu ya fedha. Hizi kamari zitakufanya ufe maskini kila siku unacheza na kuwa na matumaini ya kupata kesho mara timu moja imezingua , mara mhindi mchawi unakuja kushtuka uzee huu hapa fedha zote umemalizia kwenye kamari hata hujajenga. Kama biblia inavyosema dhambi ikishakukomaa huzaa mauti, hali kadhalika beti ikisha kukomaa huzaa CASINO , CASINO IKIISHA KUKOMAA HUZAA FOREX FOREX IKIISHA KUKOMAA HUZAA MAUTIHabari Wanajamvi:
Baada Ya Kumsoma Sana My Bro ONTARIO. Kupitia Uzi Wake Wa Fursa Za Forex Na Kauli Zake Za Kutia Moyo Kiukweli Nilihamasil Sana Na Kufikiria Vitu Vingi Sana!
Mwisho Nikaiona Hii Fursa Ya Kujaribu.
Kwa Muda Mrefu Nimemsoma ONTARIO Na Wafuasi Wake Wa Forex! Nikagundua Wote Wana Kauli Moja
FOREX FAIDA= KUSOMA SANAVITABU VYAO + KUWA UPDATED JUU YA TAARIFA MBAMBALI ZA ULIMWENGU.
Nikafikiria Na Kuamua Kurudisha Hizi Kauli Na Biashara Ya Kubeti!
Nikagundua Kote Kunaweza Kuea Sawa.
WHY?
1.Kwenye Forex Watu Wanasoma Sana. The Same Kwenye KuBeti Watu Wanasoma Na Kufuatilia Sana Mienendo Ya Mechi Zilizopita. Misimamo Ya Ligi Etc
2. Kwenye Forex Watu Wanategemea Profit Kubwa Kwa Kuwa Mjanja Na Kuwa Updated! Na Kwenye Kubeti Pia Ukiwa Mjanja Na Updated Unakula Everyday.
FURSA YANGU
Naanza Leo Usiku Kwa Mtaji Wa 50,000/= Nitaleta Mrejesho Kwa Picha After 7 Days.
Ipo Hivi:
Utaanza Na Mtaji Wowote Ila Ukiwa Mkubwa Utapata Faida Zaidi.
Tufanye Kila Siku Ukawa Una Beti Tshs 10,000/= Kwa Kutengeneza Mikeka Miwili Kwa Kufuata Timu Za Aina Hii:
1. Utaweka Timu 2 Tu.
2.ODD Zsizidi 1.7
3. Timu Lazima Iwe Ya Nyumbani
MAHESABU
ODD Ni 1.7
Timu Mbili
Stake Ni 5,000/=
Total ODDS = 2.89
So Hela Utayopata Kwa Mkeka Mmoja Ni Sawa Na
2.89*5000 = 14450/=
Kwa Mikeka Miwili
1445*2 = 28,900/=
Kwa Mwezi = 28,900 * 31 Days Ambayo Ni Sawa Na
895,900/=
Assume Hapa Kati Ukaliwa Kama 300k Faida Itapungua Na Kuwa 500k.
MY TAKE:
Mimi Nimeamua Badala Ya Forex Nitawekeza Huku! Then Nitaleta Mrejesho Kama Anavyofanya Bwana ONTARIO! Wa Forex Baada Ya 1 Month.
Nipeni 1 Month Ya Mrejesho
Naanza Na 50,000/=
MODERATOR
Tafadharini Msifute Wala Kuunga Au Kuhamisha Huu Uzi! Nataka Kujaribu Fursa Niliyoiona Mimi.
MAWAZO, USHAURI, KEJERI, MATUSI VINAKARIBISHWA
MREJESHO
11/11/2017
Mm nafuatana na ww ..Habari Wanajamvi:

Mimi niliweka 2000 nikapata 250,000 kwa dakika 90.![]()
Sawa Mkuu! Hilo Wazo Zuri Ila Ngoja Kwanza Tuone Mrejesho Wa Mwezi Huu. Tutafanya HayoMm nafuatana na ww ..
Tena na sisi Tuamzishe Group letu la Whatsapp ruliite Forex Bett. ..
Na atakeyeingia ahakikishe anakuja kufanya Kazi haswaa no play