Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Hizo hesabu zako labda ukacheze wewe mwenyewe ili utengeneze matokeo kama unavyowaza wewe. Huko kote watu walishapita longi, na nikuambie kitu kuhusu hizi biashara kichaa , unaweka hata timu moja tuu kwa hela kubwa inapitiwa fafsa kipindi cha kwanza tuu. Cha msingi kama unataka mali fanya kazi na uwe na nidhamu ya fedha. Hizi kamari zitakufanya ufe maskini kila siku unacheza na kuwa na matumaini ya kupata kesho mara timu moja imezingua , mara mhindi mchawi unakuja kushtuka uzee huu hapa fedha zote umemalizia kwenye kamari hata hujajenga. Kama biblia inavyosema dhambi ikishakukomaa huzaa mauti, hali kadhalika beti ikisha kukomaa huzaa CASINO , CASINO IKIISHA KUKOMAA HUZAA FOREX FOREX IKIISHA KUKOMAA HUZAA MAUTI
 
Mm nafuatana na ww ..
Tena na sisi Tuamzishe Group letu la Whatsapp ruliite Forex Bett. ..
Na atakeyeingia ahakikishe anakuja kufanya Kazi haswaa no play
 
Mm nafuatana na ww ..
Tena na sisi Tuamzishe Group letu la Whatsapp ruliite Forex Bett. ..
Na atakeyeingia ahakikishe anakuja kufanya Kazi haswaa no play
Sawa Mkuu! Hilo Wazo Zuri Ila Ngoja Kwanza Tuone Mrejesho Wa Mwezi Huu. Tutafanya Hayo
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…