Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Asante Mkuu! Ila Nakuomba Subiri Mrejesho
 
Betting Utamtajirisha mhindi.... Bora ucheze BIKO uijue nguvu ya buku.....
 
Please msiingize wanawake kwa sasa tunajitahidi hatuna wivu wa kijinga wengi tu tunasifiana na hata kuinuana kiuchumi lakini nashangaa wanaume ndio mmekuwa na vijiba mnaoneana wivu na hata kuchongeana siku hizi.

Dada yangu wala usipate shida, unajua kuna vitu vingine vinafanyika mtu unajiuliza huyu anaefanya ni mtu mwenye akili timamu ama anaongozwa na hisia za chuki zilizopitiliza?

Huyo Chasha Poutry Farm anakawaida ya kutuma PM na anafanya hivyo si kwa mtu mmoja hata mimi kanitumia sana PM anatulazimisha tusikubaliane na anachosema Ontario, kwanza alianza wakati ule Ontario anapost picha za Shambani kwake pamoja na Mabanda yake ya Kuku, sasa alichokuwa anakifanya Chasha ni kutuma PM kwa watu na kusema hizo siyo shughuli halali za Ontario bali ni picha tu kazitoa South Africa na ndiyo maana anaficha sura, mimi nikamuuliza wewe ni Verified User mbona Avator yako umeweka picha ya Kuku? Kwa maana hiyo wewe ni Kuku? Hakujibu

Tunapata shida sana na huyu mtu ana chuki tena chuki yake ni mbaya mno na kwa muktadha huu inaonyesha kuwa huyu mtu hata maisha yake ni failure inakuwaje mtu unaonyesha chuki za wazi wazi ambazo si za msingi?

Ndiyo maana nikaufananisha wivu wake kuwa ni wa kike. Dada yangu kama umekwazika uniwie radhi si kuwa na maana hiyo, najua sasa hivi Wanawake mnapambana sana na hali zenu!
 
Thread yako inaendana na ID yako. [HASHTAG]#TanzaniaYaViwanda[/HASHTAG]
 
Mkuu utarudi na mrejesho huku unalia machozi,,football betting haina guarantii ht uweke timu 1 yenye odd ndogo kabisa unachezea tuu za uso
 

Mimi mwenyewe nimemshangaa naona amekuwa na juhudi sana za kumkandia mwenzake may be kuna mahali anazibiwa ndio maana. Nilitaka tu kukwambia hata wanaume wako na wivu mbaya wengine hata wa kuharibiana au kuchongeana nimeona hii kwa macho yangu ndio maana sielewi huo wivu wa kike ukoje? Binadamu wote huwa tuko na roho ya ubinafsi na umimi so vijiba vipi kwa wote. Ila wengine wamevuka mipaka kama hawa tunaowaona kwenye hii thread.
 
vp mkuu unafunguaje account yake ya real account.maana kwa master card ya NMB inazingua mkuu
Kwa wanao tumia iq option broker nitafteni, nina toa signal za uhakika na free kwa makubaliano ya kulipwa baada yakupata faida yako.
vp mkuu unafunguaje account yake ya real account.maana kwa master card ya NMB inazingua mkuu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…