Geofrey tibert
Member
- Oct 13, 2016
- 68
- 62
vp mkuu unafunguaje account yake ya real account.maana kwa master card ya NMB inazingua mkuu.Kwenye kufuatilia haya mambo ya trade nimeona kuwa forex trading ni ngumu ukikompare to IQ Option.
vp mkuu unafunguaje iq option account yake ya real account.maana kwa master card ya NMB inazingua mkuuNijuavyo mm IQ Option is a Binary Broker it doesnt deal with FX Trading,So mnatrade Binaries kinda same but kuna utofauti.Forex Trading is big leagues.
Endelea kusoma soma.
vp mkuu unafunguaje iq option account yake ya real account.maana kwa master card ya NMB inazingua mkuu.Jaman Nani alishawahi kutumia binary option ie IQ OPTION maana mm nmeliwa dola Kama 80 hadi Sasa.
HV hzi binary nazo ni nzuri kujifunzia@ONTARIO and others who are legends
vp mkuu unafunguaje iq option account yake ya real account.maana kwa master card ya NMB inazingua mkuu.By the way, kwa anayetaka kujaribu IQ Option, kwa bongo anaweza asiweze kudownload app kupitia Play Store (Android), lakini anaweza kuipata app mtandaoni. Link: IQ Option - Binary Options apk download page - ApkPlz
vp mkuu unafunguaje iq option account yake ya real account.maana kwa master card ya NMB inazingua mkuu.Mimi app ninayo tumia ni IQ OPTION
Kwa swala la elim nilikua sina kabaisa,na maximum time ya kutrade ni 3mints, na mm nilikua nacheza kama bahati nasibu tu
Now umenifumbua wait niingie class kwanza ndio nirudi tena.
Mkuu kuhusu Bushiri mimi kama mm i do not trust him, so ulivyo mtaja nikaanza jiuliza about mchezo weneywe,
Mkuu nenda play store utapata hiyo app. Then ni vema ukawa na SKRILL account au NETTELER account ambazo ni wallet so ukiweka hela humo kutoka visa card ndio unafund IQ Option. Faida yake ni kuwa ukiweka hela kupitia wallet una uwezo wa kutoa faida hadi 1M dollars ila kupitia visa card huwezi toa zaidi ya kiasi ulichofund. Kwa bank nakushauri utumie card ya Bank ABC. Wataalam wataongezea au kurekebishavp mkuu unafunguaje iq option account yake ya real account.maana kwa master card ya NMB inazingua mkuu.
hii inaitwa dabo deki, umepiga kote kote kila mmoja afanye kile anacho amini.1. Watu wanaofanya/kushabikia forex msitumie nguvu kubwa kuitetea iache forex ijitetee yenyewe. na msiwalazimishe kila mtu afanye kama wewe umevutiwa fanya.
2. watu mnaopinga forex kama hutaki kufanya kwanini mnawakatisha tamaa wengine kufanya. hiyoo ni roho ya ubinafsi.
We unawashwa? make tangu jana una.washwa washwa na Jina langu. Acha ufalaNi kweli Dada yangu Dorrlyn huyu Chasha kwa kweli ni balaa!
uivp mkuu unafunguaje iq option account yake ya real account.maana kwa master card ya NMB inazingua mkuu.
We unawashwa? make tangu jana una.washwa washwa na Jina langu. Acha ufala
Ila chasha ungetulia tu c ingekuwa fresh au[emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27]We unawashwa? make tangu jana una.washwa washwa na Jina langu. Acha ufala
FOREX
Two Strathmore students charged with Sh8m fraud
Jul. 13, 2017, 12:30 am
By ANNETTE WAMBULWA
moneyd
Two Strathmore University student yesterday were charged with conning unsuspecting people out of more than Sh8 million in a pyramid scheme.
Jeff Kiprotich and Stompy Mwendwa denied eight counts of obtaining money by false pretenses before Kibera court senior principal magistrate Barbara Ojoo.
The court was told they committed the offence on February 23 last year at Fatima apartments on Marcus Garvey Road Kilimani, Nairobi.
It is alleged with intent to defraud, the two jointly obtained Sh400,000 from Hellen Ajode by pretending she would benefit from Online Forex Trade at Hive Equity Ltd if she invested in the company.
MFA MAJIFOREX Broker
No online forex broker has local offices in Kenya
Most Kenyan forex traders use brokers like oanda and easyfx all of which have no local offices in Kenya. That means that you only get to interact with your broker by email or skype and a telephone call. That lack of physical interaction has caused doubt among many prospective . Kenyan forex traders so far as determining whether or not the broker is a scam or legit.
Ila chasha ungetulia tu c ingekuwa fresh au[emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27]
Wangejua vijana walivoamka na wanavoendelea kwa kasi kujisajili wangekunywa tu SUMU mana hamna namna yoyote ambayo watafanya kuzuia hii nguvu ya uamsho [emoji23][emoji23]Imepenya iyo
Na umeipenda pia[emoji857][emoji857][emoji857]
Mtu mwenye wivu hawezi kuacha ila anaweza punguza, sasa basi nakushauri Punguza wivu mkuuWe unawashwa? make tangu jana una.washwa washwa na Jina langu. Acha ufala
Umeamka hujaswaki umeanza na Chasha? angaliaMtu mwenye wivu hawezi kuacha ila anaweza punguza, sasa basi nakushauri Punguza wivu mkuu
Wivu na chukiUmeamka hujaswaki umeanza na Chasha? angalia
Naomba ukiona nimecoment yangu wewe ucoment kuni quote. au nitaje
Mbona na post kwa ID yangu? so yoyote anaye post ni Chasha?
Mkuu mimi napost kwa ID yangu na na Coment kwa ID yangu kama hivi.
Tusitafutane ubaya tafadhali sana.
Hao watafute huko mimi hata namba yangu ya simu iko humu na ukitaka nitaiweka hata hapa
Sawa Mkuu Subirhuwa nisipo bet team zinatiki ushind waz waz ila nikiweka ni kilio.......ushauri au nipige tu kazi