Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Nijuavyo mm IQ Option is a Binary Broker it doesnt deal with FX Trading,So mnatrade Binaries kinda same but kuna utofauti.Forex Trading is big leagues.
Endelea kusoma soma.
vp mkuu unafunguaje iq option account yake ya real account.maana kwa master card ya NMB inazingua mkuu
 
Jaman Nani alishawahi kutumia binary option ie IQ OPTION maana mm nmeliwa dola Kama 80 hadi Sasa.


HV hzi binary nazo ni nzuri kujifunzia@ONTARIO and others who are legends
vp mkuu unafunguaje iq option account yake ya real account.maana kwa master card ya NMB inazingua mkuu.
 
Mimi app ninayo tumia ni IQ OPTION

Kwa swala la elim nilikua sina kabaisa,na maximum time ya kutrade ni 3mints, na mm nilikua nacheza kama bahati nasibu tu

Now umenifumbua wait niingie class kwanza ndio nirudi tena.

Mkuu kuhusu Bushiri mimi kama mm i do not trust him, so ulivyo mtaja nikaanza jiuliza about mchezo weneywe,
vp mkuu unafunguaje iq option account yake ya real account.maana kwa master card ya NMB inazingua mkuu.
 
vp mkuu unafunguaje iq option account yake ya real account.maana kwa master card ya NMB inazingua mkuu.
Mkuu nenda play store utapata hiyo app. Then ni vema ukawa na SKRILL account au NETTELER account ambazo ni wallet so ukiweka hela humo kutoka visa card ndio unafund IQ Option. Faida yake ni kuwa ukiweka hela kupitia wallet una uwezo wa kutoa faida hadi 1M dollars ila kupitia visa card huwezi toa zaidi ya kiasi ulichofund. Kwa bank nakushauri utumie card ya Bank ABC. Wataalam wataongezea au kurekebisha
 
1. Watu wanaofanya/kushabikia forex msitumie nguvu kubwa kuitetea iache forex ijitetee yenyewe. na msiwalazimishe kila mtu afanye kama wewe umevutiwa fanya.

2. watu mnaopinga forex kama hutaki kufanya kwanini mnawakatisha tamaa wengine kufanya. hiyoo ni roho ya ubinafsi.
hii inaitwa dabo deki, umepiga kote kote kila mmoja afanye kile anacho amini.
 
d4c0aab0d8f221e20bf49ccb080aa9d0.jpg

FOREX
Two Strathmore students charged with Sh8m fraud

Jul. 13, 2017, 12:30 am

By ANNETTE WAMBULWA

moneyd

FACEBOOK

Two Strathmore University student yesterday were charged with conning unsuspecting people out of more than Sh8 million in a pyramid scheme.

Jeff Kiprotich and Stompy Mwendwa denied eight counts of obtaining money by false pretenses before Kibera court senior principal magistrate Barbara Ojoo.

The court was told they committed the offence on February 23 last year at Fatima apartments on Marcus Garvey Road Kilimani, Nairobi.

It is alleged with intent to defraud, the two jointly obtained Sh400,000 from Hellen Ajode by pretending she would benefit from Online Forex Trade at Hive Equity Ltd if she invested in the company.

FOREX Broker
No online forex broker has local offices in Kenya

Most Kenyan forex traders use brokers like oanda and easyfx all of which have no local offices in Kenya. That means that you only get to interact with your broker by email or skype and a telephone call. That lack of physical interaction has caused doubt among many prospective . Kenyan forex traders so far as determining whether or not the broker is a scam or legit.
MFA MAJI
 
Ila chasha ungetulia tu c ingekuwa fresh au[emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27]

Imepenya iyo
Na umeipenda pia[emoji857][emoji857][emoji857]
Wangejua vijana walivoamka na wanavoendelea kwa kasi kujisajili wangekunywa tu SUMU mana hamna namna yoyote ambayo watafanya kuzuia hii nguvu ya uamsho [emoji23][emoji23]
 
Naomba ukiona nimecoment yangu wewe ucoment kuni quote. au nitaje

Mbona na post kwa ID yangu? so yoyote anaye post ni Chasha?

Mkuu mimi napost kwa ID yangu na na Coment kwa ID yangu kama hivi.

Tusitafutane ubaya tafadhali sana.

Hao watafute huko mimi hata namba yangu ya simu iko humu na ukitaka nitaiweka hata hapa

Nakupa taarifa Chasha Matusi yako unayonitumia kwenye PM siyahitaji, wewe ni Verified User unaanzaje kumtusi mtu kwa kuwa ana hoja tofauti na wewe? Nimekuvumilia sasa ni wakati muafaka Watu wakutambue kuwa si mstaarabu, tunashindana kwa hoja si kwa MATUSI.

Kimsingi agenda yako imeshindwa mpaka sasa, nikufahamishe udhaifu wako wa hoja ulishaonekana toka mwanzo kuwa huamini unachokiongea bali unasukumwa na roho ya chuki uliyonayo kwa Ontario na wale wote wanaomuunga mkono. Tumekubali kushawishika na hoja za Ontario kwa kuwa tumefanya uchunguzi wa kutosha na kubaini anayoyazungumza ni kweli na kweli tupu.

Chasha Poutry Farm acha matusi yako kwangu tena sihitaji unitumie PM zako ambazo hazina kichwa wala miguu, nitazileta Jukwaani uaibike kwa kile ulichoniandikia, kama huwezi kuwa na hoja za kunishawishi nikubali unachokisema basi USINITUSI, ukinitukana ni dhahiri huna hoja, sasa kama hoja huna si umefirisika wewe!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom