Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
sasa sijaelewa ni kuwa lazima u deposit pesa kwenye tickmill
 
Mkuu huu mda na nguvu na akili uliotumia kuleta huu upuuzi wako ungeutumia kuingiza hela ungekuwa mbali sana. Hadi unatia huruma. We kama unaona forex ni scam achana nayo fanya mambo mengine na yule anaona forex ni real, ni njia ya kumuingizia kipato acha afanye. Kila mtu afanye ambacho anaona ni sahihi kwake.

#TMT4LIFE#
 
hivi mkuu hizo Profits ukitaka kuzitoa na kwenda kuzitumia physically zinatoka kweli? au kuna muda maalum wakuziwithdraw? maana isijekuwa ni visual money tu...ukitaka kuzitoa zinakugomea!

Jumanne nkisahau nkimbushe tafadhali...nitawithdraw some amount!nitaweka post.
Yes unaweza withdraw kiasi chochote ata 50$,20,000$ na kadhalika ukitaka
 
Kama ilivyo si kila mtu anajua kucheza mpira, sio kila mtu lazima auze duka, afungue saluni, etc.......vivyo hivyo hata FOREX si ya kila mtu. Anae amini kuwa ni scam na aendelee kuamini lkn asiwapotoshe wengine. Na wewe unaeambiwa chochote kuhusu forex hebu jipe muda wa kutafiti japo kidogo ubaini ukweli
 
Afadhali umeeleweka mkuu mimi nimeanza kutrade na bonus last week na sasa mpaka jana nina usd 130.
Swali langu ni kwamba kuna wanaosema kwamba kupata hio profit ni mpaka kwanza udeposit usd 100 je ni kweli? Au ndo story tu.
 
sijaelewa kuwa ukifungua account live huwa wanakupa bonus kabla ku deposit au baada ya ku deposit
wanakupa bonus kabla ya kudeposit. Inatakiwa ufungue welcome account.
 
Afadhali umeeleweka mkuu mimi nimeanza kutrade na bonus last week na sasa mpaka jana nina usd 130.
Swali langu ni kwamba kuna wanaosema kwamba kupata hio profit ni mpaka kwanza udeposit usd 100 je ni kweli? Au ndo story tu.

Yah ni kweli. Unadeposit dola 100, then unawatumia email ikiwa na akaunti namba zote za welcome na trading accountkuwaomba waihamishie faida yako kuja katika trading account. Watakuhamishia kisha watakutumia email kama hapo juu kuwa uhamisho umekamilika. From there akaunt yako itakuwa na USD 200. na hii USD 200 utaweza kuitoa muda wowote.
 
dah najuta welcome acc yangu ya tickmill nilisajilia majina na email za uongo nikidhan sitoweza kutengeneza profit..saiv ina $140
 
Mwenye link ya video za youtube ambazo naweza kujifunza jins ya kuplot major support n resistance zone anisaidie plz
 
Samahan mkuu kwa hiyo ile faida utakayopata toka kwenye bonus acc ili wakuamishie kwenda kwenye real acc ni lazima udeposit kias fulan cha pesa kwenye live acc?

Yah, lazima udeposit minimum of USD 100.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…