Unachokizungumza hakiingi akirini.Na kama lengo lake ilikua kutoa elimu na sio scaming why is he trying drain people's attaintion on him. Eti local banks zinapinga forex na kusumbua kutoa hela, THE TRUTH IS HAWAWEZI KUTOA FRAUND MONEY ITS NOT EVEN REALLY, NI UTAPELI WA HALI YA JUU NA WOTE MTAKAO JIPELEKA NA KUJIUNGA KWA "KUTUPA" VIJIPESA VYENU KUJIUNGA. MSIJESEMA SIKUWATAHADHARISHA
Kwanini usijifunze ili uweze trade wewe mwenyewe? Forex inaeleweka ukiamua ila sio rahisi(forex is simple but not easy)Wakuu nishakosa mkopo nimpe nani kiela changu nusu cha ada anitradie tu nipate ada yote maana hawa heslb dah washanizimia ndoto
Sio kwa stress hizi nitaweza kudisco kabisaKwanini usijifunze ili uweze trade wewe mwenyewe?
Unaweza kipakua hapo,mi pia ni mmoja wa wanaofatilia kwa karibu uzi huu,naomba kujua application/website inayotumika kutrade hasa kwa beginners,Asante sana
Njia pekee itakayokuwezesha kupata hela kwa uhakika ni kwa kujifunza na kufanya wewe mwenyewe kwa muongozo wa mentors mpaka pale utapoweza jisimamia.Wengi wanaopata faida humu inatokana na muongozo wa mentors.Sio kwa stress hizi nitaweza kudisco kabisa
Sasa kwangu mimi ni tofauti naiwekea ada imagine naogopa nisije nikaichoma nitarudishaje hiyo ada, ada yenyewe ni nusu hata aijatimia ya semista ndio maana ninatafuta tu msamaria anisaidie au kama vipi nitamfata ontario hapo ofisini kwake maana sio kwa shida hizi[emoji17]Njia pekee itakayokuwezesha kupata hela kwa uhakika ni kwa kujifunza na kufanya wewe mwenyewe kwa muongozo wa mentors mpaka pale utapoweza jisimamia.Wengi wanaopata faida humu inatokana na muongozo wa mentors.
Kuunguza account si rahisi kama utatrade kwa kufuata risk management, na hii utapewa muongozo na mentors.Sasa kwangu mimi ni tofauti naiwekea ada imagine naogopa nisije nikaichoma nitarudishaje hiyo ada, ada yenyewe ni nusu hata aijatimia ya semista ndio maana ninatafuta tu msamaria anisaidie au kama vipi nitamfata ontario hapo ofisini kwake maana sio kwa shida hizi[emoji17]
Yes mkuu lazma niingie but first itabidi nipate mtu wa kunisaidia kutrade ili nipate first fees yangu na mahitaji muhimu (baada ya kumpa hiyo lets say laki tatu na nusu) , then nikishafanikiwa na nikatuliza kichwa then nitaingia tmt bossKuunguza account si rahisi kama utatrade kwa kufuata risk management, na hii utapewa muongozo na mentors. Wengi wanaounguza account huwa hawafuati maelekezo ya mentors na wanakuwa wanataka kutajirika kwa haraka ,they gamble but not trading.
Karibu The Million Team.
Weng Sana mkuu, fuatilia comments za Nyuma Pia jua si Kila mtu ana muda wa kuja kutoa ushuhuda Kwa faida yako mzee, ntawithdraw mwsho wa mwez Kama upo dar ntakushtua unisindkize [emoji763]Kuna mdau amefanikiwa ku withdraw PESA huko forex..?
Sijaona ndo nmeuliza tu mkuu kwa wemaWeng Sana mkuu, fuatilia comments za Nyuma Pia jua si Kila mtu ana muda wa kuja kutoa ushuhuda Kwa faida yako mzee, ntawithdraw mwsho wa mwez Kama upo dar ntakushtua unisindkize [emoji763]
Una withdraw kwa card ya benki hipi? Kwa card ya mentor au broker?Weng Sana mkuu, fuatilia comments za Nyuma Pia jua si Kila mtu ana muda wa kuja kutoa ushuhuda Kwa faida yako mzee, ntawithdraw mwsho wa mwez Kama upo dar ntakushtua unisindkize [emoji763]
Weka evidence HAPA mkuuNiliwithidraw wiki iliyopita ,kama unaishi Dar nikitoa tena wiki ijayo nitakukaribisha lunch kama hautajali
Tuonyeshe kuanzia kwenye account yako ya broker Mpk kwnnye account ya bank.... with support evidencewiki mbili zilizopita nilipata faida ya USD 210 ktk mtaji wangu wa USD 248, Nika withdraw hiyo hela ndogo USD 110
Kama hadi hapo hujaamini,basi endelea kutoamini, nakutakia kila la heri.Tuonyeshe kuanzia kwenye account yako ya broker Mpk kwnnye account ya bank.... with support evidence
Njoo tuungane mkuuWakuu natafta mtu wa kuinvest kwake then tugawane profit