Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Kweli hii kitu
 
Hahahahah kweli mkuu hakuna hela rahisi duniani.
Forex mkuu inalipa kabisa hilo halina ubishi ila inatakiwa ujue mambo mengi sana..hasa masuala ya uchumi...usome vitabu vingi na always uwe on point kwenye current affairs hasa za kiuchumi..Trump kasemaje kuhusu unemployment usa..gdp yao..Teresa may anaendeleaje na mazungumzo ya Brexit...ECB inasemaje kuhusu interest rate..vita cha maneno kati ya Trump na kiduku yataipeleka wapi trend ya$?..ni vitu vingi mno kumiss info moja tu..upo matatani...hivyo basi ni watu walioenda shule tu tena shule ya uhakika...na ngeli iwe inapanda kwelikweli!ni hayo tu!
 

Hatusomi sisi tuna broker wetu bana
 

Usiwafundishe hawa washazoea wakiamka wapate umbea insta wema kavaa chupi ya rangi gani au Mange kaleta stori gani
 
Mimi bado mchanga sana na hii kitu. Je Unanishauri nianze vipi ili nielewe haraka haraka?
 
Hakuna uhusiano wa broker's spread na faida mtu anapata anapotrade forex... It's all about discipline and patience.
 
Mimi bado mchanga sana na hii kitu. Je Unanishauri nianze vipi ili nielewe haraka haraka?
Hudhuria mafunzo...na kuna vitabu utapewa..cha msingi soma sana economic bulletins..jaribu kuwa makini na habari zinazotolewa za kuhusu$€£¥..zinazotolewa na viongozi wa nchi zinazotumia hizo pesa hapo juu..na wakuu wao wa central bank zao!mambo ni mengi ila utaanza kidogokidogo!..hata messi au Ronaldo..alianza na danadana!
 
Kuudhiria mafunzo haito wezekana sababu niko nje ya nchi kwa miaka 2. Lakini nimekuelewa kwamba nisome sana kuhusu forex. Asante sana mkuu.
 
Mkuu asanteeeee sana...... good thread, haya ndo mawazo nimekuwa nayatafuta siku zote........nambie mkuu nakupataje nipate practical knowledge and skills katika biashara hii ya kisasa????? I am real attracted, motivated and nipo detemined aiseee......pleaseee ndugu. Hizo training zako zitafanyika lini na wapi mkuu. mawasiliano vipi mkuu????
 
Ndo kwanzaa nimesoma for the first time sijui ni kwa kiasi gani nimechelewa ila poa tu......ngoja nianzie hapa hapa........
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…