NJOGHOMILE
JF-Expert Member
- Jun 11, 2017
- 694
- 1,942
Shukrani mkuuKawaida inatakiwa ufanye demo, then ufanye na cent/micro account, unapotrade na cent account ukideposit $1 inaenda kusoma 100 katika trading platform ($1=100c), now, kwa rate za huyo broker namtumia (bado namalizia kutumia cent account, baada ya kuunguza standard account 3), $1 = 2239TZS, so unaweza kuanza kutrade na cent, ambayo ni real, na ukipata faida unawithdraw, kwa 2239 TZS tu.
Uzuri wa cent ni kwamb utajifunza kucontrol emotions, unlike demo ambayo co real money at all.
Ushauri, tumia demo, then nenda cent, then nenda standard.
Uzuri wake broker huyu http://bit.ly/2hrv3Yo anazo zote tatu.
I hope I've been of help. Ukiamua kuregister ukapata shida ucsite kuntafuta.
All the best!
Nikikwama nitakutafuta