Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] amebahatika
Ni bahati kuchoma akaunti, nazo smtym haziunguagi kirahc... Mi nimechoma 3 tayari, lakn najua ninachokitaka ntakipata tu.

Bahati nzuri, broker wangu ninaweza kufund akaunt hata kwa mpesa, so ni easy, nachoma akaunt, naenda tu mpesa, naifund, narud kuendelea kujifua, ili nijue,
Kwanini Iliungua?[emoji17]
 
Hivi mkuu wewe umepita kwa Ontario?
 
Broker wako minimum deposit yake ni sh ngapi
$25. Katika web. Ila unaweza deposit hata $10. Japo kwa upande wa risk management ukiwa na $10 ni shida sana. Na kwa huyu, rate yake unapodeposit ni $1 = 2239 TZS
 
Uoga wako ndio umaskini wako niliweka mtaj wa $200 leo nimedraw $1000 sasa nataka nin kwa mfano na huu ni mwezi 3. Na bado kuna mijipesa imebaki [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nifundishe hii kitu
 
Labda useme nifuatilie kwa mitandao sio nije nikae darasani nasafiri sana aisee
Kufuatilia kwa mitandao ni vizur but hapo ndipo neno scam linapokuja endapo kama hutaelewa lakini kama utaweza kukaa darasani na kupatiwa darasa na wewe kupata kuuliza vitu ambavyo huelewi au vinakutatanisha ni vizuri zaid ila kama uko willing basi unaweza kudownload vitabu kadha wakadha ili uanze kusoma kidogo kidogo nahis vinapatikana humu humu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Aingie class tu, siku tatu mtu unakosaje???

Ukikosa na kama kuna muda au unaenda pasipokuwa na mitandao maana yake forex hauiwezi
 
Aache kuwa follow akina Wema, Giggy, Mange ahamie kuwa follow akina Cre aka V money
Nimekuelewa sana mkuu
Sio tu cre akina andile,kandile,forx Qeen nk hawana pesa wanawafatilia watu waliotoka tayari wakti hawamsaidii kitu yoyote![emoji124] [emoji124] [emoji124]
Nawasilisha!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ni bahati kuchoma akaunti, nazo smtym haziunguagi kirahc... Mi nimechoma 3 tayari, lakn najua ninachokitaka ntakipata tu.

Bahati nzuri, broker wangu ninaweza kufund akaunt hata kwa mpesa, so ni easy, nachoma akaunt, naenda tu mpesa, naifund, narud kuendelea kujifua, ili nijue,
Kwanini Iliungua?[emoji17]
Ukiendelea na hii spirit uliyonayo ya kutokata tamaa na kujifunza kutokana na makosa utafika mbali ktk hii biashara
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom