Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Victoria Plaza, Samora Ave.,DarOffice za templerfx.com apa bongo zpo wapi
Kweli hii kituWazo la nne
Si hata wazo la msingi sana, hahaa. Sijui niandike nini, lkn nachotaka kumaanisha ni usiwe mchoyo, kama kuna rafiki yako wa faida unahisi inabidi aone huu uzi usisite kumtag.
Ni bora tukaepuka kuQuote huu uzi, ni mrefu sana sana, yani ukiquote unatusumbua sana ambao tunatumia simu na gadgets zingine ndogo ndogo.
Karibuni kwaaliji ya ku discuss.
Updates
Moja ya ombi la msingi ambalo nimeona watu wengi wanaulizia ni - "Ontario ni kitabu gani naweza kuanza nacho?"
Kila mtu ambae yupo interested atafute kitabu kinaitwa Currency trading for Dummies: Kimeandikwa na Brian Dolan 2nd Ed ndio poa zaidi. Cover yake ni kama changano then kuna dunia hivi inaramani za nchi mbali mbali.
Kweli hii kitu
Forex mkuu inalipa kabisa hilo halina ubishi ila inatakiwa ujue mambo mengi sana..hasa masuala ya uchumi...usome vitabu vingi na always uwe on point kwenye current affairs hasa za kiuchumi..Trump kasemaje kuhusu unemployment usa..gdp yao..Teresa may anaendeleaje na mazungumzo ya Brexit...ECB inasemaje kuhusu interest rate..vita cha maneno kati ya Trump na kiduku yataipeleka wapi trend ya$?..ni vitu vingi mno kumiss info moja tu..upo matatani...hivyo basi ni watu walioenda shule tu tena shule ya uhakika...na ngeli iwe inapanda kwelikweli!ni hayo tu!Hahahahah kweli mkuu hakuna hela rahisi duniani.
Kwa wale watakaohitaji kumsoma vizuri TemplerFx broker, watumie link hizi hapa..
Hapo kuna link inayoeleza offer zake, kuna link pia inaeleza aina za account za huyo broker na pia kuna link kwa ajili ya ku log in na kujiunga pia..
Msome vizuri tafadhari kabla haujachukua maamuzi ya kujiunga nae.
Huyu ana tawi tz hapahapa na anakupa uwezo wa kudeposit na kuwithdraw kwa mpesa, na anahtaji kitambulisho cha kura tu kuweza kujiunga nae na kuanza kutrade live.
Ana demo akaunti pia
Templer FX Trader
https://secure.templerfx.com/login?rid=106759
TemplerFX | Promo
Kama kuna sehemu hautaelewa waweza ku ni inbox.
Forex mkuu inalipa kabisa hilo halina ubishi ila inatakiwa ujue mambo mengi sana..hasa masuala ya uchumi...usome vitabu vingi na always uwe on point kwenye current affairs hasa za kiuchumi..Trump kasemaje kuhusu unemployment usa..gdp yao..Teresa may anaendeleaje na mazungumzo ya Brexit...ECB inasemaje kuhusu interest rate..vita cha maneno kati ya Trump na kiduku yataipeleka wapi trend ya$?..ni vitu vingi mno kumiss info moja tu..upo matatani...hivyo basi ni watu walioenda shule tu tena shule ya uhakika...na ngeli iwe inapanda kwelikweli!ni hayo tu!
Exactly. Except there are others who haven't decided yet...Hatusomi sisi tuna broker wetu bana
Tuonyeshe blue screen siyo porojoMrejesho wa forex
Nimeweza kuza USD 10 to 110 ndani ya siku tatu
True story
Tafadhari tupatie link ya broker au website unayetumia na sisi tuangalie hiyo fursa.Mrejesho wa forex
Nimeweza kuza USD 10 to 110 ndani ya siku tatu
True story
Mimi bado mchanga sana na hii kitu. Je Unanishauri nianze vipi ili nielewe haraka haraka?Forex mkuu inalipa kabisa hilo halina ubishi ila inatakiwa ujue mambo mengi sana..hasa masuala ya uchumi...usome vitabu vingi na always uwe on point kwenye current affairs hasa za kiuchumi..Trump kasemaje kuhusu unemployment usa..gdp yao..Teresa may anaendeleaje na mazungumzo ya Brexit...ECB inasemaje kuhusu interest rate..vita cha maneno kati ya Trump na kiduku yataipeleka wapi trend ya$?..ni vitu vingi mno kumiss info moja tu..upo matatani...hivyo basi ni watu walioenda shule tu tena shule ya uhakika...na ngeli iwe inapanda kwelikweli!ni hayo tu!
Hudhuria mafunzo...na kuna vitabu utapewa..cha msingi soma sana economic bulletins..jaribu kuwa makini na habari zinazotolewa za kuhusu$€£¥..zinazotolewa na viongozi wa nchi zinazotumia hizo pesa hapo juu..na wakuu wao wa central bank zao!mambo ni mengi ila utaanza kidogokidogo!..hata messi au Ronaldo..alianza na danadana!Mimi bado mchanga sana na hii kitu. Je Unanishauri nianze vipi ili nielewe haraka haraka?
Kuudhiria mafunzo haito wezekana sababu niko nje ya nchi kwa miaka 2. Lakini nimekuelewa kwamba nisome sana kuhusu forex. Asante sana mkuu.Hudhuria mafunzo...na kuna vitabu utapewa..cha msingi soma sana economic bulletins..jaribu kuwa makini na habari zinazotolewa za kuhusu$€£¥..zinazotolewa na viongozi wa nchi zinazotumia hizo pesa hapo juu..na wakuu wao wa central bank zao!mambo ni mengi ila utaanza kidogokidogo!..hata messi au Ronaldo..alianza na danadana!
Siyo inabidi umtumie broker au broker's platform kabla ya kutrade?Hakuna uhusiano wa broker na faida mtu anapata anapotrade forex
Namtumia broker anaeitwa JP MarketsTafadhari tupatie link ya broker au website unayetumia na sisi tuangalie hiyo fursa.
Sorry boss, I meant to say "broker's spread"Siyo inabidi umtumie broker au broker's platform kabla ya kutrade?