Hujachelewa... Market ipo miaka yoteNdo kwanzaa nimesoma for the first time sijui ni kwa kiasi gani nimechelewa ila poa tu......ngoja nianzie hapa hapa........
Mimi bado mchanga sana na hii kitu. Je Unanishauri nianze vipi ili nielewe haraka haraka?
Na nilkuwa napendelea sana kama tunaweza kuform Whatsapp Group Admin Awe hata ONTARIO mwenyewe itapendeza sana Naomba kuwasilisha...
Nimefurahi sana kupata mtu wa kunitaka nithibitishe hili na nilikuwa nasubiria kwa hamu sana kupata nafasi hii adimuTuonyeshe blue screen siyo porojo
Ahaa ratiba za TMT kumbe bado zinaendelea..!! Nashukuru sana asante!Kama uko Dsm subiri Ratiba ya January ukasomee pale Jangid plaza 2nd floor ulizia TMT ofisi utapata maelezo
Mimi hii kitu nilipojiunga JF nikakuta tayari kashaweka huu uzi ambao ndio uzi wa kwanza kuelezea hii FOREX.Hujachelewa... Market ipo miaka yote
Yaani nimeskitika sana baada ya kuambiwa mpaka january. Nilijipanga nihudhurie semina popote tarehe za mwisho mwezi huu au mwanzon desembaKama uko Dsm subiri Ratiba ya January ukasomee pale Jangid plaza 2nd floor ulizia TMT ofisi utapata maelezo
Yaani nimeskitika sana baada ya kuambiwa mpaka january. Nilijipanga nihudhurie semina popote tarehe za mwisho mwezi huu au mwanzon desemba
Exactly... Lakn kwa muda huu ni bora ukatafta vitabu ukawa wajisomea mdogo mdogoMimi hii kitu nilipojiunga JF nikakuta tayari kashaweka huu uzi ambao ndio uzi wa kwanza kuelezea hii FOREX.
Nimefuatilia sana na nina Imani ipo siku nitaanza kujifunza na mimi pia.
Sina haraka na hii kitu kwa sababu ipo na itaendelea kuwepo maana imeanza miaka mingi iliyopita lakini waliokuwa wanaijua walikuwa wanatrade wakiwa wamejifungia ndani kwenye vyumba vyao.
Ngoja nimalize kwanza mambo yangu ninayoyafanya kwa sasa, nikiyamaliza najua nitapata muda mzuri wa kujifunza effectively.
Mtu kama anaona ratiba zake zimebana ni bora akatafuta muda mzuri akiwa free ili kujifunza hii kitu vizuri na sio kwa haraka haraka halafu partially tu maana inahitaji umakini sana.
Vitabu ninavyo mkuu.Exactly... Lakn kwa muda huu ni bora ukatafta vitabu ukawa wajisomea mdogo mdogo
Mkuu pole sana ila mwakani sio mbali, sisi tupo sasa hivi tunatengeneza pesa za kula christmass na mwaka mpya[emoji4]Yaani nimeskitika sana baada ya kuambiwa mpaka january. Nilijipanga nihudhurie semina popote tarehe za mwisho mwezi huu au mwanzon desemba
Ushauri wangu, tafuta vitabu, soma sana, na fungua demo akaunti...Yaani nimeskitika sana baada ya kuambiwa mpaka january. Nilijipanga nihudhurie semina popote tarehe za mwisho mwezi huu au mwanzon desemba
Usisahau demo akaunt boss, natumia huyu http://bit.ly/2hrv3Yo kwa demo account na cent account, brokers wengi hawana cent account, kama wanazo, sio rafiki sana kwa mazingira ya tzVitabu ninavyo mkuu.
Nipo kwenye group la Telegram la Forex, kule kuna vitabu na mazaga mazaga kibao.
Ni kupakua tu bila shida yoyote.
Sawa mkuu.Usisahau demo akaunt boss, natumia huyu http://bit.ly/2hrv3Yo kwa demo account na cent account, brokers wengi hawana cent account, kama wanazo, sio rafiki sana kwa mazingira ya tz
I hope you know the importance of demo account....Sawa mkuu.
Ahsante sana!!
Kwa jinsi nilivyojaribu kufuatilia hii kitu, Demo Account naielewa umuhimu wake.I hope you know the importance of demo account....
Kawaida inatakiwa ufanye demo, then ufanye na cent/micro account, unapotrade na cent account ukideposit $1 inaenda kusoma 100 katika trading platform ($1=100c), now, kwa rate za huyo broker namtumia (bado namalizia kutumia cent account, baada ya kuunguza standard account 3), $1 = 2239TZS, so unaweza kuanza kutrade na cent, ambayo ni real, na ukipata faida unawithdraw, kwa 2239 TZS tu.Kwa jinsi nilivyojaribu kufuatilia hii kitu, Demo Account naielewa umuhimu wake.
ONTARIO alisema humu aliitumia kwa takribani miezi 3 kabla hajafungua real Account.
Kwa hiyo na mimi nikianza lazima nijiridhishe kama nimeielewa kweli kabla sijaingia kwenye real.