Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Vipi wanandugu humu nani Habari za Mihangaiko ya hapa mjini.. Vipi jamanii kuhusu Mawasiliano ya Ontario na sisi wengine maana ni Muhimu sana kupashana habari kwa haraka
 
Na nilkuwa napendelea sana kama tunaweza kuform Whatsapp Group Admin Awe hata ONTARIO mwenyewe itapendeza sana Naomba kuwasilisha...
 
Tuonyeshe blue screen siyo porojo
Nimefurahi sana kupata mtu wa kunitaka nithibitishe hili na nilikuwa nasubiria kwa hamu sana kupata nafasi hii adimu

.....updates .......

Nimejifikiria mara mbili sitaleta blue screen kama uthibitisho ,isije nayo ukadai ni porojo

Ila nakupa assignment utafute mawasiliano ya JP markets na uwaulize kuwa,kama katika traders wao wa Tanzania chini ya The Million Team, kama kuna trader yoyote ameweza fanya kama nilichokiandika hapo (kukuza balance ya USD 10 hadi 110 USD ) yaani toka jumatano asbh hadi ijumaa usiku wa saa 7 soko lilipofungwa

Ushauri: usidhani kila mtu humu anaandika hicho ulichoita porojo.
 
Hujachelewa... Market ipo miaka yote
Mimi hii kitu nilipojiunga JF nikakuta tayari kashaweka huu uzi ambao ndio uzi wa kwanza kuelezea hii FOREX.

Nimefuatilia sana na nina Imani ipo siku nitaanza kujifunza na mimi pia.

Sina haraka na hii kitu kwa sababu ipo na itaendelea kuwepo maana imeanza miaka mingi iliyopita lakini waliokuwa wanaijua walikuwa wanatrade wakiwa wamejifungia ndani kwenye vyumba vyao.

Ngoja nimalize kwanza mambo yangu ninayoyafanya kwa sasa, nikiyamaliza najua nitapata muda mzuri wa kujifunza effectively.

Mtu kama anaona ratiba zake zimebana ni bora akatafuta muda mzuri akiwa free ili kujifunza hii kitu vizuri na sio kwa haraka haraka halafu partially tu maana inahitaji umakini sana.
 
Kama uko Dsm subiri Ratiba ya January ukasomee pale Jangid plaza 2nd floor ulizia TMT ofisi utapata maelezo
Yaani nimeskitika sana baada ya kuambiwa mpaka january. Nilijipanga nihudhurie semina popote tarehe za mwisho mwezi huu au mwanzon desemba
 
Mimi hii kitu nilipojiunga JF nikakuta tayari kashaweka huu uzi ambao ndio uzi wa kwanza kuelezea hii FOREX.

Nimefuatilia sana na nina Imani ipo siku nitaanza kujifunza na mimi pia.

Sina haraka na hii kitu kwa sababu ipo na itaendelea kuwepo maana imeanza miaka mingi iliyopita lakini waliokuwa wanaijua walikuwa wanatrade wakiwa wamejifungia ndani kwenye vyumba vyao.

Ngoja nimalize kwanza mambo yangu ninayoyafanya kwa sasa, nikiyamaliza najua nitapata muda mzuri wa kujifunza effectively.

Mtu kama anaona ratiba zake zimebana ni bora akatafuta muda mzuri akiwa free ili kujifunza hii kitu vizuri na sio kwa haraka haraka halafu partially tu maana inahitaji umakini sana.
Exactly... Lakn kwa muda huu ni bora ukatafta vitabu ukawa wajisomea mdogo mdogo
 
Yaani nimeskitika sana baada ya kuambiwa mpaka january. Nilijipanga nihudhurie semina popote tarehe za mwisho mwezi huu au mwanzon desemba
Mkuu pole sana ila mwakani sio mbali, sisi tupo sasa hivi tunatengeneza pesa za kula christmass na mwaka mpya[emoji4]
 
Yaani nimeskitika sana baada ya kuambiwa mpaka january. Nilijipanga nihudhurie semina popote tarehe za mwisho mwezi huu au mwanzon desemba
Ushauri wangu, tafuta vitabu, soma sana, na fungua demo akaunti...
Kwa bongo, broker huyu http://bit.ly/2hrv3Yo atakufaa. Tumia demo mpaka uone unaweza, na ukienda kupata training unakuwa unafukia fukia tu magape.

All the best!
 
I hope you know the importance of demo account....
Kwa jinsi nilivyojaribu kufuatilia hii kitu, Demo Account naielewa umuhimu wake.

ONTARIO alisema humu aliitumia kwa takribani miezi 3 kabla hajafungua real Account.

Kwa hiyo na mimi nikianza lazima nijiridhishe kama nimeielewa kweli kabla sijaingia kwenye real.
 
Kawaida inatakiwa ufanye demo, then ufanye na cent/micro account, unapotrade na cent account ukideposit $1 inaenda kusoma 100 katika trading platform ($1=100c), now, kwa rate za huyo broker namtumia (bado namalizia kutumia cent account, baada ya kuunguza standard account 3), $1 = 2239TZS, so unaweza kuanza kutrade na cent, ambayo ni real, na ukipata faida unawithdraw, kwa 2239 TZS tu.

Uzuri wa cent ni kwamb utajifunza kucontrol emotions, unlike demo ambayo co real money at all.

Ushauri, tumia demo, then nenda cent, then nenda standard.

Uzuri wake broker huyu http://bit.ly/2hrv3Yo anazo zote tatu.

I hope I've been of help. Ukiamua kuregister ukapata shida ucsite kuntafuta.

All the best!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom