Ni bahati kuchoma akaunti, nazo smtym haziunguagi kirahc... Mi nimechoma 3 tayari, lakn najua ninachokitaka ntakipata tu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] amebahatika
Hivi mkuu wewe umepita kwa Ontario?Ni bahati kuchoma akaunti, nazo smtym haziunguagi kirahc... Mi nimechoma 3 tayari, lakn najua ninachokitaka ntakipata tu.
Bahati nzuri, broker wangu ninaweza kufund akaunt hata kwa mpesa, so ni easy, nachoma akaunt, naenda tu mpesa, naifund, narud kuendelea kujifua, ili nijue,
Kwanini Iliungua?[emoji17]
$25. Katika web. Ila unaweza deposit hata $10. Japo kwa upande wa risk management ukiwa na $10 ni shida sana. Na kwa huyu, rate yake unapodeposit ni $1 = 2239 TZSBroker wako minimum deposit yake ni sh ngapi
Yes. Niko TMT G6, Class of Mbeya.Hivi mkuu wewe umepita kwa Ontario?
Okey poa mkuuYes. Niko TMT G6, Class of Mbeya.
But I believe kwamba nimesoma sana vitabu kabla.
Nifundishe hii kituUoga wako ndio umaskini wako niliweka mtaj wa $200 leo nimedraw $1000 sasa nataka nin kwa mfano na huu ni mwezi 3. Na bado kuna mijipesa imebaki [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nifundishe hii kitu
Huwez ama ni nnSijawai hata kumfundisha mtu hesabu za Mara iwe hii
Huwez ama ni nn
Labda useme nifuatilie kwa mitandao sio nije nikae darasani nasafiri sana aiseeFuata maelekezo ya ontario na lini ataanza darasa tena au follow instagram akaunt ya TMT
Kufuatilia kwa mitandao ni vizur but hapo ndipo neno scam linapokuja endapo kama hutaelewa lakini kama utaweza kukaa darasani na kupatiwa darasa na wewe kupata kuuliza vitu ambavyo huelewi au vinakutatanisha ni vizuri zaid ila kama uko willing basi unaweza kudownload vitabu kadha wakadha ili uanze kusoma kidogo kidogo nahis vinapatikana humu humuLabda useme nifuatilie kwa mitandao sio nije nikae darasani nasafiri sana aisee
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kufuatilia kwa mitandao ni vizur but hapo ndipo neno scam linapokuja endapo kama hutaelewa lakini kama utaweza kukaa darasani na kupatiwa darasa na wewe kupata kuuliza vitu ambavyo huelewi au vinakutatanisha ni vizuri zaid ila kama uko willing basi unaweza kudownload vitabu kadha wakadha ili uanze kusoma kidogo kidogo nahis vinapatikana humu humu
Aache kuwa follow akina Wema, Giggy, Mange ahamie kuwa follow akina Cre aka V moneyFuata maelekezo ya ontario na lini ataanza darasa tena au follow instagram akaunt ya TMT
Nimekuelewa sana mkuuAache kuwa follow akina Wema, Giggy, Mange ahamie kuwa follow akina Cre aka V money
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimekuelewa sana mkuu
Sio tu cre akina andile,kandile,forx Qeen nk hawana pesa wanawafatilia watu waliotoka tayari wakti hawamsaidii kitu yoyote![emoji124] [emoji124] [emoji124]
Nawasilisha!
Ukiendelea na hii spirit uliyonayo ya kutokata tamaa na kujifunza kutokana na makosa utafika mbali ktk hii biasharaNi bahati kuchoma akaunti, nazo smtym haziunguagi kirahc... Mi nimechoma 3 tayari, lakn najua ninachokitaka ntakipata tu.
Bahati nzuri, broker wangu ninaweza kufund akaunt hata kwa mpesa, so ni easy, nachoma akaunt, naenda tu mpesa, naifund, narud kuendelea kujifua, ili nijue,
Kwanini Iliungua?[emoji17]