Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Pips-percentag in points: badiliko dogo la hiyo currency yaani kiwango cha thamani ile inavyoongezeka au kupungua

Leverage-kiwango cha mkopo ambacho broker anakuwkea

Lots:units ambazo utakuwa unafanya transaction kulingana na aina ya akaunt
unayofungua
Signal.hiki ni kitendo cha kupewa taarifa uuze au ununue pair flani kulinkulinga na analysis. Zake za solo
Kuna vingine kama equity:spread:margin
Dada forex inayofanywa kwa mtindo wa margin ina risk kubwa maana mtaji wako wore unaweza potea kama hauwezi vumilia risks sikushauri ufanye hii kitu au fanya
Forex kwa njia ya kawaida ila return yake ni ndogo: forex inahitaji balls of steel
Kikubwa utumie muda mwingi kujielimisha mwenyewe hasa kwa kusoma vitabu na hata kutafuta mentor wa ukweli
 
Dada forex inayofanywa kwa mtindo wa margin ina risk kubwa maana mtaji wako wore unaweza potea kama hauwezi vumilia risks sikushauri ufanye hii kitu au fanya
Forex kwa njia ya kawaida ila return yake ni ndogo: forex inahitaji balls of steel
Kikubwa utumie muda mwingi kujielimisha mwenyewe hasa kwa kusoma vitabu na hata kutafuta mentor wa ukweli
Thanks Mkuu,
Kumbe kuna aina njia mbili za kufanya Forex??
 
High risk high reward.... Low risk low reward.... Kuogopa risk ni ujinga.... Only those who dare to take risk ndio leo watu wanawaabudu. Napata somo kubwa sana kila nikisoma story ya George Soros. There is no need to fear anything. Focus on what you want to do as long as upo right and unabelieve upo right....
 
Thanks Mkuu,
Kumbe kuna aina njia mbili za kufanya Forex??
Ndio hii ya online inatuwezesha retail traders kuaccess ambapo tunatumia broker nyingine si unaweza fanya kwa kununua na kuuza kwenye bureau de change yaani unafanya manualy na transaction unayofanya ni ndogo tofauti na ya kutumia broker
 
Ndio hii ya online inatuwezesha retail traders kuaccess ambapo tunatumia broker nyingine si unaweza fanya kwa kununua na kuuza kwenye bureau de change yaani unafanya manualy na transaction unayofanya ni ndogo tofauti na ya kutumia broker
Oh, sawa,
Kumbe ni ile ya Kwenda Physically Bureau de Change na hii ya Online,
Nimekuelewa now.

Sasa hii ya Online unamuuzia au kununua kwa nani?? Bureau de Change shop inayohusika hapa ni nani hasa??
 
High risk high reward.... Low risk low reward.... Kuogopa risk ni ujinga.... Only those who dare to take risk ndio leo watu wanawaabudu. Napata somo kubwa sana kila nikisoma story ya George Soros. There is no need to fear anything. Focus on what you want to do as long as upo right and unabelieve upo right....
Damnn it umetoa point ukiweza kumenej fear forex umeshinda nachukia fear ningekua smartfoni ninge uninstall
 
Oh, sawa,
Kumbe ni ile ya Kwenda Physically Bureau de Change na hii ya Online,
Nimekuelewa now.

Sasa hii ya Online unamuuzia au kununua kwa nani?? Bureau de Change shop inayohusika hapa ni nani hasa??
kwanza ya online huwa tunafanya kwa kutumia broker, kuna broker wa aina mbili ambao ni market maker na STP/ECN (Straight Through Processing/Electronic Communication Network) huyu stp/ecn anaact kama interface na anakuunganisha na liquidity providers kama mabank, hedge funds nk na huwa wana liquidity providers wengi kwa hiyo transaction unayofanya itakuwa inakwenda kwa hao liquidity providers brocker yeye atakuchaji hela yake kwa mtindo wa spreads au commission na hawa huweka bei halisi ya soko ila kwa market maker hawa huwa wanaweka price yao lakini pia wakati mwingine wana-trade against na ww kwa hiyo hapa inaweza tokea conflict of interest hawa hutake advantage ya kwamba, zaidi ya 90% ya reatail traders hupata hasara na wengi wao kwa makosa yao wenyewe
Kwa zaidi soma kitabu cha forex bible pia kuna link ya babypips immewekwa ila usiogope ila ukiilewa vizuri forex pesa ipo for sure ila tumia muda mwingi sana kujifunza
 
Jangid napajua, opposite na St. Peters,
Ila tu nijifunze kwanza kupitia humu then nikiiva ndio nichague Centre ya kumalizia,
By the way sintoenda kwenye hizi Centres zinazojitangaza sana,
Maana Centre ikishakua kubwa nayo ina changamoto zake
Forex is not for everyone,

Hutaki kusoma utaishia kuunguza account....
 
  1. What is Forex?
    Think the stock market is huge? Think again. Learn about the LARGEST financial market in the world and how to trade in it.
    1. What Is Traded In Forex?
      Currencies are the name of the game. Yes, you can buy and sell currencies against each other as a short-term trade, long-term investment, or something in-between.

    2. Buying And Selling Currency Pairs
      The first thing that you need to know about forex trading is that currencies are traded in pairs; you can’t buy or sell a currency without another.

    3. Forex Market Size And Liquidity
      The Forex market is yuuuuuuuggggeeee! And that comes with a lot of benefits for currency traders!

    4. The Different Ways To Trade Forex
      Some of the more popular ways that traders participate in the forex market is through the spot market, futures, options, and exchange-traded funds.
  2. Why Trade Forex?
    Want to know some reasons why traders love the forex market? Read on to find out what makes it so attractive!
    1. Why Trade Forex: Advantages Of Forex Trading
      Low transaction costs and high liquidity are just a couple of the advantages of the forex market.

    2. Why Trade Forex: Forex vs. Stocks
      Nobody likes bullies! Good thing for us, unlike the stock market, there is no one financial institute large enough to corner the forex market!

    3. Why Trade Forex: Forex vs. Futures
      The futures market trades a puny $30 billion per day. Thirty billion? Peanuts compared to the FIVE TRILLION that is traded daily in the forex market!
  3. Who Trades Forex?
    From money exchangers, to banks, to hedge fund managers, to local Joes like your Uncle Pete - everybody participates in the forex market!
    1. Forex Market Structure
      Because there is no centralized market, tight competition between banks normally leads to having the best prices! Boo yeah!

    2. Forex Market Players
      The forex market is basically comprised of four different groups.

    3. Know Your Forex History!
      If it wasn’t for the Bretton Woods System (and the great Al Gore), there would be no retail forex trading! Time to brush up on your history!
  4. When Can You Trade Forex?
    Now that you know who participates in the forex market, it's time to learn when you can trade!
    1. Forex Trading Sessions
      Just because the forex market is open 24 hours a day doesn’t mean it’s always active! See how the forex market is broken up into four major trading sessions and which ones provides the most opportunities.

    2. When Can You Trade Forex: Tokyo Session
      Godzilla, Nintendo, and sushi! What’s not to like about Tokyo?!? The Tokyo session is sometimes referred to as the Asian session, which is also the session where we start fresh every day!

    3. When Can You Trade Forex: London Session
      Not only is London the home of Big Ben, David Beckham, and the Queen, but it’s also considered the forex capital of the world–raking in about 30% of all forex transactions every day!

    4. When Can You Trade Forex: New York Session
      New York baby! The concrete jungle where forex dreams are made of! Just like Asia and Europe, the U.S. is considered one of the top financial centers in the world, so it definitely sees its fair share of action–and then some!

    5. Best Times of Day to Trade Forex
      Trading is all about volatility and liquidity. Which times of day provide the most dynamic market action and volumes?

    6. Best Days of the Week to Trade Forex
      Each trader should know when to trade and when NOT to trade. Read on to find out the best and worst times to trade.
  5. How Do You Trade Forex?
    Now, it's time to learn HOW to rake in the moolah!
    1. How to Make Money Trading Forex
      Just like any other market: buy low and sell high…and vice versa. Simple, right!?

    2. Know When to Buy or Sell a Currency Pair
      Let’s start with the very basics. First, what drives the value of a currency?

    3. What is a Pip in Forex?
      You’ve probably heard of the terms “pips,” “pipettes,” and “lots” thrown around, and here we’re going to explain what they are and show you how their values are calculated.

    4. What is a Lot in Forex?
      How many units of currency can we trade? What size positions can we trade and what are they called?

    5. Impress Your Date with Forex Lingo
      Wanna impress your crush? Here are some forex terms to help you wow that special someone!

    6. Types of Forex Orders
      “Would you like pips with that?” Okay, not that type of order, but buying and selling currencies can be just as simple with a little practice.

    7. Demo Trade Your Way to Success
      Currency market behavior is constantly evolving. Trade on demo first to get a lot of the rookie mistakes out of the way before risking live capital. There are no take-backs in the real market.

    8. Forex Trading is NOT a Get-Rich-Quick Scheme
      While possible if you’re a trading genius with ice in your veins and you’re luckier than a lottery winner, building wealth through trading takes time and practice to build the skills and experience needed to be successful.
 
1601901a5ea104d5a78ed8ea4586ae7c.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom