witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] una hatariiiHahahahahahaha before then after
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] una hatariiiHahahahahahaha before then after
Mkiwa mnapata loss pia mtupie hapaHongera mkuu. Utukumbuke Nasisi Japo 3000 Ya Maji
tafuta kitabu cha forex usome ni simple utaielewa,forex bibble au currencies for dummiesWakuu wangu kwema??
Nimekua mfuatiliaji wa mijadala mbalimbali inayoendelea kuhusu Forex. Sasa nimeamini kua hii kitu ni kweli ipo tukiacha matatizo ya hapa na pale.
Binafsi ni mhitimu wa Degree ya Uhasibu pale IFM, na somo la International Finance nimelisoma lakini hii kitu inaitwa FOREX naiona iko complicated kidogo. Pengine ndio ishara kua Mitala yetu imeundwa kumkaririsha zaidi mhitimu kuliko kuelewa uhalisia wake ulivyo (reality).
Tukiachana na hilo, mimi ningependa kuifahamu zaidi hii kitu. Kuna terminologies mbalimbali kama vile Pips, Lot size, Signals, etc nimezisikia sikia hapa JF sizielewi zinamaanisha nini. So ningependa kuelekezwa au kufahamishwa kuhusu hili.
Najua kuna vituo au watu binafsi wanafundisha haya mambo kwa malipo fulani, ila binafsi ningependa kuyajulia humu JF kwanza ili angalu nikipata Mwanga basi ndio nijiunge labda kwenye hizo Centre. Pili hapa JF wapo watu ambao wana uelewa Mkubwa wa hii biashara kuliko hata Walimu wa hizo Centre na tatu hapa tunaweza kupeana shule freely tu.
Tufafanuliane tu kuhusu hizo terms na zingine, zinatumika wakati gani, etc
Karibuni
Unajua cha kusoma bana ni tofauti na cha kuambiwa au kuelekezwa na mtu aiseetafuta kitabu cha forex usome ni simple utaielewa,forex bibble au currencies for dummies
kama upo dar kuna training inaendelea pale jangid plaza.itakua poa sana kwako.Unajua cha kusoma bana ni tofauti na cha kuambiwa au kuelekezwa na mtu aisee
kweli aisee tukutumie presentation za ontario.Unajua cha kusoma bana ni tofauti na cha kuambiwa au kuelekezwa na mtu aisee
Hiyo Training naifahamu Mkuu,kama upo dar kuna training inaendelea pale jangid plaza.itakua poa sana kwako.
Sawa,Kwanza jua kua Forex inasimama badala ya neno Foreign Exchange.
Ok so inamaanisha ni kuexchange currency mbili kwa kuinunua moja wakati ina thamani ndogo na kuiuza wakati ina thamani kubwa.Sawa,
Hiyo nafahamu tayari, nitashukuru ukiendelea zaidi
Hapo naelewa,Ok so inamaanisha ni kuexchange currency mbili kwa kuinunua moja wakati ina thamani ndogo na kuiuza wakati ina thamani kubwa.
Mfano kati ya Euro na USD, uinunue Euro wakati ina thamani ndogo na uiuze ikipanda thamani. Kwakua soko linabadilika ndani ya dakika hapo ndiyo unaambiwa ukeshe ujifungie usome.
Jangid napajua, opposite na St. Peters,Nenda Jangid Plaza , The HQ of TMT under Sirjef au Ontario utapata Kujua maana nzima ya Forex.
Panda gari za kwenda posta halafu shuka kituo cha mbuyuni ulizia Jangid plaza iko wapi
Wewe ni mhitimu wa chuo, jiwekee mazingira ya kujisomea mwenyewe na kupata maarifa, haya kuambiwa unaweza ishia kulishwa kasa.Unajua cha kusoma bana ni tofauti na cha kuambiwa au kuelekezwa na mtu aisee
Ahsante Mkuu wangu,Wewe ni mhitimu wa chuo, jiwekee mazingira ya kujisomea mwenyewe na kupata maarifa, haya kuambiwa unaweza ishia kulishwa kasa.
Download app inaitwa GoForex, inapatikana play store (android) and app store(iOS)
Hiyo.itakupa mwangaza kidogo baada ya hapo.utajua ni kitabu gani unataka kujisomea ili uongeze ujuzi, kama ni mvivu wa kusoma achana na Forex utaishia tu kulalamika kuwa umetapeliwa pale utakapo unguza account..