Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Mkuu unatisha.
Af kwa 9 USD unaweza kutembea na 0.03 lot kwa leverage ya ngapi mkuu
Vipi strategy au ndio holy grail [emoji3]

Tupeane uzoefu coz kama umeweza kupandisha hiyo what will happen if you have 1000 USD Balance
no si holly grail nilitrade kw SMA cross over + Rsi oversold + candlestic ilionyesha sirais revesal to buyer kushika gari + kwajina la yesu ndo nikafungua lots izo + money afford to loose
 
Forex traders tutumie huu Uzi pia kushare analysis na,strategies ni vizuri tusijiingize kwenye marumbano na yoyote atakae jaribu kuprovoke ni vizuri kumuacha na kuheshimu mtazamo wake ili lengo la uzi usiharibiwe

Ndio lengo kuu la uzi mkuu.
 
Sii mtaalam saaan bt nimemenej akaunt ya ambao ni wagumu wa mioyo tumebishana hapa home sasa nalipwa Wamesema haitofika hamsini wameweka dau laki mbili naichukua kilainiiView attachment 673247
Nkichek balance 9$ af nkichek lot ulotumia hakika Mungu alikua na ww mana ingeyumba tu kidogo ukikua unakusanya majivu yako

By the way ni broker gani unatumia kama hutojali lkn mkuu
 
from nine
Screenshot_2018-01-12-18-21-46.png
 
Eshimu kidogo unacho kipata ndicho kinacho tengeneza kikubwa Michezo ya pata potea haija wahi kumuacha mtu salama

All the best.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom