Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Bosi, katika vitu ambavyo najiamini navyo ni kuwa Mimi ni msomaji mzuri. Sina uvivu katika hilo. Na sisomi kama hadithi.

Tuwe wa kweli hapa. Tusije potezana.

Kuna wenzetu hapa hawana access na mambo mengi sana na bwana Ontario alivyoleta story za kupika pesa inawezekana kuna wadau walichukulia kirahisi hii 'game'

Nna uhakika wengine wameanza kucheza. Lakini it is not too late. Tushtuane. Tujuzane yaliyo ya msingi kabisa katika hii biashara

Kwamfano kuna Forex brokers nyingi mno zinamea kila kukicha ambazo ni scam. Ukifanya nao hii business lazima uliwe haijalishi hata kama ulikuwa upate.

Hawana aibu, unaliwa tu. Na nyingi huna pa kushtaki. Brokers kama wa sijui Belize, etc.
Mimi huwa nashindwa kuelewa hizi negativity zetu! Mimi binafsi nimejaribu kufuatilia hizi issue kwamba "lazima uliwe hata kama ulikuwa upate" yaani kwamba ulienda sawa na market kwamba upate loss!?!

Hii kitu sio kweli!! Natoa mfano mmoja ambao niliufuatilia nikagundua ni uongo!

Wanao fanya biashara ya Forex wengi wapo kwenye ma group ya watsap, telegram! Jiulize swali, wote wanatumia broker mmoja!? Obvious itakuwa BIG NO! Sasa kama wa broker X amepata Loss anayemtumia Y atapata profit kwa pair hiyo hiyo moja na kwa entry moja!?! Hii sijawahi kuiona zaidi mtazidaina faida au hasara kwa sababu ya spread za brokers!!

Ila sijawahi kusikia kwamba mmoja wa broker Y ali SELL EURUSD na wa broker X ali SELL EURUSD hiyo hiyo na wote wakaingia kwa price moja then mwisho wa siku mmoja avune faida na mwingine avune hasara kwa broker kumpeleka upande wa hasara!! Hayo yangeshaonekana kwenye groups za Wanao trade huko
 
TICKMILL
Deposit and Withdrawing using Mpesa
fc6883160262ef6b6d56b5dd29941f0b.jpg
38fa75f0c9985b2dcd6342ccb5ccdb92.jpg
1ab6abb7e6b89115f251ebcfc5f2665e.jpg
18b3365e2452cd294aa86e937771dcd7.jpg
 
Develop Your Strategy And Be A Consistent Profitable Trader.

Kuna matatizo mengi linapokuja suala la kutrade.

Kuna kuchoma akaunt, kuna kuhold reds, kuna kupigwa kwa stop loss...

Je, umejiandaa vya kutosha kuweza kuhimili mikiki mikiki ya market?

Unajua wapi unapaswa kuopen trade, na wakati gani unatakiwa kufunga?

Unaweza jua, kuna hatua 3 muhimu ambazo hupaswi kuzi overlook.

Ukiipita na kuiacha moja, hali yako itakuwa mbaya...

1. SOMA.
Hakuna option nyingine hapa. Ni kusoma tu. Kuna vitabu vingi vya strategy tofauti tofauti ambazo unaweza kutumia, na kuapply ile unataka...
Kwa sbb wengi humu hawana access na vitabu, nliamua kuanzisha channel telegram ili iwe rahc kupata vitabu ambavyo vinaweza kusaidia kupata elimu ya haya mambo.
Vitabu vinapatikana hapa FX Trading Books


2. DEMO TRADING:
Hii hutumia virtual money, ambayo broker anaiweka katika akaunt ili uweze kujifunzia.. Hapa utajifunza kutrade, na hasa kujua nini ni nini... Kuanzia kufungua position na matumizi ya kawaida ya MT4...
Na kama ukikosea, the money you loose is not yours... Lakini ukipata faida, the profit is not yours, too..

3: LIVE TRADING:
Mimi binafsi, nimeigawa hii sehemu mbili, kuna accounts za cent/micro accounts na zile za standard akaunt...
Ni nzuri kama utaamua kutrade kwanza na cent account kabla ya standard account.

A. CENT ACCOUNT: Hii mimi huitumia kama Live demo. Akaunt ya namna hii unadeposit $1 na katika trading platform inasoma 100cents. (inakuwa 100).
Faida ya akaunti hii ni kukuandaa kwa kukupa REAL STRESS, EXCITEMENT, FEAR wakati trades zinapoenda kinyume na matarajio... Na kukupa CONFIDENCE wakati analysis iko poa.

B: STANDARD (UNIVERSAL) ACCOUNT: Akaunti hii ni ile ambayo kiasi kilichowekwa, kinakuwa sawa na kile kitakachokuwa katika trading platform... Na ukipoteza $1 umepoteza $1, tofauti na Cent akaunt ambayo utapoteza $1 kama utapoteza points (cents) 100 katika trading account.
Bila kutumia Cent akaunt, stress za hapa huwa ni ngumu sana kuvumilika...


USHAURI WA MWISHO:
Kosa kubwa tunalofanya wakati mwingine ni kutumia demo ya broker A na kisha kutumia live trading ya broker B.
Ikumbukwe kwamba kila broker ana settings zake, ana kuna tofauti ya spreads, kuna wengine wana commissions na wengine hawana, kuna wengine wana fixed spreads na wengine floating spreads...

Ni muhimu sana kama umeamua kutumia broker flan ni nzuri kama utamtumia huyo kuanzia demo, cent na standard account.
Hii itakusaidia kumzoea broker wako na kumtumia kwa urahisi.


Kuna mabroker wengi, lakini ni wachache wanatoa huduma za demo, cent na standard account.

Baadhi yao ni Templer FX na FBS

Remember: read more than you trade!
Read. Demo.Live. Repeat.
 
Dah! Nmeipenda sana hii kitu mkuu. Tafadhali nikumbuke pia. No yangu 0757276902, Nipo mwanza
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom