AMLIGHT
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 1,140
- 843
Angalia hapa spreads za pepperstoneNaongelea kwenye upande wa spread yani nani mwenye spread ndogo zaidi mkuu?
Forex Trading with Pepperstone - Australia's Fastest Growing Forex Broker
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalia hapa spreads za pepperstoneNaongelea kwenye upande wa spread yani nani mwenye spread ndogo zaidi mkuu?
Hata kwa mfano hafai mkuunlisema:
KWA MFANO[emoji5]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hata kwa mfano hafai mkuu
Ukiweka negativity, lazma yakukute...
We unaona wenzio wote wanatrade na jpmarkets, kwa mfano, hafu wewe unaenda kwa Fxpro, kwa mfano, unakuwa unataka nini?
Do your research before choosing your broker!
nlisema:
KWA MFANO[emoji5]
Ukitaka kujua ni ubabaidhaji mtupu hebu sasa angalia hata mifano unayotoa. Una haja gani ya kutolea mfano wa broker wa ovyo?
Kwanin usitolee mfano wa really good broker outa there? Hebu tutajie
Lots of fake brokers. Mpaka mifano ya genuine brokers unalazimika kutoa ya feki brokers
Boss, huo haukuwa mfano wa uliyoongea wewe, huo ulikuwa mfano kingine tofautiUkitaka kujua ni ubabaidhaji mtupu hebu sasa angalia hata mifano unayotoa. Una haja gani ya kutolea mfano wa broker wa ovyo?
Kwanin usitolee mfano wa really good broker outa there? Hebu tutajie
Lots of fake brokers. Mpaka mifano ya genuine brokers unalazimika kutoa ya feki brokers
Ulianza na kiasi gani kama capital?Nilishatoka huko tayari nimerejista na hao pepperston, as we speak
nina dola mia nane faida
Kila kukicha kubishana bishana! Kwanini amufanyi biashara zenu bila ubishano? Mara sijui umeongea hivi, mara vile, mara mfano tofauti! What the hell is wrong with you people? Don't you have better things to do or argue about?Boss, huo haukuwa mfano wa uliyoongea wewe, huo ulikuwa mfano kingine tofauti
Uko mkoa gani?Kama kuna mambo siwezi kuyaelewa hi hivi vitu, navisoma ila havieleweki. Kama kuna mtu anavijua in and out anieleweshe kwa whatsap.0782183441. Natamani sana kujiunga ila mpaka nielewe vizuri
Leo nimeanza kusoma baadhi ya vitabu vilivyowekwa hapa na members, nataka nisome vitabu 3, naanza na "17 Proven Currency Trading Strategies by Mario Sigh" pamoja na vingine 2, kufikia mwishoni mwa Januari nitakua nimevimaliza, then wiki 2 za mwezi February nitajifunza kupitia videos za YouTube, then nitatafuta mentor wa kunisaidia hapahapa Jf naamini watanisaidia, wiki ya 3 ya mwezi wa pili nitaanza na free account, nitarudi hapa nikimaliza kusoma vitabu, mirejesho yote nitaiweka hapa, Nataka nijue Uhalisia na Ukweli na pia Ninufaike nayo. See you
Unadeposit na kuwithdraw kwa kutumia method ipi and how long does it take?Hana mkuu
Kuna member alipost uzi wake humu wenye vitabu vingi sana, jaribu kuutafuta taratibu, mi sijui kuweka linkNaweza pata Link mkuu nikasoma na mimi
Dola elfu mojaUlianza na kiasi gani kama capital?
FX Trading BooksNaweza pata link ya vitabu vya forex wakiu