AMLIGHT
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 1,140
- 843
Anza kwa kusoma sana.Sawa mkuu nimekuelewa umenifundisha na kunifamasisha vya kutosha lakini mimi kama mimi nataka kujiunga na hiki nilichojifunza ila sijui naanza vipi sijui nifanyeje ili niweze kuwa member wa hiyo dili na pia sijafaham kama kuna kiwango cha chini kabisa cha fedha za kujiunga in kipi naomba ufafanuz tena mkuu
Then fanya demo sana.
Then anza kutrade.
Kikawaida huenda itakuchukua miezi mpaka mitano kabla hujaanza kutrade live.
Ucwe na haraka.