Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Sawa mkuu nimekuelewa umenifundisha na kunifamasisha vya kutosha lakini mimi kama mimi nataka kujiunga na hiki nilichojifunza ila sijui naanza vipi sijui nifanyeje ili niweze kuwa member wa hiyo dili na pia sijafaham kama kuna kiwango cha chini kabisa cha fedha za kujiunga in kipi naomba ufafanuz tena mkuu
Anza kwa kusoma sana.
Then fanya demo sana.
Then anza kutrade.

Kikawaida huenda itakuchukua miezi mpaka mitano kabla hujaanza kutrade live.

Ucwe na haraka.
 
Kwa hiyo hao waliofuata hiyo miezi unayosema hawajawahi unguza
Akaunti?
Kuunguza co kwa sbb ya kuanza kutrade mapema.
Ni kwa sbb ya: (baadhi tu)
Tamaa ya kupata pesa chapchap
Kutofuata risk management
Kuhold reds na kutumaini direction itageuka
Kutotumia stop loss

...kadri unavyofanya demo kwa muda mrefu utajifunza hayo, na itakuwa rahc kwako kuyaaply ukianza kutrade..

By the way, mimi binafsi nilikaa miezi 4 tangu kuanza kusoma mpka kutrade live...

Cku ya kwanza tu kutrade live nlichoma akaunti.
Na mpaka sasa nshachoma nyingine 3.
 
Hapa nilipo nawaza kucut loss ya 500+,sina wa kumlaumu zaidi ya mimi mwenyewe sababu zinazonigusa moja kwa moja ni kuhold reds nikitumai trend itageuka na kutokutumia stop loss,u can have the best mentor in the game ila usipokua na discpline na ukubali kujifunza na kuimprove kwa kila kosa unalofanya kuunguza kupo palepale.Wote waliounguza account wanajua fika walipokosea its just that they dont want to admit na ni muendelezo wa tabia ya asili ya watu kupenda kulaumu wengine kwa makosa yetu wenyewe[emoji6]
 
Bro pole sana, umenikumbusha jamaa flani humu, alisema templer walisababisha akaunt yake iungue, sbb ucku spreads huwa zinaongezeka...

Nkamwambia kama hatokubali kujilaumu mwenyewe na kujifunza kutokana na makosa yake, akaunti zake zitaungua na ataendelea kulaumu spreads....

Bro, fanya analysis na ukiweza, anza kufanya hedging...
 
Sawa mkuu nimekuelewa umenifundisha na kunifamasisha vya kutosha lakini mimi kama mimi nataka kujiunga na hiki nilichojifunza ila sijui naanza vipi sijui nifanyeje ili niweze kuwa member wa hiyo dili na pia sijafaham kama kuna kiwango cha chini kabisa cha fedha za kujiunga in kipi naomba ufafanuz tena mkuu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji31][emoji31]

Lowasa Elimu Elimu Elimu
 
Boss, you failed the time you said

USIJEUZA NYUMBA UCHEZE FOREX....

Kama umeuchukulia huu mchezo, ushafell, this is not D9 au DECI this is something entirely different...
We uje ucheze.
Wenzako hawachezi.
Wanafanya.

View attachment 658217

Nikuulize:
Kwa kuchukulia huu ni mchezo,
MPAKA SASA UMESOMA VITABU VINGAPI VYA HUU MCHEZO?

Mkuu unaweza ukanisaidia vitabu hivyo nami niweze kupata maarifa juu ya FOREX TRADING?,natanguliza shukrani
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom