heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 6,736
- 10,669
Thanks Mkuu,Dada forex inayofanywa kwa mtindo wa margin ina risk kubwa maana mtaji wako wore unaweza potea kama hauwezi vumilia risks sikushauri ufanye hii kitu au fanya
Forex kwa njia ya kawaida ila return yake ni ndogo: forex inahitaji balls of steel
Kikubwa utumie muda mwingi kujielimisha mwenyewe hasa kwa kusoma vitabu na hata kutafuta mentor wa ukweli
Hiyo nyingine wao ndio wameibatiza kuwa forex... Ila tukitaja forex tunazungumzia margin trading...Thanks Mkuu,
Kumbe kuna aina njia mbili za kufanya Forex??
Anhaa,Hiyo nyingine wao ndio wameibatiza kuwa forex... Ila tukitaja forex tunazungumzia margin trading...
Thanks Mkuu,tembelea hii website www.babypips.com na fungua link ya education utapata elimu mjarabu kabisa ya forex hata kama wewe ndio unaanza kusoma forex.
Ndio hii ya online inatuwezesha retail traders kuaccess ambapo tunatumia broker nyingine si unaweza fanya kwa kununua na kuuza kwenye bureau de change yaani unafanya manualy na transaction unayofanya ni ndogo tofauti na ya kutumia brokerThanks Mkuu,
Kumbe kuna aina njia mbili za kufanya Forex??
Oh, sawa,Ndio hii ya online inatuwezesha retail traders kuaccess ambapo tunatumia broker nyingine si unaweza fanya kwa kununua na kuuza kwenye bureau de change yaani unafanya manualy na transaction unayofanya ni ndogo tofauti na ya kutumia broker
Damnn it umetoa point ukiweza kumenej fear forex umeshinda nachukia fear ningekua smartfoni ninge uninstallHigh risk high reward.... Low risk low reward.... Kuogopa risk ni ujinga.... Only those who dare to take risk ndio leo watu wanawaabudu. Napata somo kubwa sana kila nikisoma story ya George Soros. There is no need to fear anything. Focus on what you want to do as long as upo right and unabelieve upo right....
kwanza ya online huwa tunafanya kwa kutumia broker, kuna broker wa aina mbili ambao ni market maker na STP/ECN (Straight Through Processing/Electronic Communication Network) huyu stp/ecn anaact kama interface na anakuunganisha na liquidity providers kama mabank, hedge funds nk na huwa wana liquidity providers wengi kwa hiyo transaction unayofanya itakuwa inakwenda kwa hao liquidity providers brocker yeye atakuchaji hela yake kwa mtindo wa spreads au commission na hawa huweka bei halisi ya soko ila kwa market maker hawa huwa wanaweka price yao lakini pia wakati mwingine wana-trade against na ww kwa hiyo hapa inaweza tokea conflict of interest hawa hutake advantage ya kwamba, zaidi ya 90% ya reatail traders hupata hasara na wengi wao kwa makosa yao wenyeweOh, sawa,
Kumbe ni ile ya Kwenda Physically Bureau de Change na hii ya Online,
Nimekuelewa now.
Sasa hii ya Online unamuuzia au kununua kwa nani?? Bureau de Change shop inayohusika hapa ni nani hasa??
Forex is not for everyone,Jangid napajua, opposite na St. Peters,
Ila tu nijifunze kwanza kupitia humu then nikiiva ndio nichague Centre ya kumalizia,
By the way sintoenda kwenye hizi Centres zinazojitangaza sana,
Maana Centre ikishakua kubwa nayo ina changamoto zake
Hajasema hataki kusomaForex is not for everyone,
Hutaki kusoma utaishia kuunguza account....
Mkiwa mnapata loss pia mtupie hapa
. Maana hii forex Leo unapata faida ya $100 kesho loss $700.....