Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Unataka kufundishwa forex kwa nia ya kuingiza kipato au unataka uijue tu kama somo?
 
Masomo nilishayaachaga Chuo Mkuu,
Issue ni Kipato
Afadhali umesema ukweli...angalizo.. ili ujue forex inatakiwa uwe smart kwelikweli..unatakiwa ujue mambo mengi sana!na uwe tayari kuunguza ac maana unapoanza kujifunza pikipiki ni lazima ikuangushe na exos ikuunguze..hapo utakuwa dereva mzr!
 
Kwa mawazo yako unadhani watanzania wote wanaweza kufanya forex? Hata tukisema watu wote wanaojua kiingereza wahamie huko bado wapo watakaobaki kuzalisha
 
Safi sana. Kitu cha kwanza ninachokushauri ili uipate pesa kwa wingi ni KUIDHARAU kwanza. Isiwe hata ukikamata shilingi laki moja unaiona kuuuuubwa...!
Aisee,
Hi Formula ina uhusiano gani tena na Forex?
Kwamba nisiogope kuweka Dau kubwa niwe naona ni ndogo tu?
Au Nikila laki nisiridhike nifanye nile tena?
 
Aisee,
Hi Formula ina uhusiano gani tena na Forex?
Kwamba nisiogope kuweka Dau kubwa niwe naona ni ndogo tu?
Au Nikila laki nisiridhike nifanye nile tena?
Yap yote hayo. Usiogope kupoteza na usiweke malengo madogo. Uzuri hii formula inatumika si kwenye forex tu. Na jambo la pili ni kujifunza sana (to become an expert), ili uwe katika ile asilimia (ndogo zaidi) ya wanaofanikiwa kupitia forex. Hii kanuni pia si kwenye forex tu.
 

Aiseeeeeeeeee............ ngoja nikaanzishe na thread kabisa najua sitakosi hata hela ya bundle. Niwape lecture weeeeee hafu sasa ndo muende kwa bwana ontario kupata mentorship.

Ahsante sana mwanzisha mada.
 
hiyo ya kuweka maleng makubwa ndio inasababisha watu wachome account....unaweka lot size kubwa soko likibadilika account inabaki majivu tu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…