Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Mara nyingi ukiwatumia birth certificate wataverify coz wanaitaji Yale majina yako matatu, na address yako
 
Baba hilo zengwe utalipata hata kwenye withdraw utaulizwa mambo kibao sana nakumbuka account yangu nilizungushwa hivi hivi na walipokubali nikatrade kama wiki tatu nikataka kutoa mpunga aloo nilijuta.

yaani natoa hela baada ya siku kama 6 wanatuma email kwamba imefel nirudie tena baada ya kurudia mara zaidi ya 3 mchezo ukawa huo huo nikatolewa ile option ya kuwithdraw kwa credit card so nalazimishwa sasa nitumie ma bitcoin au skrill apo ndo niliposhindwa na kuaamua kutrade hadi account ilipoungua. but usikate tamaa labda mimi nilikutana na zimwi tu.
 
Kama kawaida nimechomoa ya wkend wakuu...kwa mpesa chap...

Kama utataka broker wa mpesa basi pita hapa


Templer FX Trader

1b4012658f4442d2fc87a5807be7da75.jpg


Heshima kwake sir jef...wakuu
 
Choosing A Broker
(And Suggestions)

Unawezaje kuchagua broker? Kuna mengi ambayo unaweza kuyatilia maanani kabla hujachagua broker, na hvyo kukuepushia kuhamahama kwa mabroker tofauti tofauti.

Kuna waswahili wanasema "Utazunguka mabucha yote nyama ni ile ile", Trust me, wanakudanganya... Kuna mahali utapata nyama ya jana, kwingine ya juzi na kwngne ya leo leo[emoji3] [emoji3]

Hebu tuone sifa nzuri za mabroker.

1. Urahisi wa kuweka na kutoa pesa.

Hii ndo sifa ya kwanza na ya muhimu kuliko zote. Tunatrade ili tupate pesa, na pesa inayopatikana iweze kutumika pale inapohtajika.
Kama kuna ugumu katika kutoa pesa, then ni kama kuweka pesa bank isiyo na ATM, ambayo ukichelewa muda wa kazi ijumaa hata upatwe na tatzo jms, itabd usubiri j3... Mengine mnayafahamu...

2. Regulated Broker
Ni muhimu broker unayemtumia akawa regulated, kutrade na broker asiye regulated ni sawa na kumkopesha mtu laki tano, na hali unajua anadaiwa zaidi ya milioni.... Trust me, likitokea la kutoa (sio mara nyingi lakini), hauna hata wa kum consult.

3. Standard and Mini Accounts.
Standard akaunt ni zile ambazo ukideposit $1 utaiona hvyo katika trading platform, na mini ni zile ambazo ukideposit $1 katika trading platform unakuta 10 au 100 ( kuwa makini, sijaandika $10 au $100, kwa sbb haziwi dola tena AFTER BEING CONVERTED )
Mini akaunti ni MUHIMU SANA kwa newbies na wanaotaka kutest new strategies (this is half real half demo)

4. Customer Care...
Wote tunajua inavyoboa service provider anapozingua, hafu unampgia either hapokei, au hajibu ili kukupa msaada...

5. Unataka kutrade pair zipi?
Japo wote ni mabroker, co wote wana pair zinazofanana... Kuna wengine wana pair nyingi zaidi kuliko wengine. Kuna wengine wana Cryptocurrency wengine hawana... Ni muhimu kujua pair unayo itaka kama ipo, hasa pair ambazo ni Exotics... Ushawah ona pair inaitwa NOKSEK? au SGDJPY? Au EURPLN?

6. SPREADS.
hadi nimeandika kwa herufi kubwa![emoji3]
Small spreads with commission? A bit large without commission? Ukikosea hapa, ni tabu tupu!
f344deb5862650ce39e3906a36871138.jpg





Suggestions:

JAFX ( JAFX - Trade With A Reputable Forex Broker )
Huyu sifa yake kubwa ni Cryptocurrency. Kuna cryptocurrencies zaidi ya 60, kwa huyu broker, na vile cryptos unaweza trade wakati wowote, kwa broker huyu hakuna jumamosi wala jumapili. Trade wakati wowote upendao.
Spreads zake kwa pair nyngne ni kubwa lakini bearable, ila Cryptocurrency ni ndogo sana ukilinganisha na mabroker wengne.
Screenshot_20180204-124806.png






Templer FX ( TemplerFX | Trade With Standard And Cent Accounts
Sifa yake kubwa ni kuweka na kutoa kwa Mpesa, na wanajitahd katika customer services... Pia huyu ana Cent Accounts.


Pepperstone ( Pepperstone | Forex Trading with Pepperstone - Australia's Fastest Growing Forex Broker )
Broker wa australia ambaye akaunti yake ya razor ( small spreads with commission )sometimes hufika spreads zero kwa baadhi ya pair... Ugumu unakuja kwenye kufund, hana mpesa, lakini ana options nyingi, ikiwemo skrill ( www.skrill.com )na neteller.
Screenshot_20180201-125634.png





Tickmill Tickmill - Trade With Trusted Forex Broker
Moja ya broker wanaoheshimika sana. Standard account yao ina spreads kubwa, pro ina spreads ndogo ikiwa na commission.
Kwa sasa wapo katika majaribio ya kudeposit kwa kutumia mpesa, airtel na tigopesa

Kuna sifa nyngne? Changia kwa reply ya post hii.

Trade Safely!
See You At The Top!
 
Kuanzia kesho nitafute mkuu utaratibu unaandaliwa kwa ajili ya Training Mwanza
Ungeweza tengeneza group la whatsapp au chanel telegram, then kutoa link hapa, inakuwa rahc kwa watu wa Mwanza kuanza kujikusanya.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom