Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana na ya wikiend... Nunua cm nyngne![emoji3][emoji3]Kama kawaida nimechomoa ya wkend wakuu...kwa mpesa chap...
Kama utataka broker wa mpesa basi pita hapa
Templer FX Trader
![]()
Heshima kwake sir jef...wakuu
Nami niliandika kitu kuhusu ile,ila nikaona niifute tu ile simu comment yanguAchana na ya wikiend... Nunua cm nyngne![emoji3][emoji3]
Natania.
Hahaha kwanini uifute? Kama sio tusi huna haja ya kufuta![emoji3]Nami niliandika kitu kuhusu ile,ila nikaona niifute tu ile comment yangu
Nilishangaa tu mzee wa forex vyuma vilivyomkazia hadi simu yake kuwa ya kipekee namna ile!Hahaha kwanini uifute? Kama sio tusi huna haja ya kufuta![emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Achana na ya wikiend... Nunua cm nyngne![emoji3][emoji3]
Natania.
Hahah hiki kitoch mkuu tangu nipo advanceAchana na ya wikiend... Nunua cm nyngne![emoji3][emoji3]
Natania.
Vyuma havijakaza mkuu, hiyo 178 inanunua vitoch hata vitatu[emoji23]Nilishangaa tu mzee wa forex vyuma vilivyomkazia hadi simu yake kuwa ya kipekee namna ile!
Niko mwanza mkuu ntakipata WAP hicho kitabu half tusio jua kingereza tunafanyaje
Kuanzia kesho nitafute mkuu utaratibu unaandaliwa kwa ajili ya Training MwanzaNiko mwanza mkuu ntakipata WAP hicho kitabu half tusio jua kingereza tunafanyaje
Hii ni chanel ya telegram ambayo nimeweka vitabu vingi vya forex.Niko mwanza mkuu ntakipata WAP hicho kitabu half tusio jua kingereza tunafanyaje
Wengine wanaumwa boss... Hawawezi kupambana na hali zao...Pambana na hali yako
Ungeweza tengeneza group la whatsapp au chanel telegram, then kutoa link hapa, inakuwa rahc kwa watu wa Mwanza kuanza kujikusanya.Kuanzia kesho nitafute mkuu utaratibu unaandaliwa kwa ajili ya Training Mwanza
Wengine wanaumwa boss... Hawawezi kupambana na hali zao...
Wanahtaji msaada[emoji3]