Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Nafkiri lile wenge la forex limeisha jinsi ilivyokuja masikioni kwa watu na matarajio yaliyokwa kabla na ukweli uliopo na uliokutwa juu ya forex baada ya kuingia. Basi kwa kuwa ukweli umejulikana twende hapa, hii ni kwa wote tuliopo kwenye biashara hii tukasome kitabu hiki ambacho kimefafanua basic logics kutoka katika vitabu kadhaa muhimu vya forex na kuwekwa kwenye nakala moja kwa lugha ya kiswahili. Jinsi ya kukipata mawasiliano haya
0625934471 & 0653935820. Popote ulipo Tanzania hii.
 
Good
 
Mkiwa mnapata loss pia mtupie hapa
. Maana hii forex Leo unapata faida ya $100 kesho loss $700.....
Nikushauri k2?! Halafu you wl thank me later?!
Ktk maisha yako ya kutrade, Always use a stop loss(s/l) walio iweka pale hawakua wajinga.
Hii mambo ya kuliacha li account liko uchi tu trades ziko on halafu unaenda kulala...mtalia sana.
Kwamfano umeshaona uko kene major resistance na Doji au spinning top ishatokea pale kama comfirmation,then the high of the doji should be ur stop loss.
Ukifanya hivi, hata kama utakula loss u wl never burn ur accnt.Never
Pale jangid last time akati nimeenda kwa REA for consulation nilikutana na jamaa yy alikuaga ile intake ya kwanza jamaa alianzaga na $300 akatrade for 3months akakuza hadi $4000 afu akaziunguza ndani ya cku1.na hyo haikua mara ya kwanza ku burn account, ashaburn zaidi ya mara 5.alipoanza tu kucmulia stori yake kuhusu kuburn account hata kabla hajasema ilikuaje tayar nilikua nishajua kosa lake.
Always use stops, remember there is always a price that says we r wrong.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…