He did a lot of mistakes... Mojawapo ni kutokuwa na MALENGO na pesa anayoipata...Nikushauri k2?! Halafu you wl thank me later?!
Ktk maisha yako ya kutrade, Always use a stop loss(s/l) walio iweka pale hawakua wajinga.
Hii mambo ya kuliacha li account liko uchi tu trades ziko on halafu unaenda kulala...mtalia sana.
Kwamfano umeshaona uko kene major resistance na Doji au spinning top ishatokea pale kama comfirmation,then the high of the doji should be ur stop loss.
Ukifanya hivi, hata kama utakula loss u wl never burn ur accnt.Never
Pale jangid last time akati nimeenda kwa REA for consulation nilikutana na jamaa yy alikuaga ile intake ya kwanza jamaa alianzaga na $300 akatrade for 3months akakuza hadi $4000 afu akaziunguza ndani ya cku1.na hyo haikua mara ya kwanza ku burn account, ashaburn zaidi ya mara 5.alipoanza tu kucmulia stori yake kuhusu kuburn account hata kabla hajasema ilikuaje tayar nilikua nishajua kosa lake.
Always use stops, remember there is always a price that says we r wrong.
Ikiwezekana kila siku una transfer fedha ya ziada kwenda account nyingine isiyotumika katika trading zako.Inatakiwa kuwa na max amount ambayo itakuwa kwa akaunt. Unaweza amua kuwa max amount ni $1000, and chochote kitakachozid hapo kinatolewa kila wiki.
That's even better... Umeimodify vizuri kbsa!Ikiwezekana kila siku una transfer fedha ya ziada kwenda account nyingine isiyotumika katika trading zako.
Hivyo utakuwa na ccount mbili kwa huyo broke wako
1. Account ya kwanza: Unaitumia kufanya trading kwa kiasi ulichoamua kukiweka, Hii ndio unaiweka kwenye MT4 yako
2. Account ya pili: Hii ni maalumu kwa kukusanyia faida unayoipata toka Accouny ya kwanza - Kwa kila siku faida unahamishia kwenye hii account, Na ku_itoa kabisa fedha inapokua imefikia kiwango fulani unachokihitaji, waweza itoa weekly au monthly.
Kwa utaratibu huu kamwe haitotokea kupoteza kiasi kikubwa ha fedha kwa wakati mmoja, endapo soko litakuendea kombo.
mkuu me naomba kujua namna ya ku install MT4 kwenye pc maana ina nishinda ase.ANZA NA MTAJI WA BURE WA $30 [NO DEPOSIT BONUS] YA TEMPLER.
[TERMS AND CONDITIONS LINKED]
Huenda ushatumia demo lakini uko na tatizo la mtaji... Au wengine, kama mimi, tumeunguza akaunti, jinsi ya kuanza tena ni ngumu, hasa linapokuja suala la mtaji....
Ikumbukwe kwamba, Templer pia atakupa uwezo wa kufund na kuwithdraw pesa zako kupitia Mpesa, kama utachagua kuendelea kumtumia, hata baada ya kupoteza hyo $30.
(Don't Worry, Hautodaiwa kama ukiiunguza)
ANGALIZO:
Bonus hii ni kwa wateja wapya tu, kama ulishakuwa na akaunti ya Templer na ukaiwekea pesa, hautoweza kuipata, labda ufungue akaunt tofauti.
HATUA ZA KUFUATA:
1. Fungua akaunti mpya hapa:
Templer FX | Start with $30 No deposit Bonus
2. Verify email, namba ya simu (ni bora iwe voda, kwa ajili ya kutoa faida na kuendesha akaunti) na utambulisho wako.
Menu > MyTemplerFX> Verifications
3. Nenda MENU > OPEN ACCOUNT > chagua LIVE UNIVERSALFX > ok
4. Nenda Menu > Bonus > chagua akaunti yako ya universalFX, WEKA REDEEM CODE:
NDB30JN42017
Then submit.
5. Utapokea $30 katika akaunti uliyoifungua, mara nyingi within an hour.
6. Kama huna MT4 for Android ,download hapa:
MetaTrader 4 – Applications for Android - Google Play
Start Trading!!
TRADE SAFELY!
Ukihitaji msaada wowote kuhusu kuipata hii bonus, nicheck inbox
Terms And Conditions hapa:
TemplerFX No Deposit Bonus Agreements
Umeshadownload?mkuu me naomba kujua namna ya ku install MT4 kwenye pc maana ina nishinda ase.
Msaada kaka ,Mimi nimekwama kufanya analysis kupata resistance and supportIkiwezekana kila siku una transfer fedha ya ziada kwenda account nyingine isiyotumika katika trading zako.
Hivyo utakuwa na ccount mbili kwa huyo broke wako
1. Account ya kwanza: Unaitumia kufanya trading kwa kiasi ulichoamua kukiweka, Hii ndio unaiweka kwenye MT4 yako
2. Account ya pili: Hii ni maalumu kwa kukusanyia faida unayoipata toka Accouny ya kwanza - Kwa kila siku faida unahamishia kwenye hii account, Na ku_itoa kabisa fedha inapokua imefikia kiwango fulani unachokihitaji, waweza itoa weekly au monthly.
Kwa utaratibu huu kamwe haitotokea kupoteza kiasi kikubwa ha fedha kwa wakati mmoja, endapo soko litakuendea kombo.
Msaada kaka ,Mimi nimekwama kufanya analysis kupata resistance and support
Shukrani mkuu umetusaidia wengi
Wale ambao wamekitafuta kitabu kilichokuwa recomended "Currency Trading for dummies by Brian Dolan, 2nd edition" bila mafanikio ama wamepata ambacho hakijakamilika na chenye pages pungufu, hii hapa copy ya kitabu full nimewaatachia. Kina pages 322. Hope mkisoma zote, mtapata mwangaza wa mahala pa kuanzia.
Kwa urahc, unadownload mt4 kwa website ya broker wako... Unatumia broker gani?mkuu me naomba kujua namna ya ku install MT4 kwenye pc maana ina nishinda ase.