Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Scalping is noisy trading. Mi binafsi hata kutrade kwenye 1hr time frame bado naona ni noisy trading. Na prefer kutrade kuanzia 4hrs time frame as minimum. Na mara nyingi ukitrade kwenye ukitrade kwenye 4hrs time frame na kuendelea ukichnaganya na strategies zako za trading na kama trend itakwenda vizuri utafurahi. Scalping inabidi uwe umepiga weed japo kidogo!
 
Oooopsiii! Hatimea umeelewa sasa mzawa.

Eti mtu anatrade 15M chart na proudly anajiita scalper..wewe hata market maker hana hiyo jeuri.
 
nataka nianze kufanya trading lakini wiki ya pili sasa nashindwa kukamilisha kipengela cha profile haswa adrees..sina box la posta ninalo limiliki blocker ni tickmill..ushauri wenu please ,,au kama kunaanae mfahamu blocker mwingine ambaye niwauhakika na sio complicated kama huyo anijuze ...natamani nianze kutrade hata leo maana nimesha choka kutrade kwa kutumia demo account
 
Cc AMLIGHT
 
www.templerfx.com
 
ongeza mkuu
 
Rafiki unaongea vitu very constructive. Mimi ni scalper but nakubaliana na ww kuwa scalper anatrade kwa kurisk mnoo coz scalpers tuna hunt few pips (short market moves) which are very unpredictable and we usually use huge lot size which is too risky.
In my opinion, scalping is good If you have a good capital which can torelate market shocks but kwa vi account vidogo scalping equal to feeding broker's pocket.
 
Dunia ya leo imejaa utapeli sana hii ni KAMARI tu hakuna namna
Nguvu inayotumika kuaminisha watu kuwa forex ni kamari itumike hivyo hivyo kwa tatu mzuka, BIKO na wengine kama hao. Maana kama kuna kamari inayotia umasikini maelfu kama sio mamilioni ya maskini wa TZ ni Tatu mzuka na BIKO. Hizo buku na jero watu masikini wanazopoteza kila siku kwa kuwachangia Tatu mzuka na BIKO kwa mategemeo kwamba watapata mamilioni ya hiyo ndiyo kamari hasa inayotakiwa kupingwa humu ndani ya jukwaa hili. Forex ni business kama ilivyo business nyingine siyo gambling hata kidogo.

Wengine wanasema eti forex ni betting, yes kwa kiasi fulani naweza kukubaliana nao maana kuna utofauti kidogo kati ya BETTING na GAMBLING. Kwenye betting unapata fursa ya kusoma mazingira ya mchezo (unafanya analysis) then ndio unaamua kucheza huo mchezo kutokana na hiyo analysis yako. Lakini gambling hakuna fursa ya kufanya analysis ni kubahatisha tu. Na hicho ndicho BIKO na tatu mzuka wanafanya. Kwa hiyo kuliko kukomaa na forex komaeni na hao wanaowaongezea umaskini maelfu kama siyo mamilioni ya watz maskini kila kukicha!
 
Mkuu kwenye Betting kuna Leverage???? Nijibu
 



huyu hapa scalper anaye tengeneza zaidi ya mara 20 ya kiasi alicho hold Vaphi...kupitia scalping tu.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
huyu hapa scalper anaye tengeneza zaidi ya mara 20 ya kiasi alicho hold Vaphi...kupitia scalping tu.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€View attachment 698340
Acha ubishi mkuu! Unaona risk management ipo sawa hapo lot ya 50 vipi market ikicheza kidogo against his trade...anachoma akaunti mapema. Maana kwa hiyo lot hata taasisi kama edge fund and banks haziweki lot za namna hii this is greedy bastardisation na Forex haitaki greedy..inataka risk management.

Forex is not all about knowing the technical and fundamental news..Forex is about how you can manage your calculated risk. Maana Forex kabla hata hujaanza kutrade unaambiwa your capital is at risk kwa hiyo Kazi kubwa uliyonayo ni kuhakikisha unaguard mtaji wako kwa huyu jamaa kaweka mtaji wake uchi..soon ataanza kuita Forex is a scam.
 
Kila nikikuta comments zako zinaniacha na Kitu kichwani
 
Kila nikikuta comments zako zinaniacha na Kitu kichwani
Wow! Nimefurahi kusikia hivi ingawaje unaonekana wewe ni open minded unaruhusu material mapya yaingie kichwani mwako tofauti na wale closed mind wanachokijua wao ndio hicho hicho hawataki Mawazo mapya hata kama yana ukweli ndani yake.

Hongera utafika mbali..ila wenye majina ya Daudi huwa tuna bahati sana ya kuwa open minded and charismatic hivyo mafanikio kwetu huwa ni guaranteed.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…