Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Dah...rafiki you need to write a book aisee. You can't believe ninascreen shot comments zako na nazisoma mara nyingi. Unaandika vitu ambavyo for me vina count over 70% ya mafanikio ya trader. Tunashukuru sana rafiki
 
hivi ina chikua muda gani pesa kuonekana ktk a/c yangu ya forex baada ya kudeposit through Mpesa... maana naona lisaa na zaidi linakatika...
 
Nakubali
 
nimechoma 150$ sikuyakwanza ku trade nilizo tumia zaid ya miezi sita kuzitafuta
 
pole mkuu... ulitumia trader yupi... na sababu zipi zilikupelekea kuchoma hiko kiasi?
nimechoma 150$ sikuyakwanza ku trade nilizo tumia zaid ya miezi sita kuzitafuta
 
pole mkuu... ulitumia trader yupi... na sababu zipi zilikupelekea kuchoma hiko kiasi?
templerFX
kutoridhika na profit niliyokuwa nimeipata nilitarajia soko litazdi kupanda Mara gafla soko likashuka mno na sikuwa nimeweka limits
account chali[emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
p
templerFX
kutoridhika na profit niliyokuwa nimeipata nilitarajia soko litazdi kupanda Mara gafla soko likashuka mno na sikuwa nimeweka limits
account chali[emoji24] [emoji24] [emoji24]
pole sana mkuu...
 
Mambo kumbe yanaendele humu...nilidhani watu waliacha kipindi kile cha piga nikupige....
 
Kwa wale newbie wanaopatashida ya kujua entry point. Unaweza kumfollow INSTA Pancho-panchilo kwa ajili yakupata tradong analysis na entry point.

Earn while learning.
[emoji217] [emoji217] [emoji95]
 
Magwiji naombeni mnitafsirie namna ya kusoma na kutafsiri News kama hii
 
Attachments

  • 1519450346100.png
    22.8 KB · Views: 54
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…