shukrani sana mkuuukishafuata process zote kikamilifu hakikisha namba unayo deposit ndo hiyo hiyo inayotambulika na temper na pale wanapokupa reference namba ya kulipia hakikisha unamalizia Ku click complete alafu ukishapata SMS ya uthibitisho kutoka I pay pigs screenshot alafu watumie templer waharakishe mi ndo ninavyo fanya
na ina kuchukua muda gani pesa kuonekana katika a/c yako...ukishafuata process zote kikamilifu hakikisha namba unayo deposit ndo hiyo hiyo inayotambulika na temper na pale wanapokupa reference namba ya kulipia hakikisha unamalizia Ku click complete alafu ukishapata SMS ya uthibitisho kutoka I pay pigs screenshot alafu watumie templer waharakishe mi ndo ninavyo fanya
nusu SAA nying ila kama huko kwao inachelewa kidogona ina kuchukua muda gani pesa kuonekana katika a/c yako...
Ukimaliza kufanya transactions na ukapata message ya mpesa & elipa, wacheki online ndan ya Dakika tano pesa ishasomanusu SAA nying ila kama huko kwao inachelewa kidogo
MT4 katika android inakosa mengi hapo tumia stop loss ya kumove mwenyewe Ila kama upo demo na unataka kujifunza order tofauti download Forex.com IPO play store ila kama ni kwenye PC Mt4 trailing IPO check katka platform terminal utaikutaMkuu nipo najipga msasa na demo account ya templer mbona oder ya trailing sioni nataka nayo nijifunze zingne nimeshazimasta! godimpare
Pole mkuuDah, leo nimekuta majivu kwenye account yangu ya forex lakini so far sikomi.
Mkuu kuna Mdau aliniambia templer abapokea namba ya airtel mpaka Leo hawajanitumia Code za kuverify.... Namba unijibu hivi MTU anaetumia kadi ya bank inamchukua muda gani kudepost au kuwithdraw???Still suffering from broker???
Check Templer FX Trader
°No commission
°Spreads as low as 0.5 Pips
°Easy to deposit and withdraw your money through M-Pesa, you don't need to go at the Bank. You complete everything at you bed room ,Lol[emoji16][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Hawa wawakilishi wa templer bongo ni MAJAMBAZI NA WEZI WAKUBWA! Juzi kati niliwithdraw 500$ cha kushangaza E-lipa wakatuma only 250$ iliyobaki wakawambia vodacom wawarudishie eti wamekosea kutuma!!!! Nikawatafuta hao wabongo wakaniambia WAO HAWAHUSIKI NIONGEE NA VODA! (Nahisi walishirikiana na e-lipa) kutaka kuniibia) Nikichofanya ni kuwasikiana na templer moja kwa moja ndio wakamtafuta local agent mwingine akanitumia the remaining 500$. Wabongo sio wa kuwaamini kabisa.Tumia voda mkuu, coz ukitumia airtel hutoweza kufanya transactions kupitia artel money , wao wanasupport huduma ya M-Pesa tu kwa sasa, ,,, sijawahi kuwatumia kupitia bank I'm addicted with M-Pesa only, so sina uzoefu kuhusu bank, but usihofu muulize huyu mshkaji ni customer care Wa Templer mbongo mwenzetu , chati naye naamin utapewa ufumbuzi Wa maswali yako yote na ishu zingine kuhusu Templer FX Trader
Nimekupata mkuu ila hawa wabongo ilipaswa kama vile wanavyowambia watu humu watumie templerfx basi kwa nguvu ileile wawe wanashauri nini cha kufanya mteja anapopatwa na tatizo! Kama wao hawahusiki kwanini templer HQ nilipowaambia immediatelly walinisikiliza na kunisaidia?Sema kuna parts mbili Templer zinazohusika na malipo ya M-Pesa .
1.e-lipa
2.unatumiwa directly na hao wabongo.
Sasa ukitumiwa na e-lipa kuna makato wanayaingiza bila utaratibu . ila wakikutumia hawa wabongo unapokea hela yako km ilivyo kwa thaman ya kila $1 unayotoa utapokea Tsh 2,230/=
Ndo maana ulivyowauliza wabongo wakasema hawahusiki, means malipo yako yalikuwa chini ya usimamiz Wa e-lipa ... Na naamini e-lipa wanahusika na malipo ya mkwanja mrefu kuanzia malipo ya $500 kwenda juu , hawa wabongo wanahusika na malipo ya kuanzia $1 hadi $300 hivi .
Ukitaka kukwepa usumbufu km huo, unapotoa kiwango kikubwa cha hela , mfano $500 , usitoe yote kwa pmj toa kidogo kidogo eg $150 ,$100 ,$100, $150, utakuwa umemaliza na hela yako unaipata faster bila usumbufu, kuliko ukitoa yote kwa pmj hela itabd ipitie e-lipa pia inachelewa ,
Ni ushauri wangu mkuu!
Mbongo ktk kitu kinaitwa customer Care ni sifuri kabisa!Nimekupata mkuu ila hawa wabongo ilipaswa kama vile wanavyowambia watu humu watumie templerfx basi kwa nguvu ileile wawe wanashauri nini cha kufanya mteja anapopatwa na tatizo! Kama wao hawahusiki kwanini templer HQ nilipowaambia immediatelly walinisikiliza na kunisaidia?
Mkuu nahitaji kujiunga na temper, msaada tafadhaliTumia voda mkuu, coz ukitumia airtel hutoweza kufanya transactions kupitia artel money , wao wanasupport huduma ya M-Pesa tu kwa sasa, ,,, sijawahi kuwatumia kupitia bank I'm addicted with M-Pesa only, so sina uzoefu kuhusu bank, but usihofu muulize huyu mshkaji ni customer care Wa Templer mbongo mwenzetu , chati naye naamin utapewa ufumbuzi Wa maswali yako yote na ishu zingine kuhusu Templer FX Trader
Templer FX TraderMkuu nahitaji kujiunga na temper, msaada tafadhali
Nimependa maelezo yako mkuu! UbarikiweSema kuna parts mbili Templer zinazohusika na malipo ya M-Pesa .
1.e-lipa
2.unatumiwa directly na hao wabongo.
Sasa ukitumiwa na e-lipa kuna makato wanayaingiza bila utaratibu . ila wakikutumia hawa wabongo unapokea hela yako km ilivyo kwa thaman ya kila $1 unayotoa utapokea Tsh 2,230/=
Ndo maana ulivyowauliza wabongo wakasema hawahusiki, means malipo yako yalikuwa chini ya usimamiz Wa e-lipa ... Na naamini e-lipa wanahusika na malipo ya mkwanja mrefu kuanzia malipo ya $500 kwenda juu , hawa wabongo wanahusika na malipo ya kuanzia $1 hadi $300 hivi .
Ukitaka kukwepa usumbufu km huo, unapotoa kiwango kikubwa cha hela , mfano $500 , usitoe yote kwa pmj toa kidogo kidogo eg $150 ,$100 ,$100, $150, utakuwa umemaliza na hela yako unaipata faster bila usumbufu, kuliko ukitoa yote kwa pmj hela itabd ipitie e-lipa pia inachelewa ,
Ni ushauri wangu mkuu!
Hey aker2011! Kufungua akaunt Templer ni just simple sana,na haichukui muda mrefu kuwa na akaunt, unatakiwa uwe na ID mojawapo kati ya passport, ID ya kupiga kura , au ya uraia baada ya kuandaa ID utaingia kwa website yao hii Templer FX TraderMkuu nahitaji kujiunga na temper, msaada tafadhali