Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
ukishafuata process zote kikamilifu hakikisha namba unayo deposit ndo hiyo hiyo inayotambulika na temper na pale wanapokupa reference namba ya kulipia hakikisha unamalizia Ku click complete alafu ukishapata SMS ya uthibitisho kutoka I pay pigs screenshot alafu watumie templer waharakishe mi ndo ninavyo fanya
shukrani sana mkuu
 
na ina kuchukua muda gani pesa kuonekana katika a/c yako...
 
Mkuu nipo najipga msasa na demo account ya templer mbona oder ya trailing sioni nataka nayo nijifunze zingne nimeshazimasta! godimpare
MT4 katika android inakosa mengi hapo tumia stop loss ya kumove mwenyewe Ila kama upo demo na unataka kujifunza order tofauti download Forex.com IPO play store ila kama ni kwenye PC Mt4 trailing IPO check katka platform terminal utaikuta
 
Still suffering from broker???
Check Templer FX Trader
°No commission
°Spreads as low as 0.5 Pips
°Easy to deposit and withdraw your money through M-Pesa, you don't need to go at the Bank. You complete everything at you bed room ,Lol[emoji16][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Mkuu kuna Mdau aliniambia templer abapokea namba ya airtel mpaka Leo hawajanitumia Code za kuverify.... Namba unijibu hivi MTU anaetumia kadi ya bank inamchukua muda gani kudepost au kuwithdraw???

Na je unaweza kutumia namba ya simu na bank account kwa kuweka na kutoa fedha?
 
Tumia voda mkuu, coz ukitumia airtel hutoweza kufanya transactions kupitia artel money , wao wanasupport huduma ya M-Pesa tu kwa sasa, ,,, sijawahi kuwatumia kupitia bank I'm addicted with M-Pesa only, so sina uzoefu kuhusu bank, but usihofu muulize huyu mshkaji ni customer care Wa Templer mbongo mwenzetu , chati naye naamin utapewa ufumbuzi Wa maswali yako yote na ishu zingine kuhusu Templer FX Trader
4827ef2b75f2a2a8a3fa9bf9ed0c1fb1.jpg
Hawa wawakilishi wa templer bongo ni MAJAMBAZI NA WEZI WAKUBWA! Juzi kati niliwithdraw 500$ cha kushangaza E-lipa wakatuma only 250$ iliyobaki wakawambia vodacom wawarudishie eti wamekosea kutuma!!!! Nikawatafuta hao wabongo wakaniambia WAO HAWAHUSIKI NIONGEE NA VODA! (Nahisi walishirikiana na e-lipa) kutaka kuniibia) Nikichofanya ni kuwasikiana na templer moja kwa moja ndio wakamtafuta local agent mwingine akanitumia the remaining 500$. Wabongo sio wa kuwaamini kabisa.
 
Sema kuna parts mbili Templer zinazohusika na malipo ya M-Pesa .
1.e-lipa
2.unatumiwa directly na hao wabongo.

Sasa ukitumiwa na e-lipa kuna makato wanayaingiza bila utaratibu . ila wakikutumia hawa wabongo unapokea hela yako km ilivyo kwa thaman ya kila $1 unayotoa utapokea Tsh 2,230/=

Ndo maana ulivyowauliza wabongo wakasema hawahusiki, means malipo yako yalikuwa chini ya usimamiz Wa e-lipa ... Na naamini e-lipa wanahusika na malipo ya mkwanja mrefu kuanzia malipo ya $500 kwenda juu , hawa wabongo wanahusika na malipo ya kuanzia $1 hadi $300 hivi .

Ukitaka kukwepa usumbufu km huo, unapotoa kiwango kikubwa cha hela , mfano $500 , usitoe yote kwa pmj toa kidogo kidogo eg $150 ,$100 ,$100, $150, utakuwa umemaliza na hela yako unaipata faster bila usumbufu, kuliko ukitoa yote kwa pmj hela itabd ipitie e-lipa pia inachelewa ,

Ni ushauri wangu mkuu!
Nimekupata mkuu ila hawa wabongo ilipaswa kama vile wanavyowambia watu humu watumie templerfx basi kwa nguvu ileile wawe wanashauri nini cha kufanya mteja anapopatwa na tatizo! Kama wao hawahusiki kwanini templer HQ nilipowaambia immediatelly walinisikiliza na kunisaidia?
 
Mbongo ktk kitu kinaitwa customer Care ni sifuri kabisa!
 
Tumia voda mkuu, coz ukitumia airtel hutoweza kufanya transactions kupitia artel money , wao wanasupport huduma ya M-Pesa tu kwa sasa, ,,, sijawahi kuwatumia kupitia bank I'm addicted with M-Pesa only, so sina uzoefu kuhusu bank, but usihofu muulize huyu mshkaji ni customer care Wa Templer mbongo mwenzetu , chati naye naamin utapewa ufumbuzi Wa maswali yako yote na ishu zingine kuhusu Templer FX Trader
4827ef2b75f2a2a8a3fa9bf9ed0c1fb1.jpg
Mkuu nahitaji kujiunga na temper, msaada tafadhali
 
Sema kuna parts mbili Templer zinazohusika na malipo ya M-Pesa .
1.e-lipa
2.unatumiwa directly na hao wabongo.

Sasa ukitumiwa na e-lipa kuna makato wanayaingiza bila utaratibu . ila wakikutumia hawa wabongo unapokea hela yako km ilivyo kwa thaman ya kila $1 unayotoa utapokea Tsh 2,230/=

Ndo maana ulivyowauliza wabongo wakasema hawahusiki, means malipo yako yalikuwa chini ya usimamiz Wa e-lipa ... Na naamini e-lipa wanahusika na malipo ya mkwanja mrefu kuanzia malipo ya $500 kwenda juu , hawa wabongo wanahusika na malipo ya kuanzia $1 hadi $300 hivi .

Ukitaka kukwepa usumbufu km huo, unapotoa kiwango kikubwa cha hela , mfano $500 , usitoe yote kwa pmj toa kidogo kidogo eg $150 ,$100 ,$100, $150, utakuwa umemaliza na hela yako unaipata faster bila usumbufu, kuliko ukitoa yote kwa pmj hela itabd ipitie e-lipa pia inachelewa ,

Ni ushauri wangu mkuu!
Nimependa maelezo yako mkuu! Ubarikiwe
 
Mkuu nahitaji kujiunga na temper, msaada tafadhali
Hey aker2011! Kufungua akaunt Templer ni just simple sana,na haichukui muda mrefu kuwa na akaunt, unatakiwa uwe na ID mojawapo kati ya passport, ID ya kupiga kura , au ya uraia baada ya kuandaa ID utaingia kwa website yao hii Templer FX Trader
utashusha chin mpaka walipoandika register , ingia pale utajaza taarifa zako km email nk, , then itabd utume picha ya ID yako, ukikwama sehemu utakuja hapa hapa kufunguka , utakuwa umewasaidia na wengine
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom