Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.

So sorry..!

Have you decide kwanza hata aina gani ya trader unataka kuwa either indicator based, pure price action trader or mixed.?

Binafsi naona ukiamua ni aina gani ya trader ungependa kuwa kwanza, inakusaidia kupunguza uwanja wa kujisomea kwa maana ya wapi uwekeze nguvu zako sana..!

Nayasema haya kwa sabb forex inahusisha mbinu nyingi sana za kutengeza pesa ila ukiangalia kwa makini utagundua zote zimebase katika hizo aina tatu za trader..!

Baada ya kujua ni aina gani ya forex trader unataka kuwa, then find out kwa kusoma vitabu analytical strategies zinazohusiana na aina husika ya trader,then amua kwa mara nyingine type of analyses to focus on katika aina husika ya trader maana huwa nyingi.

Mpaka hapo, utakuwa umeshamaliza mchezo, maana kwa pure price action trader tu..! Unahitaji vitabu vikiwa vingi sana vitatu ukijumlisha na baadhi ya video za YouTube Kwan ajili ya mafunzo kwa vitendo kukazia ulichojifunza kwenye vitabu na demo. The same goes to other type of traders.

Mkuu you only need to choose your way and specialize. Huwezi kusoma kila kitu

All the best.
 
Sorry mkuu, naomba unisaidie nn maana ya strategy na naweza kuipata vipi, na pia naweza kuifanyia vipi backtest, kama itawezekana pia unitolee mfano. natanguliza shukrani
 
Mkuu samahani , kuwa indicator based trader ni sawa sawa na kusema trader anaetegea Technical analysis??? Na kuwa pure price trader ni kuwa trader kwa kutumia fundamental analysis ????

Pia umesema kuwa pure price trader anahitaji vitabu kama vinne au vitatu, je unaweza kunisaidia kuvitaja ????


Naomba unieleweshe hapo Mkuu sijakupata.
 
Asante mkuu mimi nataka kuwa naked trader..nikishakuwa vizuri hapo ndio nitajifunza na indicators niwe nachanganya ila kwa sasa nataka kuwa nielewe hapo kwanza.
 
Sorry mkuu, naomba unisaidie nn maana ya strategy na naweza kuipata vipi, na pia naweza kuifanyia vipi backtest, kama itawezekana pia unitolee mfano. natanguliza shukrani
Kuna jamaa hapa kazungumzia pure action trader, indicator au mixed trader.

Strategy ni ule mfumo ambao wewe umeamua kuutumia ku trade. Ikumbukwe pia kuwa strategy sio AINA YA TRADER. Trader anaweza kuwa swinger, intraday au scalper, lakini wote wakatumia strategy ya aina moja, mfano: the use of dominant candle. Au wakatumia mchanganyiko wa dominant candle na stochastic. Manake trades zote wataingia ni BAADA YA KUONA DOMINANT CANDLE SETUP, na kuiconfirm na stochastic tu, hakuna setup nyngne watatrade.

Mf. Mwngne, unaweza kuamua strategy yako ni Gap trading, manake muda wote wewe utatafuta gaps katika market na kuitrade. Kawaida ukiona gap, market lazima iifill hyo gap kabla haijaendelea na safari, so wewe utatrade gap filling tu, hutojisumbua na analysis nyngne.

Backtesting ni pale unapotumia akaunt tofauti na real account kutrade strategy uliyoichagua ili kuizoea. Wengi tunatumia demo, lakini demo account sio backtesting account kiuhalisia... Hii ni kama zile weekly test unafanya kabla ya kukutana na Monthly test, au zile pre NECTA kabla ya kukutana na NECTA yenyewe, manake inakupa chance ya kuzoea MAZINGIRA, na kujua timing za trade, bila kurisk money.

Kuna program kabisa za backtesting ambazo unakuwa na total control ya spidi na movement ya candles, yani unaweza kuplay na kupause... Na uzuri wa hz backtesting programs ni kwamba unaweza zitumia hata weekends sabb hazitegemei soko.

Mfano mzuri ni forex tester. Unaweza icheck hapa: Forex Tester - professional forex training software, simulator and backtester kwa bahati mbaya nimeshindwa kuipata direct link kuidownload forex tester 2 ambayo ni free. Pia kuna soft4FX: Forex Simulator - Installation | Soft4FX ambayo binafsi nimeiona ni rahs zaidi kuitumia.

Kama bado cjaeleweka, pls keep asking.
 
Nmekuelewa sana mkuu na be blessed, umefungua kwa kweli. Issue nyingne pale mtu anaposema mybe naweka setting flani kwenye pc au sim ili isupport strategy yake ana maana gani?
 
Japo si mimi aliyesema, but i can help.

Indicator based trader ni trader anayetumia indicators kufanya maamuzi ya kufungua position. Indicators zipo nying kuanzia zilizo simple kama vile Moving Averages hadi complex indicators kama TDI (Traders dynamic index). And Yes, hawa ndo Technical Analysist, lakin hata pure price action trader yupo katika group la Technical analysts japo yeye hayupo katika group la indicators based trader.

Fundamental traders ni wale traders ambao wao wanatrade NEWS TU. hana muda wa kufanya analysis ya market, kuijua doji au engulfing candle au haramies... Ye anasubiri NFP (kwa mfano) na kuitrade, NFP ikipita naye yuko out of market, mpaka news kubwa itakayofuata. Huyu normally hana haja ya kutumia indicator, sbb market direction inakuwa determined na positivity au negativity ya news
 
Hizi nondo ulizoshusha Mkuu sina budi kusema asante
 
ukiongea na wenyewe wa makao makuu... hakuna kinacho alibika... yani una udumiwa fasta na hawa ma agent... mimi mzigo wangu si ulikuwa una sumbua, kuna mdau akanipa namba niwacheki hao templerfx Uk, nika waeleza wakaniomba code nika wapa, waka niambia email ipay wakurejeshee pesa yako...

nami bila iyana, nika sema bila kupepesa macho kuwa nime wasiliana na templerfx UK kuwa mnirejeshee pesa yangu kutokana na mhamala nilio ufanya kwenu...

nika rejeshewa na kuulizwa ume upata... jibu kwanza kabla hauja uliza swali lingine... ndipo nika ona kuwa wali ghazabika kwa kile nilicho kifanya...
 
Yaani iPay, E-Lipa plus local agents wa templerFx ni majizi yaliyojikatia tamaa ya maisha yamebakia kuibia watu kizembe tuu!
 
Hivi haiwezekani kuwithdwar au kudepost kwa kutumia bank ????



Maana Mimi MTU mweusi huwa simuamini kabisa
Yaani iPay, E-Lipa plus local agents wa templerFx ni majizi yaliyojikatia tamaa ya maisha yamebakia kuibia watu kizembe tuu!
 
Ushauri wangu kwenu, kama wawithdraw, usitoe max amount ya $500 kwa mara moja, kwanza inachelewaga, toa kidogo kidogo, katika mafungu ya $50 na kushuka, fasta unaipata tena bila usumbufu
 
Hivi haiwezekani kuwithdwar au kudepost kwa kutumia bank ????



Maana Mimi MTU mweusi huwa simuamini kabisa
Unawezekana kabisa mkuu sema shida mifumo ya kibank haijazoeleka sana Tz! Yaani nilipoambiwa templerfx mtu anaweza kuwithdraw kwa mpesa moja kwa moja nikajua wanaojihusisha humo ni watu cheap sana....
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…