Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Uhoji maswali kama nani? Sasa kama ukweli wako unaujua na unajua utabaki kua hivyo hivyo unaleta kalio la nn hapa? huko sio kuchanganyikiwa??
tatizo mnadhani matusi ndo majibu. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

ila naelewa ndo iwezo wako wa kufikiria ulipoishia.
 
Hahaa you don't even know...mimi nitakula hela ya nani ndio kwanza nimeingia ulimwengu wa forex mwaka huu...kwa taarifa yako tayari nimeshaunguza account ila ndo sikomi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
hata TATU MZUKA watu wanaambiwa ni bahati na wanaamini.
 
Wakuu mbona hawa templer sijaona sehemu yoyote kuwa wako audited ??? Na ninaweza kupewa sababu why hawa watu hawafanyi kazi usa,england,canada ana Israel???


Hii imeniogopesha sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

bora hata wewe kidogo unaetafuta authenticity

ila sidhani kama utapewa majibu rasmi.
na ukipewa yatakuwa yanafanana na yale ya V-WONDER[emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

bora hata wewe kidogo unaetafuta authenticity

ila sidhani kama utapewa majibu rasmi.
na ukipewa yatakuwa yanafanana na yale ya V-WONDER[emoji23]
Shenzi typee
 
tatizo mnadhani matusi ndo majibu. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

ila naelewa ndo iwezo wako wa kufikiria ulipoishia.
Punguza wivu, acha kuumia kwa jambo lisilo kuhusu, pambana na hali yako, hakuna mtu ambae amekuja wala atakae kuja kukuuliza katika lile linalokuendeshea maisha yako, vivyo hvyo huna sababu ya ku question sehemu mtu anapo jiingizia kipato chake

Fanya kazi ingiza pesa, nasisimama mbele ya screen ya simu yangu naingiza pesa, maisha yanasonga, hizo chuki zako au wivu uliojengwa na woga wa kijinga achana nazo, una maamuzi mawili tu, katafute elimu kuhusu forex au acha ndio maamuzi yaliko mbele yako, huna maamuzi mengine zaid ya hapo
 
Wakuu mbona hawa templer sijaona sehemu yoyote kuwa wako audited ??? Na ninaweza kupewa sababu why hawa watu hawafanyi kazi usa,england,canada ana Israel???


Hii imeniogopesha sana
broker wengi hawafanyi kazi kwa baadh ya nchi, mfano IC Markets IC Markets: True ECN Forex Broker | Australian Foreign Exchange Broker , hakubali traders toka Tanzania, (unaweza kujaribu kuregister ukaona) ila wasouth wanamtumia, wakati huo huo, Pepperstone Forex Trading with Pepperstone - Australia's Fastest Growing Forex Broker anakubali, japo wote ni wa Australia. Nasikia IC ukiwa Zanzibar unaweza register, ila ukiwa Tanzania bara huwezi (sina uhakika sana) so co ishu kubwa kwa templer. Markets, Welcome to Markets.com , broker mwingine, hawakubali wa USA, na mwingine i think Tickmill.
Hii ya kutofanya kazi mahali flan inatokana na monetary policies za nchi husika.

Kwa regulations, check screenshot, sorry, maandishi ni madogo sana.

 
na msiishie hapa jamni miemde pia kwenye hizo regulatory authority and query.
maana ni sawa na kuambiwa mjichunguze kwanini an object haikufata laws of motion as in projectile as stated by physics ikatafuta njia yake? its a phenomenon thats needs to be published.
 
FEW IMPORTANT LINKS:

FOREX TRADERS OF TZ:
Forex Traders Tz

FREE FOREX CLASSES:
SIMPLE FOREX STRATEGY GROUP

FREE FOREX BOOKS:
FX Trading Books

FREE FOREX SIGNALS:
+255MillionairesFX

FREE FOREX SIGNALS:
FreeForexSignals

TEMPLER BROKER:
Templer FX Trader

PEPPERSTONE BROKER:
Pepperstone - Australia's Fastest Forex Broker

TICKMILL BROKER:
Tickmill - Trade With First Class Forex Broker

FBS $50 NO DEPOSIT BONUS :
FBS $50 Welcome Bonus - Forex

HOW TO USE DUSUPAY (ONCE WAS TICKMILL MOBILE FUNDING METHOD):

FOREX VIDEO: THE SIGNS:
 
K

True kaka. Ndiyo hivyo tena tunakusanya mtaji.
 
Miongoni mwa ma broker rafiki kwa mazingira ya kibongo bongo hasa kwa bigginners na wenye mitaji midogo!

Nasema hivyo kwa sababu, unaweza ku deposit kwa Mpesa, tigo pesa au airtel money

Ana account real za kujifunzia na kupata uzoefu (cent account) ambayo unauwezo wa ku deposit dola moja ikawa converted kuwa dola mia (mind you, hela yako hapo ni only 1$, hiyo nyingine ni kukufanya upate uwezo wa ku excute more trade na let say umetengeza profit hadi ikasoma $500 kwa cent account, hapo hela yako halisi unayoweza kutoa ni only $5).... Thus why nasema hii ni account sahihi ya kujifunzia!

Kwa wale wazoefu, kwa kumtumia huyu broker wata enjoy instant withdrawal through Mpesa, tigo pesa au airtel money kukidhi mahitaji ya kila siku.... Una uwezo wa kutoa hela muda wowote unapopata profit!

"Don't trade money you can't afford to lose "
 
Tigo pesa... hapo safi, sikua najua kama tigo pesa anakubali
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…