Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
MENTOR:JINSI YA KUMPATA ATAKAYEKUFAA.
Umeshawahi kuwaza kama ungepata mtu akufundishe Forex? ushawahi kuwaza ingekuwaje mtu anayefahamu kuliko wewe angekuwa anakupa msaada na maelekezo ya jinsi ya kutrade? ushawahi mfuata mtu inbox kumwomba mtu akupe personal classes? ushawahi hisi hauwezi kufikiria vizuri kuhusu strategy gani utumie ili uwe profitable trader, na hivyo unahitaji mtu akupe mwongozo?

kama ndio, basi mtu huyo anaitwa Mentor.
MentorshipWebnar.jpg

bahati mbaya wengi wetu twadhani kila mtu anayejua kuliko sisi anafaa kuwa mentor. hapo ndipo tunapokosea na kupotea. inakuwa kama kumwona mtu ana joho basi twamkamata na kumkabidhi madhabahu aendeshe ibada, kumbe sio wote wenye majoho ni mapadre, wengine masheikh!
Kuna sifa kadhaa za mentor ambazo unapaswa kuzijua kabla hujamuomba mtu awe mentor wako.

1. huo mfano wa mchungaji na sheikh umeuelewa? mentor wako anapaswa kutrade kwa staili unayotrade, la sivyo utajikuta unabadili staili ya kutrade kila ukibadili mentor. kama wewe ni naked trader, tafuta mentor naked trader, kama wewe watumia indicator, tafuta mentor anatumia same indicators... naked hawezi kummentor anayetumia indicator, the same mentor anayetumia indicator katu hawezi kumfunza naked trader... Birds of same feathers........ utamalizia hapo...

2. kama ambavyo fundi makenika wa treni hawezi mwelekeza fundi makenika wa IST jinsi ya kuziba pancha, mentor scalper hawezi kummentor swinger, and vice versa, so kama wewe ni swinger tafuta mentor swinger kama wewe ni scalper, tafuta mentor scalper.

3. ni nzuri pia kama mentor na mentee wakatrade same market, and same pairs.. sio wewe unatrade EURUSD na mentor wako muda wote anatrade Coffee au Orange Juice!

4. kama watumia indicators, ni nzuri mentor atumie same indicators kama umeamua kutumia OG Forex strategy, then mmiliki wa hiyo startegy atakuwa mentor mzuri zaidi... kama unatumia MCV, na ,mentor pia atumie hiyo, hali kadhalika kama watumia moving averages, then mentor wako awe anazitumia hizohizo....
TickmillWebnar.jpg

5. mentor anapaswa awe na muda wa kukuelekeza, full time trader ni mzuri zaidi, maana anakuwa na uwezo wa kukusaidia wakati wote unapohitaji msaada.
MCV.webnar.jpg

6. kitu kikubwa zaidi.... AFFORDABILITY ya mafunzo/mentorship.. kama mtaji wako ni $50, ni hasara sana kutafuta mentor wa $2000.

Kwa maelekezo hayo machache, hope itakuwa rahisi zaidi kumpata mentor, and please note, i dont give mentorship services, mi mwenyewe nahitaji kuwa na mentor!

cheers!
 
MENTOR:JINSI YA KUMPATA ATAKAYEKUFAA.

Umeshawahi kuwaza kama ungepata mtu akufundishe Forex? ushawahi kuwaza ingekuwaje mtu anayefahamu kuliko wewe angekuwa anakupa msaada na maelekezo ya jinsi ya kutrade? ushawahi mfuata mtu inbox kumwomba mtu akupe personal classes? ushawahi hisi hauwezi kufikiria vizuri kuhusu strategy gani utumie ili uwe profitable trader, na hivyo unahitaji mtu akupe mwongozo?

kama ndio, basi mtu huyo anaitwa Mentor.

bahati mbaya wengi wetu twadhani kila mtu anayejua kuliko sisi anafaa kuwa mentor. hapo ndipo tunapokosea na kupotea. inakuwa kama kumwona mtu ana joho basi twamkamata na kumkabidhi madhabahu aendeshe ibada, kumbe sio wote wenye majoho ni mapadre, wengine masheikh!

Kuna sifa kadhaa za mentor ambazo unapaswa kuzijua kabla hujamuomba mtu awe mentor wako.

1. huo mfano wa mchungaji na sheikh umeuelewa? mentor wako anapaswa kutrade kwa staili unayotrade, la sivyo utajikuta unabadili staili ya kutrade kila ukibadili mentor. kama wewe ni naked trader, tafuta mentor naked trader, kama wewe watumia indicator, tafuta mentor anatumia same indicators... naked hawezi kummentor anayetumia indicator, the same mentor anayetumia indicator katu hawezi kumfunza naked trader... Birds of same feathers........ utamalizia hapo...View attachment 712726

2. kama ambavyo fundi makenika wa treni hawezi mwelekeza fundi makenika wa IST jinsi ya kuziba pancha, mentor scalper hawezi kummentor swinger, and vice versa, so kama wewe ni swinger tafuta mentor swinger kama wewe ni scalper, tafuta mentor scalper.

3. ni nzuri pia kama mentor na mentee wakatrade same market, and same pairs.. sio wewe unatrade EURUSD na mentor wako muda wote anatrade Coffee au Orange Juice!

4. kama watumia indicators, ni nzuri mentor atumie same indicators kama umeamua kutumia MK45 Strategy, then mmiliki wa hiyo startegy atakuwa mentor mzuri zaidi... kama watumia moving averages, then mentor wako awe anazitumia hizohizo....
View attachment 712727

5. mentor anapaswa awe na muda wa kukuelekeza, full time trader ni mzuri zaidi, maana anakuwa na uwezo wa kukusaidia wakati wote unapohitaji msaada.
View attachment 712728
6. kitu kikubwa zaidi.... AFFORDABILITY ya mafunzo/mentorship.. kama mtaji wako ni $50, ni hasara sana kutafuta mentor wa $2000.

Kwa maelekezo hayo machache, hope itakuwa rahisi zaidi kumpata mentor, and please note, i dont give mentorship services, mi mwenyewe nahitaji kuwa na mentor!

cheers!
Wazo jema boss,maana mentors wa sikuhizi anakufundisha kuendesha gari wakati yeye yupo nje ya gari.sijui kwa nini watu wapo ladhi wale pesa za wenzao kwa kujitia kwamba wanaweza kazi ya mentors wakati hawana lolote
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] we jamaa bwana!!
 
kwa jinsi unavoongea tu inaoneka na wewe ni ambao wanaprofit wakat wengine wanaumia. but still ua still a pawn
Hahaa you don't even know...mimi nitakula hela ya nani ndio kwanza nimeingia ulimwengu wa forex mwaka huu...kwa taarifa yako tayari nimeshaunguza account ila ndo sikomi
 
Haaaha unazingua mm naona kabisa MTU kapigwa promo humo mambo ya mk45
Ahsante kwa kumpromo... [emoji3]

Ila untajie strategy tofaut na mk45 unayoijua, nadhan jamaa kaipa promo mpaka nimeamua kuitolea mfano[emoji23]
 
Kwa wale wapenzi wa kutumia Broker anayeaminika ECN na huko huko unaweza chagua aina ya account unayotaka kuna Classic isiyo na commission na kuna Pro yenye Commission hivyo kwa ushauri tu jiunge na Tickmill ni Broker ambae yuko regulated.......kama utapata shida kwe usajili tuwasiliane vitu vinavyohitajika ni Driving Licence,National ID,Voter's ID kimoja kati ya hivyo na bila kusahau Bank Statement,Bill ya Umeme au Maji ukishindwa kabisa unaweza tumia hata Birth Certificate ukawa Verified mapema kabisa........Fuata link hii hapa kujisajili
https://secure.tickmill.com/redirec.../secure.tickmill.com/trader/?task=1050&lang=2
Register with Tickmill and be able to deposit/withdraw using M-pesa,Airtel Money and Tigo Pesa and
Tickmill is a trading name of Tickmill UK Limited which is authorised and regulated by the UK Financial Conduct Authority (FCA). Tickmill is also the trading name of Tickmill Ltd, regulated by the FSA of Seychelles.
 
trade against the trend halafu weka lot size kubwa
Anaweza kutrade againist the trend lakini kama ata hold hiyo position the muda mrefu trend inaweza kubadilika ikawa upande wake! Nashauri achukue huo ushauri wako lakini kwa scalping na afungue positions za kutosha!
 
Umeniudhi kumjibu? Yy anajua km Mo au SSB hawafanyi hivi? Mie kupitia nilijua kumbe kuna kitu kinaitwa treasury bill na treasury bond,hii kitu hujui kirahisi lkn matajiri wanaifanya sana,so muache aamini ktk kilimo msimu hadi msimu ,hy miezi ya kati anajua wanafanya nn hao?

Mkuu hela za kununua T-Bills na T-Bonds umepata wapi?

Lazima uwe na primary money making machine halafu ndio upeleke kununua hizo Bills and Bonds.

Na ili ununue substantial Bills and Bonds ziweze kuleta effect kwako inatakiwa uwe na pesa nyingi sana kununua hizo Bills na Bonds,mshahara wala Forex haina hela hiyo...Bills ni 500,000/= per pc,Bonds ni 5,000,000/= per pc,inatakiwa uwe na kuanzia 1 Bilion ili ununue kitu chenye outcome sahihi....

ndio maana ni matajiri wa kutaka ndio wanaweza nunua hizo Bills and Bonds that much...

Your primary money making machine lazima iwe biashara au kilimo,etc...Hivyo huwezi kukwepa traditional vyanzo vya hela..
 
Soma vzr nilichoandika
 
Soma vzr nilichoandika

Mkuu

Nimekusoma vizuri sana.

Ilikua unabishana na jamaa aliesema kwanini msiwekeze kama bakheresa na mo kwenye uzalishaji kuliko Forex?

Wewe ukamwabia sio lazima,mbona kuna biashara za T-Bills and T-Bonds,sio lazima kuzalisha kwenye vyakula kama Mo na Bhrsa!If I got chu correctly!

Mimi nilichotoa ni angalizo kuhusu hiyo biashara ya Bills na Bonds unayoisemea as if ni biashara primary.Hizi ni tertiary investments zinazotaka fedha nyingi ni lazima uwe na primary money making machine kama viwanda vya vyakula vya akina Mo na Bhrsa ili uweze kufanya Bills nad Bonds mkuu.

Hivyo hatuna budi kupitia uzalishaji primary kama wa akina Mo na Bhrsa,sio lazima kama wao,inaweza kua biashara zetu hizi ambazo tunanya accumulation ya primary money ili ku-finance Bills and Bonds katika tertiary stage.Bila hizo utanunua vi Bills na vi Bonds vichache tu,na maturity yake usione pesa nyingi unazotaka..Ni lazima uwe na continuous generation ya hela non stop kuweza game ya Bills and Bonds,minimum uwe walao na 1 Bilion kwa mchovu....
 
Wakuu mbona hawa templer sijaona sehemu yoyote kuwa wako audited ??? Na ninaweza kupewa sababu why hawa watu hawafanyi kazi usa,england,canada ana Israel???

Hii imeniogopesha sana
 
https://secure.tickmill.com/redirect/index.php?cii=15050&cis=1&lp=https://secure.tickmill.com/trader/?task=1050&lang=2
Register with Tickmill and be able to deposit/withdraw using M-pesa,Airtel Money and Tigo Pesa and
Tickmill is a trading name of Tickmill UK Limited which is authorised and regulated by the UK Financial Conduct Authority (FCA). Tickmill is also the trading name of Tickmill Ltd, regulated by the FSA of Seychelles.
Unaweza vipi ku draw profits kwa m-peasa,tigo pesa .......n.k.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom