Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Okey akaunti umeshafungua yes, kuna email wanakutumia wenyewe Templer fx ya login details , inakuwa na username na password , ambazo utazingiza kwenye mt4 yako , nauliza wamekutumia ?
Hope ni meseji hii
PicsArt_03-07-03.01.18.jpg
 
ukiwithdraw hela kutoka templerfx inatumia muda gani kuingia kwenye account yako M-pesa?
 
Nenda dashboard>>>open account>>Select levarege>>
Kama utashindwa kuendelea hadi hapo nijuze nitakupa maelekezo
ukiwithdraw hela kutoka templerfx inatumia muda gani kuingia kwenye account yako M-pesa?
 
better uka invest kwenye kilimo pamoja na kufaidika na mavuno pia unalisha watu wengine.
hadi leo Bakhresa is still investing on foods and beverages halfu wewe mwananchi wa kawaida unataka ukazane na forex.
thats stupidity at its highest maana kama hujasoma basi tazama jifunze.
Mo dewji ni billionea wa TZ ushamsikia ana deal na forex?!
au ushamsikia Dangote in that matter?
nawataja hawa maana ndo wengi wenu mtakua mnawasikia katika vyombo vya habari.
na kama hujawasikia halfu leo ndo unasikia forex na unataka kua expert? [emoji23]
acheni kuwa na ndoto ambazo hazitekelezeki kisa kutaka urahisi wa maisha kutajirika haraka haraka
Come have a look:

Forex Traders Tz
 
FEW IMPORTANT LINKS:

FOREX TRADERS OF TZ:
Forex Traders Tz

FREE FOREX CLASSES:
SIMPLE FOREX STRATEGY GROUP

FREE FOREX BOOKS:
FX Trading Books

FREE FOREX SIGNALS:
+255MillionairesFX

FREE FOREX SIGNALS:
FreeForexSignals

TEMPLER BROKER:
Templer FX Trader

PEPPERSTONE BROKER:
Pepperstone - Australia's Fastest Forex Broker

TICKMILL BROKER:
Tickmill - Trade With First Class Forex Broker

FBS $50 NO DEPOSIT BONUS :
FBS $50 Welcome Bonus - Forex

HOW TO USE DUSUPAY (ONCE WAS TICKMILL MOBILE FUNDING METHOD):

FOREX VIDEO: THE SIGNS:
 
better uka invest kwenye kilimo pamoja na kufaidika na mavuno pia unalisha watu wengine.
hadi leo Bakhresa is still investing on foods and beverages halfu wewe mwananchi wa kawaida unataka ukazane na forex.
thats stupidity at its highest maana kama hujasoma basi tazama jifunze.
Mo dewji ni billionea wa TZ ushamsikia ana deal na forex?!
au ushamsikia Dangote in that matter?
nawataja hawa maana ndo wengi wenu mtakua mnawasikia katika vyombo vya habari.
na kama hujawasikia halfu leo ndo unasikia forex na unataka kua expert? [emoji23]
acheni kuwa na ndoto ambazo hazitekelezeki kisa kutaka urahisi wa maisha kutajirika haraka haraka
Pumbavuuuuuuuuuuu wewe jinga sana!

Sasa mbona we haupo kwenye hiyo list ya akina mo dewji? Umebaki kuponda tu forex kati hata uwezo Wa kununua kinywaji cha Mo Energy huna.
 
better uka invest kwenye kilimo pamoja na kufaidika na mavuno pia unalisha watu wengine.
hadi leo Bakhresa is still investing on foods and beverages halfu wewe mwananchi wa kawaida unataka ukazane na forex.
thats stupidity at its highest maana kama hujasoma basi tazama jifunze.
Mo dewji ni billionea wa TZ ushamsikia ana deal na forex?!
au ushamsikia Dangote in that matter?
nawataja hawa maana ndo wengi wenu mtakua mnawasikia katika vyombo vya habari.
na kama hujawasikia halfu leo ndo unasikia forex na unataka kua expert? [emoji23]
acheni kuwa na ndoto ambazo hazitekelezeki kisa kutaka urahisi wa maisha kutajirika haraka haraka
Nina mashaka na uwezo wako wa kufikiri unaonekana unaishi kwa kukariri sana. Akina Bakhresa wametajirika kwa kuinvest kwenye foods na beverages so what...kila mtanzania anayetaka kutajirika SHARTI awekeze huko? Ila sishangai ndio maisha ya watanzania wengi..kuigana na kukopiana tu mtu mmoja kaamua kupika maandazi anauza vizuri baada ya wiki moja mtaa mzima unapika maandazi...no ubunifu no mawazo mapya, kwa hili sikushangai...This is 21st Century bro /sister kila mtu anapambana na hali yake hebu toka kwenye hilo box kwamba Ili mtu atoke kimaisha ni lazima akalime tikiti.
Eti tufanye kazi...kwako wewe kazi ni lazima mtu akimbiekimbie na mafaili kwenye korido au avuje jasho. Hivi unadhani wanaotrade forex hawafanyi kazi...hebu tenga muda kidogo ujifunze.
Ushauri wa mwisho..leave us alone. Tukitapeliwa tukiibiwa wewe inakuuma nini mbona ninyi watu mnawashwawashwa kama wastaafu eeh, huwa najaribu kufikiria ajenda yenu haswa ni nini na kwa nini mnaonekana kuumia kuhusu hata sisi wenyewe? Au uliunguza account[emoji23] [emoji23] [emoji23] vumilia ndio kujifunza mimi mwenyewe nimeunguza ila sina mpango wa kuacha sasa kwa nini wenzetu mnakuwa na hasira hivi, zilikuwa dola ngapi? Elfu?
 
Umeniudhi kumjibu? Yy anajua km Mo au SSB hawafanyi hivi? Mie kupitia nilijua kumbe kuna kitu kinaitwa treasury bill na treasury bond,hii kitu hujui kirahisi lkn matajiri wanaifanya sana,so muache aamini ktk kilimo msimu hadi msimu ,hy miezi ya kati anajua wanafanya nn hao?
 
better uka invest kwenye kilimo pamoja na kufaidika na mavuno pia unalisha watu wengine.
hadi leo Bakhresa is still investing on foods and beverages halfu wewe mwananchi wa kawaida unataka ukazane na forex.
thats stupidity at its highest maana kama hujasoma basi tazama jifunze.
Mo dewji ni billionea wa TZ ushamsikia ana deal na forex?!
au ushamsikia Dangote in that matter?
nawataja hawa maana ndo wengi wenu mtakua mnawasikia katika vyombo vya habari.
na kama hujawasikia halfu leo ndo unasikia forex na unataka kua expert? [emoji23]
acheni kuwa na ndoto ambazo hazitekelezeki kisa kutaka urahisi wa maisha kutajirika haraka haraka
Naona ulihitimu "Le Akiliz Nyembambaz Secondary school"
 
Nina mashaka na uwezo wako wa kufikiri unaonekana unaishi kwa kukariri sana. Akina Bakhresa wametajirika kwa kuinvest kwenye foods na beverages so what...kila mtanzania anayetaka kutajirika SHARTI awekeze huko? Ila sishangai ndio maisha ya watanzania wengi..kuigana na kukopiana tu mtu mmoja kaamua kupika maandazi anauza vizuri baada ya wiki moja mtaa mzima unapika maandazi...no ubunifu no mawazo mapya, kwa hili sikushangai...This is 21st Century bro /sister kila mtu anapambana na hali yake hebu toka kwenye hilo box kwamba Ili mtu atoke kimaisha ni lazima akalime tikiti.
Eti tufanye kazi...kwako wewe kazi ni lazima mtu akimbiekimbie na mafaili kwenye korido au avuje jasho. Hivi unadhani wanaotrade forex hawafanyi kazi...hebu tenga muda kidogo ujifunze.
Ushauri wa mwisho..leave us alone. Tukitapeliwa tukiibiwa wewe inakuuma nini mbona ninyi watu mnawashwawashwa kama wastaafu eeh, huwa najaribu kufikiria ajenda yenu haswa ni nini na kwa nini mnaonekana kuumia kuhusu hata sisi wenyewe? Au uliunguza account[emoji23] [emoji23] [emoji23] vumilia ndio kujifunza mimi mwenyewe nimeunguza ila sina mpango wa kuacha sasa kwa nini wenzetu mnakuwa na hasira hivi, zilikuwa dola ngapi? Elfu?
hehehe haina haja ya kupoteza muda kujubu huja za watu kama hao
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom