Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Pumbavuuuuuuuuuuu wewe jinga sana!

Sasa mbona we haupo kwenye hiyo list ya akina mo dewji? Umebaki kuponda tu forex kati hata uwezo Wa kununua kinywaji cha Mo Energy huna.
utajua tu.
wanaotetea matumbo yao kwa kuangamiza wenzao.
 
Nina mashaka na uwezo wako wa kufikiri unaonekana unaishi kwa kukariri sana. Akina Bakhresa wametajirika kwa kuinvest kwenye foods na beverages so what...kila mtanzania anayetaka kutajirika SHARTI awekeze huko? Ila sishangai ndio maisha ya watanzania wengi..kuigana na kukopiana tu mtu mmoja kaamua kupika maandazi anauza vizuri baada ya wiki moja mtaa mzima unapika maandazi...no ubunifu no mawazo mapya, kwa hili sikushangai...This is 21st Century bro /sister kila mtu anapambana na hali yake hebu toka kwenye hilo box kwamba Ili mtu atoke kimaisha ni lazima akalime tikiti.
Eti tufanye kazi...kwako wewe kazi ni lazima mtu akimbiekimbie na mafaili kwenye korido au avuje jasho. Hivi unadhani wanaotrade forex hawafanyi kazi...hebu tenga muda kidogo ujifunze.
Ushauri wa mwisho..leave us alone. Tukitapeliwa tukiibiwa wewe inakuuma nini mbona ninyi watu mnawashwawashwa kama wastaafu eeh, huwa najaribu kufikiria ajenda yenu haswa ni nini na kwa nini mnaonekana kuumia kuhusu hata sisi wenyewe? Au uliunguza account[emoji23] [emoji23] [emoji23] vumilia ndio kujifunza mimi mwenyewe nimeunguza ila sina mpango wa kuacha sasa kwa nini wenzetu mnakuwa na hasira hivi, zilikuwa dola ngapi? Elfu?
kwa jinsi unavoongea tu inaoneka na wewe ni ambao wanaprofit wakat wengine wanaumia. but still ua still a pawn
 
Umeniudhi kumjibu? Yy anajua km Mo au SSB hawafanyi hivi? Mie kupitia nilijua kumbe kuna kitu kinaitwa treasury bill na treasury bond,hii kitu hujui kirahisi lkn matajiri wanaifanya sana,so muache aamini ktk kilimo msimu hadi msimu ,hy miezi ya kati anajua wanafanya nn hao?
maswala ya treasury bill and bonds yale ni guarantee 100% regardless of how the market will be tomorrow. hakuna hasara kamwe. usifafananishe na huu upuuzi
 
hehehe haina haja ya kupoteza muda kujubu huja za watu kama hao
ni kweli sababu ukweli siku zote utabaki kuwa ukweli na the more u answer ndo the more unaibua maswali ya kukuhoji ila kama ni kweli basi kila kitu kina majibu ambayo hayana utata.
 
ni kweli sababu ukweli siku zote utabaki kuwa ukweli na the more u answer ndo the more unaibua maswali ya kukuhoji ila kama ni kweli basi kila kitu kina majibu ambayo hayana utata.
Uhoji maswali kama nani? Sasa kama ukweli wako unaujua na unajua utabaki kua hivyo hivyo unaleta kalio la nn hapa? huko sio kuchanganyikiwa??
 
Uzi uko vizuri sana, Shukrani sana Ndugu Ontario kwa kutufungua macho. Kazi yako ni njema na MUNGU Atakubaliki
 
We aim to help people not to steal their money, Education is supposed to be cheap thats why we work hard to make sure everyone get knowledge with tiny amount,
Join our team with only $24! (tsh 55000)

FORGET ABOUT EMPLOYMENT!
-
LEARN FOREX, BECOME FROFITABLE TRADER under the [HASHTAG]#FXDI[/HASHTAG]

Contact:
+255762272838
Forexdeluxeinstitute@gmail.com
 
Back
Top Bottom