Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Get your facts right, ulikuja na "akili zako timamu hapa"

Ni lini na wapi nimesema Forex ni rahisi??? unaweza kunukuu huo mstari ukauweka hapa???

Wewe unaongelea miez sita??? Nimeanza soma siku huu uzi umewekwa hapa, na mpaka leo ninasoma, ni miezi mingapi imepita hapo???? siungi mkono binadamu yeyote yule anaetoza pesa kwaajil ya kufunza forex ama kupatia mtu hivyo unavyoviita tools, unataka pesa kazibebe kwenye soko, sio unakuja kuvizia vilak mbili mbili vya kina mwamtumu wakati huo soko lishakupiga KO,

Pesa za forex ziko sokon na si vinginevyo
hahahaahahahahahahahah safi sana mimi kbla huu uzi haujaja hapa nilikkuwa nimeshaa anza forex BROKER likuwa ni IQ OPTION na nilikuwa najua bnary pekeyake. kwakuwa nilikuwa blind kidogo ikanibidi nianze kusoma ndo nika jua kuwa kuna mfumo wa MT4 na nikavutiwa nao sana kuliko chochote kile. nilikuwa siko tayari kutoa dollar mia kwa ajili ya kuanza forex ila siku nimeamua ndo ontario nayeye anatokea na uzi wake nikafatilia kujua jipya na kuongeza maarifa ila nilikuja kushtuka kitu kizuri ni kusoma zaidi tofauti na kusikiliza. nika hakikisha namaliza kitabu cha GOODFATHER na vingine vingi tu.
mpaka saizi naonge na wewe nilisha choma account sana na kama uzembe ukiendeea wa kuwa too emotional nikicho sito jali naweka tena koz nimetokea kuipenda FOREX, na indicator natumia mda mwingi sana kuzitafuta na kuzichambua na nimeonyesha sio kuuza na sidhani kama nitauza ila ninacho mwambia mtu ni simple kuwa tuma vocha tu nikutumia ila mtu anashindwa, sio unakuja kuvizia vilak mbili mbili kama kuna mtu nimemuuzia imezidi elfu kumi aseme au alie tuma tigo pesa zaidi ya vocha tu basi kwaajili ya kuweka mahusiano na maswali atakayo kuja kuniuliza kuhusu indicator ili niwe namjibu kiroho safi kwa vocha yake sijui menielewa KIJANA wangu. maana unaenda zig zag kama NFP.
 
mpaka saizi naonge na wewe nilisha choma account sana na kama uzembe ukiendeea wa kuwa too emotional nikicho sito jali naweka tena koz nimetokea kuipenda FOREX, na indicator natumia mda mwingi sana kuzitafuta na kuzichambua na nimeonyesha sio kuuza na sidhani kama nitauza ila ninacho mwambia mtu ni simple kuwa tuma vocha tu nikutumia ila mtu anashindwa, sio unakuja kuvizia vilak mbili mbili kama kuna mtu nimemuuzia imezidi elfu kumi aseme au alie tuma tigo pesa zaidi ya vocha tu basi kwaajili ya kuweka mahusiano na maswali atakayo kuja kuniuliza kuhusu indicator sijui menielewa KIJANA wangu. maana unaenda zig zag kama NFP.
Kuna swali kule hujajibu, ni wapi na lini nimesema Forex ni rahisi

Ni kwanini mtu akutumie vocha, wapo watu humu ndani, humu humu, wana channels telegram, wanafundisha watu, wengine wana channels za material tu, wengine wanakusanya hizo indicators huko dunian wanaleta wanawapa watu bure

Mpunguzage huo u binafsi, pesa iko kwenye soko kapambane huko, weka hizo tools hapa atakae penda atachukua
 
Sina shida nayo, kuna zaid ya trillion 6 kwenye market, kapambane uvune uwezavyo, kuna pesa za kutosha sana mule, ingia sasa hv angalia pair za EUR, zinatema vibaya mno, acha kuvizia pesa za watu, Hv kuna mtu ambae ana system ambayo anampa dollar 1000++ aje alete kalio hapa aanze tafuta wateja???? real??? Yaan unakuja kivizia vi lak vya watu??? tumbafu sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] imebidi tu nicheke
 
hahahaahahahahahahahah safi sana mimi kbla huu uzi haujaja hapa nilikkuwa nimeshaa anza forex BROKER likuwa ni IQ OPTION na nilikuwa najua bnary pekeyake. kwakuwa nilikuwa blind kidogo ikanibidi nianze kusoma ndo nika jua kuwa kuna mfumo wa MT4 na nikavutiwa nao sana kuliko chochote kile. nilikuwa siko tayari kutoa dollar mia kwa ajili ya kuanza forex ila siku nimeamua ndo ontario nayeye anatokea na uzi wake nikafatilia kujua jipya na kuongeza maarifa ila nilikuja kushtuka kitu kizuri ni kusoma zaidi tofauti na kusikiliza. nika hakikisha namaliza kitabu cha GOODFATHER na vingine vingi tu.
mpaka saizi naonge na wewe nilisha choma account sana na kama uzembe ukiendeea wa kuwa too emotional nikicho sito jali naweka tena koz nimetokea kuipenda FOREX, na indicator natumia mda mwingi sana kuzitafuta na kuzichambua na nimeonyesha sio kuuza na sidhani kama nitauza ila ninacho mwambia mtu ni simple kuwa tuma vocha tu nikutumia ila mtu anashindwa, sio unakuja kuvizia vilak mbili mbili kama kuna mtu nimemuuzia imezidi elfu kumi aseme au alie tuma tigo pesa zaidi ya vocha tu basi kwaajili ya kuweka mahusiano na maswali atakayo kuja kuniuliza kuhusu indicator ili niwe namjibu kiroho safi kwa vocha yake sijui menielewa KIJANA wangu. maana unaenda zig zag kama NFP.
Acha utapeli wewe
 
Kuna swali kule hujajibu, ni wapi na lini nimesema Forex ni rahisi

Ni kwanini mtu akutumie vocha, wapo watu humu ndani, humu humu, wana channels telegram, wanafundisha watu, wengine wana channels za material tu, wengine wanakusanya hizo indicators huko dunian wanaleta wanawapa watu bure

Mpunguzage huo u binafsi, pesa iko kwenye soko kapambane huko, weka hizo tools hapa atakae penda atachukua
katika watu 1000 utakao watummia indicator 20 tu ndo watajua kuitumia nahisi hata wewe pia hautaweza, 100% people wana belive kwenye indicators in deep, kuna mmoja nili mpa indicator ikawa time ya ku sell kumbe sio time ya kusell
buyer wakaendelea ku push price up japo ilikuwa inaonyesha wamezidiwa yeye akasell anakuja kunipigia na kuanza kuni laumu, kuwa imeonyesha sell na mimi nime sell ila price imeendelea kupanda nika mwambia hiivi mwanzo nimekuambia neno simple tu. nikuelekeze ukasema unaweza unajua kila kitu kiko kichwani, SO? ndo hivyo. KAMA ni bure na yeye atafute ila kwa bila WEKUNDU AU BUKU TANO kata hivi. DONE SON
 
Kaa navyo, jifungie chumban piga pesa

Jaribu lolote la kuuza hizo indicators ni UTAPELI

Alafu kwenye maelezo yako hayo indicator imefeli kutuma ishara kwa mtumiaj, yeye amebeba alichoona na wewe umekiri ilikua hvyo alafu bado unasema amekosea??

Pili, kwann unampa chakula bila chombo, kwamba arud kwake akachukue sahani?? link zinawekwaga hapa, wenzio wanashare hizo indicators na matumiz yake mpk kila anaetaka kutumia anaweza, na sijawah ona wakitozana, sharing is caring, unataka pesa log into your mt4, unataka vocha log into your mt4, sio kusubiri pesa kutoka kwa masud au jabir, utepeli huo

Alafu huto tu indicator situmiag, nimekwambia mm n Pure naked trader,
 
Kaa navyo, jifungie chumban piga pesa

Jaribu lolote la kuuza hizo indicators ni UTAPELI

Alafu kwenye maelezo yako hayo indicator imefeli kutuma ishara kwa mtumiaj, yeye amebeba alichoona na wewe umekiri ilikua hvyo alafu bado unasema amekosea??

Pili, kwann unampa chakula bila chombo, kwamba arud kwake akachukue sahani?? link zinawekwaga hapa, wenzie wanashare hizo indicators na matumiz yake mpk kila anaetaka kutumia anaweza, na sijawah ona wakitozana, sharing is caring, unataka pesa log into your mt4, unataka vocha log into your mt4, sio kusubiri pesa kutoka kwa masud au jabir, utepeli huo

Alafu huto tu indicator situmiag, nimekwambia mm n Pure naked trader,
HAYA JAKUKUTA kuna mtu anataka ummeze kiila kitu. na huo ni ujinga ingekuwa chuoni watu wana pewa 100% learning basi nahisi kila mtu angekuwa na G.PA ya 5. na indicator nilio mpa sio hiyoo ni tofauti . so najua kile ninachoo ongea kama wewe una indicator za bure unge weka hapa kila mtu achukue maana sio kila mtu ana telegram au whatsapp. UKIWEKA 5 MIMI NAWEKA KUMI FULL VERSION.

sio una big mdomo mtu
 
HAYA JAKUKUTA kuna mtu anataka ummeze kiila kitu. na huo ni ujinga ingekuwa chuoni watu wana pewa 100% learning basi nahisi kila mtu angekuwa na G.PA ya 5. na indicator nilio mpa sio hiyoo ni tofauti . so najua kile ninachoo ongea kama wewe una indicator za bure unge weka hapa kila mtu achukue maana sio kila mtu ana telegram au whatsapp. UKIWEKA 5 MIMI NAWEKA KUMI FULL VERSION
Weka tu utusaidie mkuu, mana hakuna namna....
 
Ni mara ya pili nakwambia "Umekuja na akili zako timamu hapa"

Nilishakuambia situmii indicator yeyote ile hilo ni mosi

Pili, siuzi wala sisambazi na wala sintokuja fanya huo ujinga wa kuuza hiv vitu

Tatu, umesema kama ni bure niviweke hapa,

Pitia huu uzi, wazako wameshare sana hapa , mengi tu hapa

Kuna link mbali mbali anashare mara kwa mara hapa AMLIGHT kama sijakosea, ingia humo, sio ajabu hata hiyo indicator yako ukaikuta humo humo
 
Nilishakuambia situmii indicator yeyote ile hilo ni mosi {HAPO } basi jua kuna wenzako hawawezi.
siuzi wala sisambazi na wala sintokuja fanya huo ujinga wa kuuza hiv vitu mimi nita sambaza kama kitu ni usefull ila under my rules
Pitia huu uzi, wazako wameshare sana hapa , mengi tu hapa iko hivi huu uzi una views wengi sana ukisema ukae chini kuanza kutafuta ni shida ni sawa kumwambia mtu asome comment moja moja atakata tamaa tu.
VYA BURE VINA UWA
na bia cha bure hakina value trust me. ni sawa anae fanya NAKED forex ukimwambia nielekeze atakuambia neno simple kasome basi. NASHUKURU KWA MA WAZO YAKO ILA JUA TU SITOI BURE U BURE WAKE LAZIMA IKUTOKE KUWEZA KU VALUE MY TIME EFFORT YA KUKUTAFUTIA NA KU TASTE NA KUELEKEZA. ila kama kufundisha nitafundisha bure ila indicator no plz.
 
Weka tu utusaidie mkuu, mana hakuna namna....
unatafuta vijana wa kutosha iili upate pesa kupitia trade zao, sasa mimi huo mda huwa sina mimi mda wangu ni kutafuta kitu kizuri kwa watu na ili mda wangu usipote lazima niku minye kidogo
 
Nilishakuambia situmii indicator yeyote ile hilo ni mosi {HAPO } basi jua kuna wenzako hawawezi.
siuzi wala sisambazi na wala sintokuja fanya huo ujinga wa kuuza hiv vitu mimi nita sambaza kama kitu ni usefull ila under my rules
Pitia huu uzi, wazako wameshare sana hapa , mengi tu hapa iko hivi huu uzi una views wengi sana ukisema ukae chini kuanza kutafuta ni shida ni sawa kumwambia mtu asome comment moja moja atakata tamaa tu.
VYA BURE VINA UWA
na bia cha bure hakina value trust me. ni sawa anae fanya NAKED forex ukimwambia nielekeze atakuambia neno simple kasome basi. NASHUKURU KWA MA WAZO YAKO ILA JUA TU SITOI BURE U BURE WAKE LAZIMA IKUTOKE KUWEZA KU VALUE MY TIME EFFORT YA KUKUTAFUTIA NA KU TASTE NA KUELEKEZA. ila kama kufundisha nitafundisha bure ila indicator no plz.
Cha bure??? Hizo pesa watu wanaweka kwenye account ni upepo huo? hazina value???

Huo muda mtu anatumia kusoma hauna value???

Ingalikua kama ukilipa tu ukanunua hizo unazo ziita tools ma developers si wangekua wanakimbizana na Jeff Benzo kule juu kwa binadamu mwenyewe mpunga mrefu zaid dunia

biashara yeyote ya kuuza hizi bidhaa ni utapeli tupu
 
HAYA. 😵
 
hahahahaah wewe mwenyewe unahangaika utafuta watu wa join kupitia link yako ya templer UONGO AU kweli.
Usiogope, kama wataka link zimejaa tele... Waikumbuka hii post?

FEW IMPORTANT LINKS:

FOREX TRADERS OF TZ:
Forex Traders Tz

FREE FOREX CLASSES:
SIMPLE FOREX STRATEGY GROUP

FREE FOREX BOOKS:
FX Trading Books

FREE FOREX SIGNALS:
+255MillionairesFX

FREE FOREX SIGNALS:
FreeForexSignals

TEMPLER BROKER:
Templer FX Trader

PEPPERSTONE BROKER:
Pepperstone - Australia's Fastest Forex Broker

TICKMILL BROKER:
Tickmill - Trade With First Class Forex Broker

FBS $50 NO DEPOSIT BONUS :
FBS $50 Welcome Bonus - Forex

HOW TO USE DUSUPAY (ONCE WAS TICKMILL MOBILE FUNDING METHOD):

FOREX VIDEO: THE SIGNS:
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom