AMLIGHT
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 1,140
- 843
unatafuta vijana wa kutosha iili upate pesa kupitia trade zao, sasa mimi huo mda huwa sina mimi mda wangu ni kutafuta kitu kizuri kwa watu na ili mda wangu usipote lazima niku minye kidogo
Ctafuti vijana, natoa useful links kwa wanaotaka kuzitumia, kama mtu hataki kuitumia anaenda google anasearch anachokitaka, au anaweza amua kutumia link hzo kwa groups za telegram, au, anaweza kwenda telegram na kusearch group moja moja... Ni maamuzi yake, hakuna mtu ambaye amewah kutoa hata kumi kwa links za vitabu au materials au indicators ambazo nimeshare hapa