unatafuta vijana wa kutosha iili upate pesa kupitia trade zao, sasa mimi huo mda huwa sina mimi mda wangu ni kutafuta kitu kizuri kwa watu na ili mda wangu usipote lazima niku minye kidogo
na maana kuwa wewe una unganisha watu kupitia link yako ya account ya forex yaani IBMCtafuti vijana, natoa useful links kwa wanaotaka kuzitumia, kama mtu hataki kuitumia anaenda google anasearch anachokitaka, au anaweza amua kutumia link hzo kwa groups za telegram, au, anaweza kwenda telegram na kusearch group moja moja... Ni maamuzi yake, hakuna mtu ambaye amewah kutoa hata kumi kwa links za vitabu au materials au indicators ambazo nimeshare hapa
Smart forex trader hana muda wa kuandika hayo maneno uliyoandika sasa hivi angekuwa bize kufanya technical and fundamental analysis....hahahahahahaha wapenda vya bure mamake. nitaacha tu pale utakapo acha kupenda vya bure
huo mda sina indicator zangu zina fanya kazi zote mimi ni kubonyeza tu.Smart forex trader hana muda wa kuandika hayo maneno uliyoandika sasa hivi angekuwa bize kufanya technical and fundamental analysis....
Wewe ni kibaka kama vibaka wengine wa Manzese
Ninajua ulichoandika, lakini bado nakataa vile umeandika. Hakuna ninayemuunganisha mkuu. Mi natoa links, kwa groups, chanel, indicators, videos au brokers, yes. Lakini simuunganishi mtu.na maana kuwa wewe una unganisha watu kupitia link yako ya account ya forex yaani IBM
Ndio maana tunasema wewe ni Kibaka huna tofauti na Vibaka WenzAko wa Yombo,huo mda sina indicator zangu zina fanya kazi zote mimi ni kubonyeza tu.
ngoja nitakuja na proof yakoNinajua ulichoandika, lakini bado nakataa vile umeandika. Hakuna ninayemuunganisha mkuu. Mi natoa links, kwa groups, chanel, indicators, videos au brokers, yes. Lakini simuunganishi mtu.
HIVI UMEKUJA INBOX NIKAKUAMBIAJE. au nimekuambiajeNdio maana tunasema wewe ni Kibaka huna tofauti na Vibaka WenzAko wa Yombo,
Wenzako wanatumia hii fursa kuwa na financial freedom ila wewe naona utakufa na umasikini wako kwa kuparua tu-laki mbili twa watu
Wewe ni Tapeli ACHA MARA MOJA HIYO TABIA, HAKUA INDICATOR YOYOTE DUNIANI YA KUKUPA PIPS ZA BURE BILA KUFANYA KAZI...HIVI UMEKUJA INBOX NIKAKUAMBIAJE. au nimekuambiaje
hahahahaahahahahah haya bwana ila nimegundua naongea na chaza so THANX any way nilio wapa na kuwaelekeza wako fresh tu saizi na wana piga zao.Wewe ni Tapeli ACHA MARA MOJA HIYO TABIA, HAKUA INDICATOR YOYOTE DUNIANI YA KUKUPA PIPS ZA BURE BILA KUFANYA KAZI...
No Free Lunch,hakuna na haitakuja kuwepo.
Wakuu naomba huyu kibaka apuuzwe. Wewe ni mwezi,tapeli na chakubanga mkubwa na sipendi nione unaibia wasiokuwa na uwezo mdogo wa uelewa kuhusu forex.
Proof ya nini mkuu? Mana kama ni link si uongo,and everybody knows, I give them out, a lot!ngoja nitakuja na proof yako
hapana hamna tatizo. kwani na mimi nikiamua kutoa bure ila mtu akachangia effort yangu kwa vocha kuna tatizo kwani. i mean nikamletea kitu useful na maelezo ya kutosha.Proof ya nini mkuu? Mana kama ni link si uongo,and everybody knows, I give them out, a lot!
But if i give you this link Templer FX | Sign up for $30 no deposit bonus ukasign up, and nkakupa maelekezo mpaka ukapata hyo $30, is there a problem kwako wewe, kama Linko?
upo mkoa gani kama mbeya town njoo nikueleweshe bure kabisa for one week
Hakuna tatizo, mana najua ulitumia vocha/bando kuisaka na kuiweka iwe perfect...hapana hamna tatizo. kwani na mimi nikiamua kutoa bure ila mtu akachangia effort yangu kwa vocha kuna tatizo kwani. i mean nikamletea kitu useful na maelezo ya kutosha.
asante sana mkuu. appreciate ila mtu ukimwambia hajui WENYEWE SIJUI WANAFANYA KAZI BoT BASI WANAONA KILA KITU SIMPLEHakuna tatizo, mana najua ulitumia vocha/bando kuisaka na kuiweka iwe perfect...
I can see the power of pin bar!easy way to make money sahau kuhusu ONTARIO
View attachment 721369 View attachment 721370 View attachment 721371