AMLIGHT
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 1,140
- 843
Nimejitahidi sana ku upload lakini imeshindikana, jaribu kuingia hapa, Forex Simulator - What's new | Soft4FX na utaclick download (maandishi mekundu), katika paragraph ya kwanza, then utaipata iyo simulator.Mkuu namna ya ku pakua Hii Forex simulator-installation ..apo ni kama wametoa maellzo namna ya kuinstall