Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Mkuu wote hapa tunaongea swala moja, tunatofautiana mtazamo...Nafahamu kabisa hilo swala la skills, lakini ukweli pia nikuwa experiece ina umuhimu sana kwenye FOREX. mimi sibishi kuwa huwezi kufanya forex kwa hiyo $10, kujijua kwamba uko vizuri au hauko vizuri unaweza kujipima kwa number of pips you can make...Sasa hiyo dola kumi hata sijalia lot yake inaitwaje...ni below Nano lot...sasa naomba uniambie ita-multiply vipi ili kuifikisha buku ndani ya miaka mitano..."Otherwise "'ubahatike"" kwenye laverage"....

Kwa kukamilisha sipingani na wewe...
[emoji23] [emoji23] Mkuu, mbona unanitia shaka na uelewa wako wa forex

Dollar 10 in less than two weeks iko kwenye dollar 100 au zaid

So kutoka 100 had buku unatumia miaka??? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Happy Easter

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] watu tulitoka dolla 2 mpaka 100 kwa wiki anazungumzia dolla 10 [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Hakuna indicator iliyo accurately kwenye forex kuna website inaitwa forexwinners.com kuna hizo taka taka zote za indicators za kila haina,indicators always zina lag hivyo mkuu usimpotoshe mwenzio,beginners wengi wanaamini sana kwenye indicators wanaamini labda traders wakubwa duniani wana tumia indicators amabazo ni za kipekee na za siri kitu ambacho si kweli.
Traders wengi wakubwa wana trade simple patterns thats all,single trade anapata millions anatulia.
Kwa hiyo mkuu usiwatapeli wenzio si vizuri,kama we una indicator ina pull out profit ya kutosha una taka pesa za nini tena?Si ukae ndani u trade mpaka ununue lamborghini.
SCAM.
Always indicators follows price action, so indicators bila kua na knowledge ya price action ni buree, account itaungua mapema sanaa! Ingekua indicator zpo vzur kila mtu angekua na millions of dollars from forex.
 
Closed dis dead cat waitin 4 another opp
Screenshot_20180402-231515.png
 
Namjua Ontario kama mtu mwenye dharau, kiburi na kujisikia ila Leo kawa mpole kabananishwa baada ya kikampuni chake cha TMT kuwaibia Wateja kwa spreads and IB link akishirikiana na broker JP. Watu wanataka kuandamana hadi jangid wakabebe zile desktop na makochi na mazagamazaga.

Mambo ni hivi!

Forex is real but Ontario is a scammer.
 
Ndo yamefika huko kwani watu wameunguZa sana
 
Mkuu tusifukue makaburi tusonge mbele bhana , pamoja na hayo aliyoyafanya ontario pia tumshkuru kwa kutufunulia hii fursa kwa sisi ambao hatukuijua kabla
Siyo excuse hiyo mkuu kwa hiyo akitueletea fursa ndio atuibie?

Kwa namna yeyote ile jinsi Dunia inavyoenda kasi tungeijua tu hii fursa.

Amefanya vibaya kutuuza watanzania wenzake.
 
Siyo excuse hiyo mkuu kwa hiyo akitueletea fursa ndio atuibie?

Kwa namna yeyote ile jinsi Dunia inavyoenda kasi tungeijua tu hii fursa.

Amefanya vibaya kutuuza watanzania wenzake.
Mkuu ni kweli alikengeuka cha msingi tumsamehe na tusonge mbele sabab hata tukilalamika nothing will change the reality , lets put effort on making money through the opportunity he brought
 
Sio kidogo! Sana yani....

Ila we tuache tu na bange zetu [emoji110] [emoji110]
Hahahhahaha utajiri unakuja kwa kufanya kazi sijui forex pesa za kudownload tu mwisho wake ? Kuna siku aliwah kuandika hata kama atafilisika akiwa na dollar 10 tu akaanza ndani ya wiki anatengeneza dollar 1000 baada ya hapo anaweza kutengeneza dollars 10000 kwa kila wiki, ina maana kwa mwezi ana uwezo wa kutengeneza million 100. Sasa pesa zote hizo na bado anawaibia kwanini?? Kwa mawazo yangu najua Ontario baada ya miaka 2 Bakresa hamuoni ndani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom